Shambulizi Makao Makuu ya YouTube

Shambulizi Makao Makuu ya YouTube

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,633
Reaction score
37,519
April 3, 2018
San Bruno, California

Shambulizi la bunduki ktk makao Makuu ya YouTube. Ina aminika shambulio hilo lilitekelezwa na mwanamke. Google kampuni mama inayoimiliki YouTube imesema inatoa ushirikiano kwa mamlaka mbalimbali ktk jimbo la California katika kuchunguza tukio hilo ndani ya makao Makuu ya mtandao wa YouTube.
A woman opened fire at YouTube's California headquarters Tuesday afternoon before apparently turning the gun on herself, authorities said.

San Bruno Police Chief Ed Barberini said the woman appeared to have killed herself. "It was very chaotic, as you can imagine," Barberini said.

YouTube employees tweeted that they had evacuated the building in San Bruno, south of San Francisco, or were in hiding. Google, YouTube's parent company, said it was coordinating with authorities.
.

Source: MSNBC
 
Mdada baada ya kuwatungua wenzie nadhani ni wanne ambao sasa ni majeruhi, akajitungua na mwenyewe kishatangulia mbele ya haki. Bila ya shaka mzungu huyu.
Hahahhhh kumbe na wewe unajua ujinga huu wanao wazungu mara shuleni movie thearter Vegas etc.
 
YouTube nao walikuwa mbioni kwenye mpango wa ku ban videos zinazofundisha kutengeneza silaha na kufanya promotion za silaha.

Ooooh,
So hii ndo itakuwa sababu I guess. Daah, kuna watu wana strong feelings na vitu vyao aisee
 
Angekuwa mshenzi kama angekuwa wa allah, lakini kama siyo utasikia ana tatizo la akili
Kabisa...kwasababu ni mzungu lazma wenzie waseme alikua na 'hostoria' ya ugonjwa wa akili....
 
Wataalamu wa conspiracy theories wanakwambia matukio yoote haya ni matokeo ya developed experiment ya project MK UTRA
 
Umiliki wa silaha marekani sijawah kuuelewa.. Ingekuwa Tanzania sijui ingekuaje
 
Wataalamu wa conspiracy theories wanakwambia matukio yoote haya ni matokeo ya developed experiment ya project MK UTRA
Hebu tufungue kidogo.., project MK UTRA ni nini hasa...?
 
Back
Top Bottom