F.B.I wamchunguza wakili wa Trump

F.B.I wamchunguza wakili wa Trump

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
Likiwa bado sakata la uchunguzi wa rais wa Us likiendelea kupamba moto, hatimaye wakili binafsi na wa muda mrefu kabisa wa Donald trump Michael Cohen amejiwa katika ofisi zake na F.B.I ambapo wamechukua nyaraka kadha wa kadha kwaajili ya uchunguzi zaidi zikiwemo email, na taarifa mbali mbali za miamala ya kibenki wakiwa na ruhusa ya mwanasheria maalum aliyeteuliwa kusimamia uchunguzi huo wa rais bwana Robert mueler.

Je, trump atamtimua Mueler?

Je, hili suala linaleta picha gani ikiwa nyaraka muhimu zishatiwa mikononi mwa FBI?

Wataalam wa siasa za Us na dunia kwa ujumla karibuni mtuelimishe

FBI raids the office of Michael Cohen, Trump's personal lawyer - CNNPolitics
 
Trumpster... he's "unhinged", he knows there is probably incriminating evidence that was found. Why else would an "innocent" person be so upset? Let him touch Muller!
 
Mimi kisandu Mdogo nashauri wangemuomba ndugu yetu (kijana au Mzee?haijulikani) braza,faza,grandfaza Humphrey polepole akawasaidie kutuliza joto LA siasa huko kwa Mr Trump

😡🙁
images
 
Back
Top Bottom