Trump kwa mara nyingine amegoma kukaa na waandishi wa habari katika tafrija ambayo kimazoea Rais wa marekani huwa anahudhuria.
Hongera kwake kwa kuwakataa waandishi wanafiki!
Two Israeli fighter jets entered Iranian airspace in the past month, according to various reports citing the Kuwaiti newspaper Al-Jarida. The Iranian defense systems failed to detect the aircraft...
WASHINGTON (Reuters) - U.S. President Donald Trump signed a memorandum on Friday ordering the end of a policy, known as “catch and release,” in which illegal immigrants are released from detention...
Aliyekuwa rais Nelson Mandela na mkewe wa zamani Winnie Mandela
Aliyekuwa mkewe Nelson Mandela amepoteza harakati zake za kutaka kurithi makao yalio mashambani ya rais huyo wa zamani wa taifa la...
April 3, 2018
San Bruno, California
Shambulizi la bunduki ktk makao Makuu ya YouTube. Ina aminika shambulio hilo lilitekelezwa na mwanamke. Google kampuni mama inayoimiliki YouTube imesema...
In 1986 she made a speech in which she talked about achieving liberation from apartheid by using “necklaces” – a reference to the brutal murder of suspected collaborators by putting tyres round...
Mahakama ya rufaa nchini Brazil imeagiza kuwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Luiz Inacio Lula da Silva, ni sharti aanze kutumikia kifungo chake cha miaka kumi na miwili gerezani, baada ya kupatikana...
Breaking news: Nearly 80% of casualties in Gaza riots were active members of terrorist organizations, according to new reports.
The question isn't should the IDF be investigated it's should Hamas...
Ulimwenguni sayansi na technolojia imeendelea kukuwa kwa kasi sana kupelekea tishio sasa la watu kuanza kufunga ndoa na Marobot kama wake au waume na kuishi maisha ya kimapenzi.
Wakati wasiwasi...
Asasi za Kiraia nchini Malawi zimemkosoa Rais Peter Mutharika kwa kumteua Rodney Jose kuwa Kaimu Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi(IGP).
Tamko la taasisi hizo umesema kuwa IGP Jose hana maadili ya...
Habari za hivi punde,
Wizara ya mambo ya nje ya Uingereza imekanusha usemi ambao unadai kwamba wao walisema ile sumu ya Novichok imetokea nchini Urusi. Hili limekuja baada ya Wanasayansi wa jeshi...
Taifa teule la Israel limebadilisha mpango wake wa awali wa kuwarasimisha wahamiaji 16000 wa kiafrica!! sasa wakimbizi hawa watatakiwa kuondoka kwenda nchi zingine , imedhaniwa kuwa ni Uganda au...
Mahakama ya rufaa nchini Brazil imeagiza kuwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Luiz Inacio Lula da Silva, ni sharti aanze kutumikia kifungo chake cha miaka kumi na miwili gerezani, baada ya kupatikana...
Kiongozi Mkuu wa upinzani na chama chake cha Sierra Leone peoples party wametangazwa washindi wa marudio ya kura za urais.
Julius Maada Bio ameshinda kwa asilimia 51 dhidi ya 48 ya Samora Kamara...
Leo radio za VoA na DW walimzungumzia Mch. Martin Luther King Jr ambaye aliwaongoza Wamarekani weusi kupinga ubaguzi dhidi ya watu weusi huko Marekani miaka ya 1960. Harakati zake zilisababisha...
Zaidi ya raia wa Ghana 50 waliojaribu kuingia nchini Australia kinyemela wamekamatwa walipokuwa wakijaribu kuingia nchini humo kwa kujifanya kuwa waandishi wa habari
Raia hao walishikwa wakati...
Mahakama ya juu ya Brazil imeamuru aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Lula Da Silva kuanza kutumika kifungo cha miaka 12 kwa kosa la ufisadi
I saw this on the BBC and thought you should see it...
Lile sakata la yule jasusi kudhuriwa na nerve agent huko uinngereza linazidi kwenda mbali baada ya leo marekani kuwatimua wanadiplomasia 60 wa urusi pia kuamuru kufungwa kwa russian consulate...
Habari za pilika wadau wa JF.
Leo ni miaka 50 tangu kuuliwa kwa kupigwa risasi kwa Mmarekani mweusi Martin Luther na kundi la wazungu waliochukia harakati zake za kupigania haki za weusi...