International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais Donald Trump amesema yeye sio mbaguzi Jumapili, siku tatu baada ya kuripotiwa kuwa amesema wahamiaji kutoka Haiti, El Salvador na Afrika wanatokea katika nchi alizozifananisha na choo...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
"Raia wa Zimbabwe wametakiwa kulipia ili kumuona Rais wao Mnangagwa aliyekuwa katika hoteli moja katika mji wa Windhoek nchini Namibia. Hii habari nimesoma BBC Swahili. Yale matusi ya Trump...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Zaidi ya maboksi milioni 12 ya maziwa ya watoto yanayotengenezwa na kampuni ya maziwa Lactalis ya Ufaransa yameondolewa madukani kutoka nchi 83 kwa hofu ya kuwa yamechafuliwa na vijidudu aina ya...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Huduma za upasuaji katika hospitali mbali mbali nchini Uganda zimesitishwa kufuatia uhaba mkubwa wa damu. Benki ya damu ya wizara ya afya kwenye mji mkuu wa Kampala ambayo ndio inahifadhi na...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Hebu tuangalie Hii observation, halafu tutafakari kuhusu remark ya shithole from shithole president.suala ni kujitathmini na kufahamu sisi ni Bora na kuchukua maamuzi kuanzia individual level...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninamfurahia mtu yeyote anaeniambia nijitegee, hata wahenga wetu waliuona ubaya wa mtu kutegemea misaada kutoka kwa ndugu, rafiki au jirani, wakaona waje na misemo mingi ya kiswahili ili...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Polisi nchini Marekani wanawashikilia watu wawili baada ya kugundulika kwa watu 13 wanaodaiwa kufichwa ndani ya nyumba yao, huku baadhi yao wakiwa wamefungwa pingu vitandani zenye minyororo yenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Africa v Trump The Nigerian government on Monday summoned U.S. Ambassador to Nigeria, Stuart Symington, to explain reported remarks by President Donald Trump describing Africa, Haiti and...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Takribani watu 77 wamejeruhiwa kufuatia kuanguka kwa sehemu ya jengo la soko la hisa jijini Jakarta. Video ya CCTV ilizunguka mtandaoni ikionesha kipande cha jengo kikianguka kikiwa na watu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nini tunawaruhusu watu hawa kutoka mataifa 'machafu''?. Rais Trump aliwaambia wabunge siku ya Alhamisi kulingana na gazeti la The Washington Post. Tamko hilo lilidaiwa kuwalenga watu kutoka...
4 Reactions
224 Replies
25K Views
Hofu iliwakumba abiria wakati ndege waliyokuwa wakisafiria ilipopoteza mwelekeo kwenye uwanja wa ndege huko Uturuki na kukimbia kwenda mteremko ulio kando ya bahari. Ndege hiyo ya shirika la...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari wana JF na Watanzania.. Siku kama ya leo mnamo tarehe 15 January 1929, alizaliwa mpambanaji wa haki za binadamu na mpinga ubaguzi wa rangi mmarekani mweusi Hayati Dr. Martin Luther King...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wabunge nchini Gabon wamebadilisha Katiba ya nchi hiyo, na kuondoa ukomo wa mihula kwa Rais, kinyume na ilivyokuwa awali ambapo alihudumu kwa mihula miwili, kila muhula miaka saba. Hii...
4 Reactions
111 Replies
9K Views
African Ambassadors to Convene in Wake of Trump’s ‘Shithole’ Outburst U.S. diplomats worry the president’s comments will set back relations. Others wonder why it took the “shithole” comment to...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
PAPUA NEW GUINEA: Takriban watu 1,500 wamehamishwa kutoka visiwa vya Papua New Guinea baada ya volkano kulipuka kutoka katika mlima uliokuwa umetulia kwa muda mrefu. Hii ni kwa mujibu wa Shirika...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wa Sri Lanka, Maithripala Sirisena ameusitisha mchakato wa mabadiliko ya Sheria uliolenga kuwapa uhuru Wanawake kununua na kunywa pombe pamoja na kuwaruhusu kufanya kazi katika maeneo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
IRAQ: Takribani watu 27 wamfariki dunia na wengine zaidi ya 65 kujeruhiwa baada ya kutokea kwa milipuko miwili Mji Mkuu, Baghdad > Watu wawili waliojivika mikanda ya mabomu wamejitoa mhanga...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Analysis | Trump's profane description disregards Africa's crucial role in making America a world power
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Ndege aina ya Airbus320 inayomilikiwa na kampuni ya US Airways ikiwa inaanza safari yake take off kutoka uwanja wa Laguardia New York City kaskazini mashariki mwa daraja lijulikanalo km Washington...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Trump...tofauti kati ya Trump na wazungu wengine ni kwamba Trump sio mnafiki...wazungu wengine pia wanatufikiria sisi kama Trump anavyotufikiria. Wanatuona ni wajinga, Sema tu huwa hawasemi kama...
69 Reactions
166 Replies
18K Views
Back
Top Bottom