International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri Mkuu wa Nepal, K.P. Sharma Oli, amejiuzulu kufuatia maandamano dhidi ya ufisadi ambayo yalisababisha vifo vya watu 19. Waandamanaji waliamua kutoka mitaani wakivunja amri ya kutotoka nje...
2 Reactions
5 Replies
516 Views
Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwaka 1945, watu wa China, baada ya miaka 14 ya mapambano magumu, waliwashinda kabisa wavamizi wa kijeshi wa Japan, na kuweka alama muhimu katika ushindi kamili wa Vita Kuu ya Pili Duniani dhidi...
1 Reactions
1 Replies
276 Views
Korea Kusini inamtuma waziri wake wa mambo ya nje kwenda Marekani katika juhudi za kuzuia hali ya kutoridhika inayozidi kuongezeka kufuatia msako wa uhamiaji kwenye kiwanda huko Georgia...
1 Reactions
9 Replies
887 Views
Trump anaenda kuibadili Pentagon na itaitwa Idara ya Vita Hivi kwa hapa Tanzania Pentagon ni sawa na Taasisi gani? Nimeogopa sana 🐼 ----------------- Rais wa Marekani, Donald Trump...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameamuwa kujiuzulu baada ya chama chake cha Liberal Democratic Party, (LDP) kupoteza wingi wa viti kufuatia uchaguzi wa baraza la juu. Vyombo vya habari vya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Moto mkubwa umezuka katika jengo la makazi lenye ghorofa 67 lililopo Dubai Marina, na kuwalazimu wakazi takriban 4,000 kuhama kwa dharura. Moto huo umeweza kudhibitiwa baada ya saa sita za juhudi...
3 Reactions
6 Replies
749 Views
Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, amefanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri Jumatatu Septemba 8, 2025 kufuatia maandamano yenye vurugu yaliyozuka nchini kote kupinga marupurupu ya...
1 Reactions
0 Replies
196 Views
Waziri Mkuu wa Ufaransa bwana Francois Bayrou baada ya kupigiwa kura 364 za hapana dhidi ya kura 194. Bunge la Ufaransa kwa azimio moja limefanikiwa kumuondoa Waziri Mkuu huyo ambaye alikuwa...
1 Reactions
8 Replies
431 Views
Rwanda imeandika historia kuwa taifa la kwanza barani Afrika kuzindua rasmi Teksi ndege za Kielektroniki zisizo na rubani, EHang EH216-S, ambazo zitatumika kwa huduma ya usafiri wa abiria mijini...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani. Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Idhaa rasmi za Hamas zinasambaza video inayoonyesha mtu wa Gaza aliyejitoa muhanga akiwa amevikwa sanda ya mazishi akiwahutubia wakazi wa Shati na vitongoji vya Sheikh Radwan: “Mbona mnaogopa...
2 Reactions
11 Replies
666 Views
Misri imejiunga na nchi za Uturuki na UAE kuitolea maneno makali Israel ambavyo si kawaida yao. Waziri wa mambo ya nje wa Misri amesema hakuna kuhamishwa tena kwa wakazi wa Gaza kupelekwa popote...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Kutokana na figisu za Trump na Netanyahu, UN imesema isiwe taabu. Tunaondoka,tunahamia Geneva Chanzo ni kumkatalia member wa UN Mahmud Abbas wa Palestina kuingia Marekani kwenye kikao cha General...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Jumanne Septemba 9, 2025 inatazamiwa kuashiria wakati wa mabadiliko katika historia ya Ethiopia. Ni tarehe ambayo ndoto ya Ethiopia iliyothaminiwa kwa muda mrefu inatimia wakati Bwawa la Grand...
1 Reactions
10 Replies
752 Views
Wanakumbi. ⚡️BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: "Tulifikiri tulikuwa wafungwa wa Hamas; lakini ukweli ni kwamba, sisi ni wafungwa wa serikali yetu ya Netanyahu, Ben Gvir, na Smotrich." Upinzani...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Ni Vladimir Putin ama huenda ni Putin na XI kwa mikakati Yao ya pamoja wameweza kumuingiza Kim Jon UN katika mfumo wa Dunia. Nikisema Kim Jon UN namaanisha Korea kasakazini kama nchi tayari...
30 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawa Wachina waatia aibu sana. Badala ya kumualika USA na Kumpa pongezi nyie mnafanya gwaride na kualika loosers wenzenu eti mnasherehekea kuishinda Japan wakati ukweli ni kwamba USA ndio...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
My Take Mtu mweusi hawezi Wala kujiuzulu na kuachia madaraka kizembe hivyo 😂😂😂😂👇👇
5 Reactions
14 Replies
981 Views
Wanajamvi please mchambueni huyu mwana mama . 1.Role yake ya mwanamke katkika jamii unamuonaje positive or nagative. 2.Uaminifu wake unaonaje ungependa upate mwanamke kama yeye ? 3.Hivi ni kweli...
2 Reactions
4 Replies
605 Views
Back
Top Bottom