mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
maeneo ya kivu, goma etc
Mapadri wanashambuliwa kwa mapanga na kuuwawa na watu wasiojulikana.
wengine wanatekwa na watu kudai fidia ili waachiwe.
Mwingine kapingwa risasi.Gunmen kill parish priest in eastern Congo after Sunday Mass
Katika maombi yetu ya amani kwa tanzania. Tusiisahau Congo ambapo watu wasiojulikana wamefikia hatua ya kushambulia viongozi wa dini ambao ni wadau wa amani.