Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), Brigedia Jenerali Effie Defrin, amesema katika mkutano na waandishi wa habari kuwa Jeshi la Anga la Israel leo limeishambulia kituo cha nyuklia cha Iran...
Hatimaye makabiliano ya kuviziana kati ya Israel na Irani yameisitishwa huku Israel na Marekani wakifikia malengo Yao ya kuidhoofisha Irani na kuipokonya mradi wake wa nuklia,
Irani kwa miaka...
Rais wa Marekani Donald Trump hii leo anatarajiwa kutia saini amri itakayobadili jina la wizara ya ulinzi ya nchi hiyo kuwa wizara ya vita, jina ambalo lilitumika wakati Marekani iliposhinda vita...
Sera zisizotabirika za Rais Trump zinawafanya baadhi ya viongozi wa mataifa duniani kuzidi kushikamana!
Ila kidogo kidogo hawa Wachina wanakuja juu sana kiteknolojia, hususan kwenye vifaa vya...
Huko Viterbo, Italia, polisi waliwakamata wahamiaji wawili wa Kituruki waliokuwa na bunduki, bastola, na risasi nyingi waliokuwa tayari kufyatulia umati wa Wakatoliki 40,000 waliokusanyika kwa...
ERDOGAN, Rais wa Uturuki amenukuliwa akisema hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na israel ili kulinda utu.
Maneno hayo yametamkwa Uturuki ikijiandaa kutuma wanajeshi tajriban laki moja...
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo...
Wakuu
Hivi mmepita huko X hivi karibuni
Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.
Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na...
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu:
Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya.
Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la...
Masikini Magaidi wa Hezbollah waliokuwa wanasifiwa na kurambwa Miguu na akina KIBWENGO Ritz Adiosamigo mdogoye gTurn Sasa hivi wanapigwa na hawadhubuti hata tu kurusha jiwe huko Israel!!!
Ama...
Kulingana na shirika la kijasusi la Korea Kusini, Ju Ae ndiye anayetarajiwa kuwa mrithi wa babake.
Ju Ae, anaaminika kuwa mtoto wa pili wa Kim Jong Un na mke wake, Ri Sol-Ju, wakiwa na watoto...
Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya...
Wanaukumbi.
Flotilla iliyobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, ikiwa ni pamoja na mwanaharakati wa hali ya hewa wa Uswidi Greta Thunberg, wanatarajiwa kuondoka kutoka Barcelona Jumapili...
Kuna wakuda wanaenda Mossad/IDF wanakabidhi picha na list kuwa hawa wafuatao waleiezwe Qibla. Huyu mkuda inasemekana sasa hivi kaenda kabidhi tena list na picha za wahusika.na sijui Mossad sijui...
Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amewapongeza na kuwatunuku askari wa...
Ofisi ya Waziri Mkuu ilisema vita vinaweza kumalizika mara moja ikiwa masharti matano yatatimizwa -. kuachiliwa kwa mateka wote; kupokonywa silaha kwa Hamas; kuondolewa kijeshi...
September 3, 2025 Mahakama ya Peru imemuhukumu Rais wa zamani Alejandro Toledo kifungo cha miaka 13 jela kwa kosa la kupokea rushwa. Toledo mwenye umri wa miaka 79, aliyewahi kuongoza nchi hiyo...
Benjamin Netanyahu anazidi kuchanganyikiwa na kuwa kama mwendawazimu huku akiwatukana viongozi wenzake wa nchi za nje kwamba ni madhaifu sana.
Matusi hayo amekuwa akiyatoa bila kuzuizi jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.