Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,647
- 4,495
Kama alikuwa na uwezo ungekuta alishaifuta kitambo ni maneno tuAmebaki mpuuzi mmoja tu aitwaye Iran ndiye kila uchao matamko eti ya kuilaani na kuifuta Israel katika uso wa dunia. Nchi muhimu za middle east ikiwamo Egypt, Jordan, na leo hii Saudia ni marafiki wa Israel hao waajemi hawana lolote. Soon tutaanza kuona direct flights Tel-Aviv - Riyadh; Jerusalem - Mecca; etc. ndio mtajua ujinga haulipi.
Wapuuzi sana Mkuu. Uifute Israel halafu dunia ikuangalie tu! Watafutwa wao kabla ya Israel.Kama alikuwa na uwezo ungekuta alishaifuta kitambo ni maneno tu
Sasa uzuri akuna wanafiki na wasiyo na umoja kama warabu yani uyu iran atakungutwa paka ashangae mwenyeweWapuuzi sana Mkuu. Uifute Israel halafu dunia ikuangalie tu! Watafutwa wao kabla ya Israel.
Amebaki mpuuzi mmoja tu aitwaye Iran ndiye kila uchao matamko eti ya kuilaani na kuifuta Israel katika uso wa dunia. Nchi muhimu za middle east ikiwamo Egypt, Jordan, na leo hii Saudia ni marafiki wa Israel hao waajemi hawana lolote. Soon tutaanza kuona direct flights Tel-Aviv - Riyadh; Jerusalem - Mecca; etc. ndio mtajua ujinga haulipi.
Chapa risasi hao magaidi wanaofadhiliwa na bwana yao Iran kwenda kuleta vurugu katika nchi za watu.
Ila nadhani kaongea kwa nafasi yake kama Mkuu wa nchi na sio kama kiongozi wa dini.kwenye UNAFIKI.
ndio waislam TUNAFELI.
bora KAFIRI kuliko MUISLAM MNAFIKI.
Dini hizi...
Wanadamu mnaauana sababu kuna some funny text said so?
Stupid God,and even stupider christians and moslems!
Maoni yako ni muhimu sana mkuu, lakini hauwezi kutukana watu wengine kana kwamba unawalisha au unawahudumia kwa kuwa wao ni wajinga au wapumbavu.
Maadam kila mmoja anaendesha maisha yake kwa kadri ya uwezo wake, haya mambo mengine yanabaki kama ushabiki wa mipra tu, kila mmoja na timu yake.
kama ni muislam kweli HAWEZI KUSEMA HIVYO.Ila nadhani kaongea kwa nafasi yake kama Mkuu wa nchi na sio kama kiongozi wa dini.
Maoni yako ni muhimu sana mkuu, lakini hauwezi kutukana watu wengine kana kwamba unawalisha au unawahudumia kwa kuwa wao ni wajinga au wapumbavu.
Maadam kila mmoja anaendesha maisha yake kwa kadri ya uwezo wake, haya mambo mengine yanabaki kama ushabiki wa mipra tu, kila mmoja na timu yake.
Nina haki ya kukutukana na wewe una haki hiyo!
Inaitwa haki ya ku-provoke!
Kama hutaki haya inabidi uhame dunia mazima ndio hutakutana nayo!
This is reality!
Kitabu kinakwambia ua binadamu mwenzio na wewe unakubali,thats stupidity of highest order!
Mungu anae pangia watu vipande vya ardhi atakua mpuuzi ajabu!
Mbona nchi yake inaongozwa kwa sharia..ndo maana wanachinja watu hadharani...utawala wa kinafiki tu ule wanaangalia upepo unapoelekea maana walishapoteza muelekeo muda wowote walijua hawana chao...Ila nadhani kaongea kwa nafasi yake kama Mkuu wa nchi na sio kama kiongozi wa dini.
Kaa kimya hujui siasa za middle eastAmebaki mpuuzi mmoja tu aitwaye Iran ndiye kila uchao matamko eti ya kuilaani na kuifuta Israel katika uso wa dunia. Nchi muhimu za middle east ikiwamo Egypt, Jordan, na leo hii Saudia ni marafiki wa Israel hao waajemi hawana lolote. Soon tutaanza kuona direct flights Tel-Aviv - Riyadh; Jerusalem - Mecca; etc. ndio mtajua ujinga haulipi.
Chapa risasi hao magaidi wanaofadhiliwa na bwana yao Iran kwenda kuleta vurugu katika nchi za watu.
China, russia wwko wapi Mkuu?? Au ulikuwa jelaSasa uzuri akuna wanafiki na wasiyo na umoja kama warabu yani uyu iran atakungutwa paka ashangae mwenyewe
Who hell are you??Dini hizi...
Wanadamu mnaauana sababu kuna some funny text said so?
Stupid God,and even stupider christians and moslems!