International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kijana mmoja mkulima kutoka watu wa tabaka la chini India - la jamii ya Dalit - amepigwa hadi kufa kwasababu anamiliki na kumuendesha farasi Police katika jimbo la Gujara wanasema kuwa wanaume...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Angalia hapa takwimu za nguvu za kijeshi kati ya Marekani na Urusi, na uamue mwenyewe lipi ni jeshi lenye nguvu zaidi
1 Reactions
143 Replies
25K Views
Leo ni kumbukumbu ya miaka 50 tangu kuuawa kwa mwanaharakati maarufu wa haki za watu weusi nchini Marekani, Martin Luther King Jr. Aliuawa Aprili 4, 1968 mjini Memphis, Tennesses akiwa na umri wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naibu Gavana wa jimbo la Ikweta kusini magharibu nchini Jamuhuri ya demokrasia ya Kongo ,Tathy Bikamba ameshtakiwa kwa tuhuma za ubakaji wa binti wa miaka 20 ambaye inadaiwa kuwa alimfanyia unyama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Marekani imeutaja ushuru wa forodha uliowekwa na China kwenye bidhaa zake kama "sio haki", baada ya China kuweka ushuru wa bidhaa 128 zenye thamani ya dola bilioni 3, zinazoingizwa na Marekani...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanamgambo wa kiislamu wamefanya shambulizi kwenye kambi ya wa jeshi la Muungano wa Afrika AU nchini Somalia. Wanamgambo hao walilipua mabomu yaliyokuwa yametegwa ndani ya magari mawili nje ya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Saudi crown prince recognizes Israel’s right to exist, talks up future ties
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa Burundi amechangia dola 2270 kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2020 .Nkurunzinza amechangia pesa hizo kama sehemu ya fungu lake la kumi kutoka kwenye pesa alizopata kwa kuuza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kheri ya krismas na mwaka mpya kwa wadau wote hapa kwenye ukumbi wetu! Ni matumaini yangu kuwa hamjambo, kama kuna wanaosumbuka ki afya au kwa matatizo mengine, Mungu awasaidie!! HOJA: Nadhani...
0 Reactions
88 Replies
9K Views
Serikali ya Marekani imeweka kipingamizi juu ya muswada ulioletwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) Jumamosi ukitaka uchunguzi ufanyike juu ya Israeli kutumia risasi za moto dhidi ya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wengi miongoni mwa watu watakaoomba viza za kuingia nchini Marekani wanaweza hivi karibuni kuanza kuombwa utambulisho wao katika mitandao ya kijamii, historia ya safari walizozifanya, namba zao za...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Fuatilia live coverage hapa == RT News — RT
0 Reactions
5 Replies
958 Views
President Vladimir Putin said that Russia had canceled the debt of African countries in excess of $ 20 billion. To help the African continent overcome poverty, Russia has decided to cancel more...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
Indonesia imetangaza hali ya hatari katika badari kwenye kisiwa cha Borneo baada ya mafuta kumwagika kwa wingi na kusababisha moto ulioua watu wanne Jumamosi iliyopita Maafisa wa kupunguza...
1 Reactions
0 Replies
838 Views
Kile chombo chaanga cha china kilopoteza mawasiliano na base station hatimae chaanguka duniani asubuhi hii.Mabaki ya kifaa hicho yanayo sadikiwa kuwa na uzito wa tini 9 sawa na basi la shule...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Hawa huwa wanautaratibu wa kwenda kumuadhibu mkosaji huko huko kwenye eneo alilofanyia tukio tena ni haraka na mbele ya umma, ndio kisa maovu kule mfano wa wizi ni nadra sana ingawa yaweza kuwepo...
5 Reactions
74 Replies
10K Views
Takriban watu 18 wameuawa na wengine 84 wamejeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na waasi wa Boko Haram waliokuwa wakipambana dhidi ya wanajeshi wa serikali karibu na mji wa kaskazini mashariki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
President Trump has sanctioned Rwanda for banning used clothes from the US. This follows a petition by the US used clothing industry who were afraid of losing jobs and market. This penalty comes...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Chombo cha anga za juu cha China kwa jina Tiangong-1 ambacho kimekuwa kikitumiwa kama maabara kinatarajiwa kuanguka duniani mwishoni mwa wiki. Kina urefu wa mita 10 na uzani wa zaidi ya tani 8 na...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Back
Top Bottom