Leo rasimi nimehama timu IRAN AYATORAH nimehamia team ISRAEL NETANYAU

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa

Kama kichwa cha habal kinavyo someka hapo juu

Kwa mda mrefu sasa nimekuwa team iran ayatorah lakin leo nahama rasimi nahamia team netanyau

sababu zinazofanya nihame ni maneno mengi ya iran yasiyo na vitendo,

Iran limekuwa ni taifa la mikwala na maneno mengi huku vitendo vikiwa ni zero

Kila siku anashambuliwa na israel lakin hajibu

Mara ya mwisho mwez uliopita alidai endapo kama israel itashambulia japo kwa jiwe base za iran zilizo siria bas atajibu mapigo kwa kuifuta israel kwenye uso wa dunia, cha ajabu jana kashambuliwa kwa makombola na wanajesh wake zaid ya 15 kuuwawa lakin hata hajajibu anasubir seke seke lipoe aje na mikwara yake ya hapa na pale

Ni bora niwe team sizonje, jiwe, ngosha lakin siyo team ayatorah nitaumia moyo bure

Nahama mazima team iran nahamia team israel

Nimegundua NETANYAU ni mwanaume kweli kweli maana yeye hanaga maneno ya kwenye kanga bali kwake ni vitendo tu

LONDON BOY
 
Sasa hapo Iran unafikili atajibu nini kati ujanja wake mpaka Ndege za Israel ziingie kwenye anga la Syria,, unafili Netanyau fala kurusha hayo makombora akiwa anga la Lebanon
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa

Kama kichwa cha habal kinavyo someka hapo juu

Kwa mda mrefu sasa nimekuwa team iran ayatorah lakin leo nahama rasimi nahamia team netanyau

sababu zinazofanya nihame ni maneno mengi ya iran yasiyo na vitendo,

Iran limekuwa ni taifa la mikwala na maneno mengi huku vitendo vikiwa ni zero

Kila siku anashambuliwa na israel lakin hajibu

Mara ya mwisho mwez uliopita alidai endapo kama israel itashambulia japo kwa jiwe base za iran zilizo siria bas atajibu mapigo kwa kuifuta israel kwenye uso wa dunia, cha ajabu jana kashambuliwa kwa makombola na wanajesh wake zaid ya 15 kuuwawa lakin hata hajajibu anasubir seke seke lipoe aje na mikwara yake ya hapa na pale

Ni bora niwe team sizonje, jiwe, ngosha lakin siyo team ayatorah nitaumia moyo bure

Nahama mazima team iran nahamia team israel

Nimegundua NETANYAU ni mwanaume kweli kweli maana yeye hanaga maneno ya kwenye kanga bali kwake ni vitendo tu

LONDON BOY

Mnadhani Sisi wengine hadi kuamua kutumia Picha yake katika Avatar zetu tulikurupuka tu? Hakuna kama Benjamin Netanyahu a.k.a Bibi.
 
Hii mizozo mara nyingi inachagizwa sana Wamarekani ambao wana maslahi na Israel.Wayahudi wako wachache lakini wana umuhimu mkubwa kwa Marekani (nafikiri kuliko taifa lolote).
 
Back
Top Bottom