Africa" Wamo kwenye shimo la choo!

Africa" Wamo kwenye shimo la choo!

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2007
Posts
8,853
Reaction score
8,252
Raisi wa Marekani amedai kuwa watu Kutoka Haiti na Africa wametoka chooni, au kwenye shimo la kinyesi!
Raisi huyo amesema kuwa watu wa Haiti na Afrika na wengine ambao ngozi za siyo nyeupe ni kama mavi tu!(kwa lugha nyingine)

Kwa lugha aliyotumia, sisi waafrika tunasema nini kwake? Je Umoja wa Afrika utaweza kutoa tamko la kupinga matamshi hayo? na pamoja na kuonyesha mshikamano wa watu wa "Shimo la Chooni"?

Au tu tukubali basi tuwaite watu wetu na hata viongozi wetu Mavi matupu? Hili halikubaliki kwani heshima na taadhima ambayo sisi waafrika tunayo hatuwezi kufanya hivyo au kukubali kuwa wote tumo shimoni! au ni Mavi tuu


Je sheria ya mtandaoni itaondoa haya "Mavi" mtandaoni?
 
AU itatoa tamko kwa rais "samahani kwa kututukana, ni majukumu ya kazi yamekuwa mengi . Kheri ya mwaka mpya".
 
AU itatoactamko kwa rais "samahani kwa kututukana, ni majukumu ya kazi yamekuwa mengi . Kheri ya mwaka mpya".
Unyenyekevu huu tunaoonyesha, ndio unatupeleka kutukanwa kila kukichwa.

Haiingii akilini. Dah na jogoo ndio hilo
 
Ametuita hivyo kutokana na matendo ya waafrika kwa ujumla wake.
Viongozi kuongoza kwa maslahi binafsi, kugawa rasilimali za nchi kwa wageni kisha kwenda kuomba msaada kwao, yako mengi!
Trump kasema kweli tena kweli tupu. MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO (N.N)
 
Tunampa saa 24 atengue kauli yake . La sivyo aje aripoti hapa ofisini kwa kamanda mombasasa kwa kosa la uchochezi 😀
 
Naanza kumuamini yule bwana aliyependekeza Trump apimwe akili
 
Nadhani umavi au u-shimo la choo anaousema anamaanisha matendo ya viongozi waafrica wengi ni u-chooni. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ametuita hivyo kutokana na matendo ya waafrika kwa ujumla wake.
Viongozi kuongoza kwa maslahi binafsi, kugawa rasilimali za nchi kwa wageni kisha kwenda kuomba msaada kwao, yako mengi!
Trump kasema kweli tena kweli tupu. MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO (N.N)
Huyo Nyani aliyesema hivyo ni sawa! Kwani kila kukicha akingalia wenzake anachokiona ni hilo hilo tundu lake.
Je na hiyo ni historia ya miaka mingapi? Ya matendo yetu?
 
Back
Top Bottom