International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanajamvi please mchambueni huyu mwana mama . 1.Role yake ya mwanamke katkika jamii unamuonaje positive or nagative. 2.Uaminifu wake unaonaje ungependa upate mwanamke kama yeye ? 3.Hivi ni kweli...
2 Reactions
4 Replies
605 Views
Ndege ya Air India AI171, aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyokuwa safarini kutoka Ahmedabad, India kuelekea London Gatwick, Uingereza, imepata ajali mbaya ikiwa na watu 242 imeanguka muda...
3 Reactions
174 Replies
9K Views
Mnyama mmoja katili ambaye alijivunia kuwaua raia 10 wa Kiyahudi mnamo Oct 07,2023 naye ameangamizwa. Wananchi wa Gaza wanaripoti kwamba katika shambulio la IDF Alhamisi dhidi ya "kundi la watu"...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Kuelekea mwaka wa pili wa wao kupigana na Israel sasa Hamas wametoa wito kwa jumuiya za kimataifa kuingilia kati kuwaokoa kutokana na maangamizi yanayofanywa na Israel iliyoungana na Marekani...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Majengo marefu huko Gaza leo hii yameangamizwa baada ya uchunguzi kuonyesha yana kamera Zinaowasaidia magaid wa hamas kuyashambulia majeshi ya Israel. Baada ya janja ya magaidi wa hamas...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote. Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Israel says it has successfully launched a new spy satellite into space, a move that will significantly enhance its surveillance capabilities in the Middle East. According to Israeli officials...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki...
31 Reactions
344 Replies
20K Views
Urusi ilijitanua pole pole kuelekea mashariki kufuata biashara ya manyoya ya wanyama. Ikafika hadi bahari ya pacific, ikavuka hadi kufika Alaska. Katika kujitanua huko ikafika bonde la mto Amur...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Gavana wa Benki Kuu ya Marekani, Lisa Cook, ameanzisha mvutano na Rais Donald Trump kwa kukataa kuondoka kwenye wadhifa wake baada ya rais huyo kutangaza kumfukuza kazi. Mvutano huo umetokea...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, ameingia katika mgogoro wa kisiasa baada ya muhula wake kumalizika rasmi usiku wa Septemba 4, 2025 bila ya kukabidhi madaraka. Badala yake, Embaló...
1 Reactions
3 Replies
419 Views
DJT anaendelea kuwapeleka mbio Wamarekani, sasa Department of Defense(DoD) imekuwa Department of War(DoW)
0 Reactions
10 Replies
596 Views
My Take Ni rai yangu kuwataja na Kutambua idadi ya watu waliofariki wakati wa Ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere na Sgr Ili kuwatambua kama mashujaa badala ya kuhangaika na Wanasiasa tuu. Nchi...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Adui namba moja wa uchumi wa Marekana ni Ulaya iliyoungana na sarafu ya euro. Marekani inakasirishwa na upanuzi wa umoja wa ulaya kuelekea Mashariki. Upanuzi huu wa ulaya unaibana Marekani kwa...
13 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanakumbi. Kundi la Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuripotiwa kuwakamata wengine 4. Hata hivyo Israel imedai kuwa ni mwanajeshi mmoja tu aliyeuawa na wengine 11 wako...
11 Reactions
198 Replies
5K Views
Hawa Wairani kuwaelewa ni ngumu, baadhi ya viongozi waliodaiwa Kuuliwa na Israel wameonekana kwenye sherehe za kusherehekea ushindi huko Tehran. Miongoni mwao ni mkuu wa jeshi la mapinduzi ya...
21 Reactions
79 Replies
5K Views
IDF ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Houthis nchini Yemen. Walilenga idadi kubwa ya viongozi wa Houthi ambao walikuwa wamekusanyika pamoja kutazama hotuba ya mkuu wa Houthi Al-Malak...
4 Reactions
60 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W). Polisi walilaani mauaji ya mwanamke...
6 Reactions
216 Replies
7K Views
Jamuhuri ya Demokrasia Congo imethibitisha mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola kusini mwa mji wa Kasai ambapo hadi sasa kuna wagonjwa 28 wanaoshukiwa kuambukizwa na idadi ya vifo 15. Wizara ya Afya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri wa zamani wa sheria Jamuhuri ya kidemokrasia Congo, Constant Mutamba, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu cha kazi ngumu kwa kosa la kufuja dola milioni 19 zilizotengwa kwa ujenzi wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom