Mwanamke mmoja Guinea ambaye aliwauzia dawa za kienyeji kwa wagumba, akiwaambia kuwa wangepata mimba, amefungiwa miaka mitano.
N'na Fanta Camara alitengeneza dawa ya kienyeji ambayo ilisababisha...
Maafisa wa Korea Kaskazini wasema Kim Jong Un yutayari kujadiliana na Maafisa wa Marekani kuhusu kuachana na mpango wa nyuklia ikiwa ni maandalizi ya kukutana na Rais Trump
> Korea Kaskazini...
Hali inayotokea Sudan ya weusi inasikitisha sana. Baada ya kujitenga na Sudan ya weupe hali yao ni kuchinjana tu kila siku.
Baada ya wazungu kuwadanganya wajitenge sasa hivi wazungu wameikumbatia...
The time has come for me to graduate (high honors)!!!!! I am so excited cause I never saw myself here...I am 1 step closer to Law School!!!! Whoooop!!! It may be small to everyone else, but ya'll...
Habari wadau.
Nimestaajabu kusikia mji mkuu wa Rwanda Kigali ni msafi kuliko mji mkuu wa Ujerumani Berlin pia ni salama zaidi kuliko mji mkuu wa Austria Vienna. Hili limedhibitishwa na jopo la...
A suspected chemical attack in Douma, the last rebel-held stronghold near Syria's capital, Damascus, has killed at least 70 people and affected hundreds, rescue workers have told Al Jazeera.
The...
-Anasema kama watavunja hiyo deal, watapata matokeo yake ndani ya wiki moja tu.
-Tumejiandaa kuliko wanavyofikiri, watapata matokeo chini ya wiki.
-Trump ametishia kuvunja makubaliano na kuongeza...
UNAMFAHAMU HAMZA BENDELLADJ?
Kabla sijakufahamisha kuhusu huyu Kijana Naomba kuulizia swali, kumuibia mwizi ni kosa? Na je kuiba na kugawa kwa wahitaji ni kosa au laa... Majibu ya maswali hayo...
Msanii wa Nigeria Zainab Ali-Nielsen maarufu kama Alizee na mtoto wake wa miaka minne wameuawa na mume wa msanii huyo ambaye ni raia wa Denmark, Peter Nielesen katika nyumba yao iliyoko huko...
Mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya jinai Fatou Bensouda ametaka machafuko yanayofanyika katika Ukanda wa Gaza kusitishwa na ameonya kuwa mahakama hiyo huenda ikawakabili wale...
Spika wa Bunge la Somalia Mohamed Sheikh Osman Jawari amejiuzulu muda mfupi kabla ya kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, amesema mbunge mmoja na hivyo kuhitimisha mvutano wa kisiasa wa wiki...
Watu kadha wamefariki katika uwanja mmoja wa ndege wa kijeshi nchini Syria baada ya shambulio la kutumia makombora, vyombo vya habari vya serikali ya Syria vinasema.
Shirika la serikali la SANA...
Padri mmoja wa Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amekutwa ameuawa baada ya kupigwa risasi masaa machache tu baada ya kuongoza misa katika mkoa wa Kivu ya Kaskazini. Mkuu wa...
UINGEREZA: Meli ya abiria ya Uingereza iliyozamishwa kwa kupigwa bomu na ndege za Japan wakati wa vita ya pili ya dunia, imeinuliwa kutoka baharini na kundi la wapiga mbizi wa Jeshi la Wanamaji wa...
URUSI: Mamlaka ya Mawasiliano Roskomnadzor yafungua kesi ikitarajia kuruhusiwa kuufungia na kuupiga marufuku mtandao wa Telegram nchini humo
Serikali ya Rais Putin tangu mwaka 2017 haina furaha...
Mwanzilishi mwenza wa Kampuni ya Apple, Steve Wozniak asema amejiondoa kwenye mtandao wa Facebook kutokana na mtandao huo kutojali taarifa nyeti za wateja
> Ameongeza kuwa Wanachama wa Facebook...
-Pia shuleni hapo hakuna ulazima wa kuwatambua watoto kwa jinsia zao Ke, Au Me bali wote wanatambulika kwa jina na "Pupils".
-Pia wanafikilia kuanzisha uniform zisizofungamana na jinsia yoyote...
Uongozi wa shule moja huko Florida ulimuagiza mwanafunzi mmoja mwenye umri wa miaka 17 ambaye hakuvaa sidiria kufunika chuchu zake kwa kuwa alikuwa akiwachanganya wanafunzi wengine waliokuwa...
Help needed to learn Italian. Anyone who can speak the language fluently pls check me +255768957825( Whatsapp only)
Msaada wa kujifunza kitaliano. Yeyote anayeweza kukiongea kwa ufasaha tafadhali...
-Wote wanatuhumiwa kupanga Jaribio la mapinduzi lililofeli.
-kwa mujibu wa Waziri mkuu wa KOSOVO ambaye alifukuza waziri wa mambo ya ndani na intellijensia kwa kutomshirikisha Watu sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.