ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Taarifa ya wizara ya Ulinzi ya Urusi imethibisha kwamba Israel ndio iliyotekeleza shambulio la makombora dhidi ya uwanja wa ndege wa Syria.
Kwenye taarifa hiyo imeelezwa kwamba ndege mbili za Israel Aina ya F-15 zilirusha makombora kadhaa zikiwa kwenye Anga ya Lebanon huku ndege nyingine ya ushushushu(upelelezi) ikifuatilia kwa karibu shambulizi hilo.
2 Israeli warplanes carried out strikes on Syrian airbase – Russian MoD
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba uwanja huo ulioshambuliwa ni kambi ya kijeshi ya Iran ambayo ilitumika kurusha drone ambayo ilitunguliwa na Israel mwezi February.
Inaarifiwa kwamba Shambulio(la Jana) hili la Israel limewaua wanajeshi 14 wa Iran.
14 killed, including Iranian forces, in Syria air strike
Russia outs Israel, says two Israeli fighter jets struck Iranian base in Syria