Kitendo cha Waarabu kumuona Iran ni adui badala ya Israel kinanisikitisha sana

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,934
2,000
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habal jabo juu

Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam mwenzao asiye na hatia na kumuacha Israel adui yao mkubwa ambaye anakalia kwa mabavu maeneo ya waarabu ya nchi ya parestina na kuua watu wasio na hatia

Iv hawa watu wa kitabu kisicho na shaka ndan yake wana matatizo gan

Nawasilisha
 
leaderofleaders

Senior Member
Apr 25, 2017
134
250
Pole sana kwa mawazo mrama uliyokuwa nayo rafiki.
Hakuna taifa lolote litakaloweza kumpiga Israel. Hilo ni taifa ambalo Mungu wa kweli aliyeziumba mbingu na nchi alikwisha kulitamkia baraka na ulinzi. Pia elewa kuwa hizo baraka ni IRREVERSIBLE.

Ukiichukia Israel ni kwa hasara yako na ukiibariki Israel ni kwa faida yako. Mungu wa kweli habadiliki, akisema amesema na ni yeye yule jana leo na hata milele.
If you don't understand this truth and make up your mind, I pity you and whosoever you serve.
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
2,000
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habal jabo juu

Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam mwenzao asiye na hatia na kumuacha Israel adui yao mkubwa ambaye anakalia kwa mabavu maeneo ya waarabu ya nchi ya parestina na kuua watu wasio na hatia

Iv hawa watu wa kitabu kisicho na shaka ndan yake wana matatizo gan

Nawasilisha
Usicheze na Israel,nchi inayoweza kubadilishana mateka wao mmoja na mamia ya wapalestina!
Halafu mimi principal yao ndio inanifurahisha,ukitungua mmoja wao wanatungua mara 20 yake!
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,644
2,000
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habal jabo juu

Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam mwenzao asiye na hatia na kumuacha Israel adui yao mkubwa ambaye anakalia kwa mabavu maeneo ya waarabu ya nchi ya parestina na kuua watu wasio na hatia

Iv hawa watu wa kitabu kisicho na shaka ndan yake wana matatizo gan

Nawasilisha
Waarabu kama nyumbu vile
 
demulikuy

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
987
1,000
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habal jabo juu

Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam mwenzao asiye na hatia na kumuacha Israel adui yao mkubwa ambaye anakalia kwa mabavu maeneo ya waarabu ya nchi ya parestina na kuua watu wasio na hatia

Iv hawa watu wa kitabu kisicho na shaka ndan yake wana matatizo gan

Nawasilisha
Ni wivu tu wa Saudi Arabia kwa Qatar. Wote ni wafuasi wa Wahabi isipokuwa Saudi hawapendi jinsi Qatar ilivyo na "influence" kwenye International Arena na "independent foreign policy". Qatar wana Al Jazeera, wanaanda World Cup, wana uhusiano mzuri na Iran. Marekani wanaitegemea zaidi Qatar kuliko Saudi Arabia. Wana influence kwa Hamad na Muslim Brotherhood kuliko Saudi Arabia. Kwa maoni ya Saudia huyu "dogo" lazima ashikishwe "adabu".
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habal jabo juu

Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam mwenzao asiye na hatia na kumuacha Israel adui yao mkubwa ambaye anakalia kwa mabavu maeneo ya waarabu ya nchi ya parestina na kuua watu wasio na hatia

Iv hawa watu wa kitabu kisicho na shaka ndan yake wana matatizo gan

Nawasilisha
Ni wivu tu wa Saudi Arabia kwa Qatar. Wote ni wafuasi wa Wahabi isipokuwa Saudi hawapendi jinsi Qatar ilivyo na "influence" kwenye International Arena na "independent foreign policy". Qatar wana Al Jazeera, wanaanda World Cup, wana uhusiano mzuri na Iran. Marekani wanaitegemea zaidi Qatar kuliko Saudi Arabia. Wana influence kwa Hamas na Muslim Brotherhood kuliko Saudi Arabia. Kwa maoni ya Saudia huyu "dogo" lazima ashikishwe "adabu". Kwa bahati mbaya Trump ameingia upande wa Saudia hata hivyo hilo linaeleweka kwa kuwa Trump Empire ina matawi yake Saudi Arabia. Anajali maslahi yake binafsi kuliko ya USA.!
 
scooman

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,024
2,000
Aman iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habal jabo juu

Mimi nasikitishwa sana na hawa ndugu zetu wa kitabu cha khaki, kitabu kisichokuwa na shaka ndan yake kuanzisha uadui na iran muisilam mwenzao asiye na hatia na kumuacha Israel adui yao mkubwa ambaye anakalia kwa mabavu maeneo ya waarabu ya nchi ya parestina na kuua watu wasio na hatia

Iv hawa watu wa kitabu kisicho na shaka ndan yake wana matatizo gan

Nawasilisha

Kwahiyo wewe ndio unawapangia nani awe rafiki na nani awe adui,mkuu umekula maharage ya wapi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom