Je, kuna dalili ya kuanza kufunga ndoa na robot?

Je, kuna dalili ya kuanza kufunga ndoa na robot?

Jackson94

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
505
Reaction score
600
Ulimwenguni sayansi na technolojia imeendelea kukuwa kwa kasi sana kupelekea tishio sasa la watu kuanza kufunga ndoa na Marobot kama wake au waume na kuishi maisha ya kimapenzi.


Wakati wasiwasi ukiendele kutanda kuwa Roboti anaweza kuchukua nafasi ya kimapenzi kwa mwenza wako na akafanya vizuri zaidi, Maumbile ya marobiti yameendelea kuboreshwa hatakufikia kuwa na mvuto kama binadamu wa kawaida.

Wataalamu wa tekinolojia wameendela kueleza kuwa marobot wanaendelea kuboreshwa zaidi na kufanana zaidi na binadamu ilikuweza kuamsha hisia za kimapenzi.

Dr Kevin Curran, mshirika mkogwe wa Institute of Electronic napia ni ‘Electrical Engineer’ na ni ‘computer scientist’ wa chuo kikuu cha Ulster, amezidi sema ujio wa ‘cloud computing’ unaweza ongeza ubora zaidi wa robot hao kuwa natabia na mienendo itakayo fanana zaidi na binadamu wa kawaida.
1.jpg
2.jpg
 
Unaweza ikiwa lengo lako la kuoa ni kugegeda, ila kama unaoa ili uweze kuwa na watoto nadhani bado hao bots hawajawa na uwezo wa kubeba mimba na kujifungua, tuwe wavumilivu labda huko baadae
 
Unaweza ikiwa lengo lako la kuoa ni kugegeda, ila kama unaoa ili uweze kuwa na watoto nadhani bado hao bots hawajawa na uwezo wa kubeba mimba na kujifungua, tuwe wavumilivu labda huko baadae
Hakuna lengo hapo ni upuuzi tu
 
Back
Top Bottom