International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Published: Workers watch as an excavator clears the debris at the site after a four-story hotel collapsed in a crowded part of the central Indian city of Indore late on Saturday. [Photo by...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Kuanzia miaka ya 1991 hadi kufika 2007, Urusi walikuwa na mahusiano maziri na Marekani ambavyo haikuwahi kutokea kwenye historia. Raisi George Bush alikuwa anatembelea sana Moscow na Raisi Putin...
7 Reactions
39 Replies
5K Views
Vyombo vya usalama vya Palestina vimesema kwamba sio chini ya watu 15 waliuwawa Ijumaa na majeshi ya Israeli na zaidi ya watu 750 walitupiwa risasi za moto. Wapalestina walizika maiti za watu wao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jeshi la Syria lapata mabomu ya Israel katika mapango ya magaidi Ghouta Wanajeshi wa Syria wamepata idadi kubwa ya silaha za utawala haramu wa Israel zilizoachwa na magaidi wakufurishaji waliokuwa...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali ya Urusi kupitia Wizara yake ya Ulinzi, kwa mara ya 2 imefanya jaribio la Kombora jipya la masafa marefu linalodaiwa kuwa na uwezo wa kukatiza kutoka Bara moja kwenda lingine Rais wa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
ZAMBIA: Nevers Mumba, Makamu wa Rais mstaafu amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela kwa kosa la kuvamia kituo cha runinga mwaka 2016. Alivamia kituo cha ZNBC kupinga stori iliyorushwa ambayo...
2 Reactions
71 Replies
9K Views
Duniani kuna mambo! Kasisi mmoja wa nchi jirani hapo Msumbiji amejikuta akiwekwa rumande kwa kumkosea heshima marehemu. Ni baada ya kudai anaweza kutenda miujiza na kumfufua kwa kuwa ametumwa na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Urusi imeawafukuza Wanadiplomasia 60 wa Marekani na kufunga Ubalozi wa nchi hiyo uliopo St. Petersburg kufuatia Marekani kufukuza wanadiplomasia 60 wa Urusi nchini kwao kufuatia sakata la Jasusi...
4 Reactions
65 Replies
9K Views
Wananchi wa Guinea wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Conakry wakipinga vitendo wanavyofanyiwa na polisi dhidi ya wafuasi wa kambi ya upinzani na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov ameonya kwamba uwekwaji wa mitambo mipya ya kuzuia makombora nchini Japan tokea Marekani inaathiri moja kwa moja usalama wa Urusi pamoja na maslahi...
8 Reactions
106 Replies
13K Views
Kuna dalili kubwa kwa bara la Afrika kuondoka kwenye mfumo wa kidemokrasia na kurudi mfumo wa chama kimoja . Kiongozi wa chama cha upinzani Senegal Khalifa Sali amefungwa jela miaka 5 kwa kesi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Maputo — Among the people arrested in connection with the islamist attacks in the northern Mozambican district of Mocimboa da Praia are 32 Tanzanian citizens, and all of them will be put on trial...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Habar kutoka mashariki ya kati Jeshi la israel limewauwa raia kumi wa palestina ambao walikuwa wakiandama kupinga utawala huo wa kiyahud kukalia maeneo yao kwa nguvu na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Waasi wa ki huthi toka Yemen jana wameshambulia mji wa Riyadh kwa makombora 7 moja limeweza kupenya ngome ya Saudi...na kudhaniwa kusababisha madhara makubwa kwa raia....kama ni kweli itakuwa ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sikuwahi kufikiri kwamba kagame anaweza kuwa na akili za hovyo kiasi hiki,kumkamata Rwigayana na mama yake kisha kuwapa kesi na kuagiza mahakama kuuza kiwanda kwa bei ya hasara kwa mnada ni jambo...
10 Reactions
41 Replies
5K Views
Vladmir Putin anapotuma ujumbe kwa Mataifa yote kuuelewa!. "They did not listen to us then!.. Listen now"... Angalia na jibu la mmoja wa commentator wa Washington Post [emoji116][emoji116]...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Waasi wamemuua mwanajeshi mmoja katika shambulizi dhidi ya makazi ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mashariki mwa nchi hiyo ambako mizozo kadhaa imezuka katika kipindi cha...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
[http://dsh7tu7hoh3mx] Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy aendelea kushikiliwa na polisi 21 Mar 2018, 04:30 pm| By Azam NewsUHALIFU Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy ameonekana...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Dakta Larijani: Israel ni mama wa ugaidi duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kumbukumbu za karne za mwisho hakuna tukio baya kama la kuasisiwa utawala haramu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom