International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

The stupid, it burns: Florida State Rep. Kimberly Daniels thanks God for slavery, claiming “if it wasn’t for slavery, I might be somewhere in Africa worshipping a tree.”
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Who is Brazil's ex-president Lula? He was once a president celebrated abroad and loved at home. Now he is a convicted criminal. Brazil's Luiz Inacio Lula da Silva's life is in shambles. In...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndio maana nawakubali sana watu aina ya Trump ana Magufuli kwenye baadhi ya mambo hasa kusema nyekundu ni nyekundu na sio dam ya mzee.
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa Kama kichwa cha habal kinavyo someka hapo juu Kwa mda mrefu sasa nimekuwa team iran ayatorah lakin leo nahama rasimi nahamia team netanyau sababu...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Rais Donald Trump ameiambia nchi ya Urusi kwamba ijiandae maana Marekani itashambulia nchi ya Syria kwa makombora mapya Marekani imeazimia kuishambulia Syria baada ya kuituhumu serikali ya nchi...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe bado ameshikilia funguo za ikulu ya rais, ikiwa ni miezi minne tokea kulazimishwa kujiuzulu, anadai aliyekuwa msemaji wake mkuu George Charamba, ambaye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangza idhini ya kuiuzia Qatar makombora 5000 yenye thamani ya dola milioni 300 huku mgogoro baina ya nchi hiyo ndogo na Saudia ukizidi kutokota. Katika...
4 Reactions
0 Replies
896 Views
By Kylie Kiunguyu on April 10, 2018 — Ethiopian Airlines has signed a memorandum of understanding with the prominent South African Aerospace Manufacturing Company, Aerosud Holdings, to establish a...
3 Reactions
69 Replies
6K Views
Kasisi wa kanisa katoliki amepigwa risasi na kufa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo. Vyanzo vya habari kutoka Kaskazini mwa jimbo la Kivu vimearifu kuwa Padri Étienne Nsengiunva...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Watu wasiopungua 181 wamefariki nchini Algeria baada ya ndege ya kijeshi kuanguka karibu na kituo chandege cha Boufarik nje ya mji mkuu wa Algiers Taarifa zinaeleza kuwa ndege hiyo ilikuwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Taarifa ya wizara ya Ulinzi ya Urusi imethibisha kwamba Israel ndio iliyotekeleza shambulio la makombora dhidi ya uwanja wa ndege wa Syria. Kwenye taarifa hiyo imeelezwa kwamba ndege mbili za...
0 Reactions
92 Replies
11K Views
Najua Tz tunaongoza kijeshi AFRIKA MASHARIKI NA KATI, ila Nina shida ya kujua kati ya mataifa haya mawili, maana kila moja linadai kuwa zaidi ya mwenzie
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza mwafrika wa Afrika Kusini(hayati Nelson Mandela), Bi. Winnie Mandela amefariki leo Jumatatu mchana akiwa na umri wa miaka 81 jijini Johannesburg...
8 Reactions
137 Replies
25K Views
- Kisiwa hiki pamoja na nchi nyingine nne zimegraduate kutoka katika viwango vya nchi masikini kabisa kwa Mujibu wa Viwango vya UN. -Kwa Mujibu wa UN news Center nchi nyingine ni Kiribati,Bhutani...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Majaji wawili wa Mahakama ya Katiba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamejiuzulu kwenye nafasi zao, na kusalia majaji sita badala ya tisa katika Mahakama hiyo. Jaji mmoja alifariki dunia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Husika na kichwa cha habal jabo juu Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam...
9 Reactions
239 Replies
22K Views
Photo and info re Chuck Valentine Ezeh, a Nigerian Drug Lord based in Kuala Lumpur, Malaysia. He has put 5 Indonesian women in prison in Hong Kong for drug trafficking. Photo and info and letter...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Likiwa bado sakata la uchunguzi wa rais wa Us likiendelea kupamba moto, hatimaye wakili binafsi na wa muda mrefu kabisa wa Donald trump Michael Cohen amejiwa katika ofisi zake na F.B.I ambapo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
maeneo ya kivu, goma etc Mapadri wanashambuliwa kwa mapanga na kuuwawa na watu wasiojulikana. wengine wanatekwa na watu kudai fidia ili waachiwe. Mwingine kapingwa risasi.Gunmen kill parish priest...
1 Reactions
7 Replies
928 Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameahidi " kutumia nguvu " kujibu madai ya shambulio la kemikali nchini Syria, huku mataifa ya magharibi yakitafakari hatua watakayoichukua. "Tuna njia nyingi za...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom