Watu sasa wameshachoka na drama za wamarekani. Wanatengeneza vitu. Mwisho wa mmarekani unakaribia. China yupo kimya na mataifa mengine mengi yenyenguvu yapo kimya.
Yanamlia timing tu, muda wake...
Aliyekuwa mkuu wa shirika la upelelezi Marekani FBI James Comey amesema Donald Trump 'hana maadili ya uongozi kushikilia wadhifa wa rais' na ambaye anawachukulia wanawake kama 'kiteweo cha nyama'...
Kila mwaka Marekani hupokea maelfu kwa maelfu ya wageni kutoka mataifa karibia yote duniani wenye lengo moja tu; kutafuta fursa bora kielimu, kiuchumi, kiafya na kiusalama kisiasa.
Hakuna taifa...
Mahakama ya serikali iliyojitenga ya Somaliland imemfunga jela miaka mitatu ,msichana anayeimba mashairi kwa kosa la kuhamasisha Somaliland kuungana na Somalia
Makundi ya wanaharakati nchini...
Bunge letu la Tanzania linahitajika sana sasa KUBADILIKA kilingana na NYAKATI. Tumeimbiwa wimbo wa oh Mafisadi tutawawafunga, Oh mafisadi watajaa gerezani sijui nini. Na matokeo yake ni madogo...
Waamerika walifanya makosa, nadhani hawatayarudia:
In Searing Interview, James Comey Unleashes Against 'Morally Unfit' Trump
In Searing Interview, James Comey Unleashes Against 'Morally Unfit'...
Wadau
Yulia Skripal 'amefufuka'na sasa yuhai akiendelea na maisha yake kama kawaida huko UK
Nimeshtuka sana!
Nimeshangaa sana!
Nimepigwa na bumbuwazi!
Nimejiona mtu wa ajabu sana
Sikujua kuwa sumu...
Wakuu.
nimekuwa nikisikia minong'ono kila pakuchapo kuhusu hela iliyotolewa na aliyekuwa rais wa libya marehem Gaddafi ikiwa ni msaada wake kwaajili yakujenga misikiti hapa nchini, lakin watu...
WASWAHILI WANASEMA MTI WENYE MATUNDA NDIO UNALENGWA MAWE, SYRIA kulianza waasi saivi wametokomezwa, yakaja magrop ya kidini saivi hayapo, ikaingingia uturuki kidogo baada ya kutunguliwa ndege zake...
Siku ya jumamosi marekani na Israel walifanya mazungumzo kadhaa kabla ya mashambulizi kufanywa dhidi ya Bashar Assad,pia washauri wa mambo ya usalama wa Neyanyau walizungumza na Ufaransa pamoja na...
Kwa nn hukumjibu tramp katika tweeter, AKAJIBU, mm sijui NA situmii haswaa iyo tweeter, JIULIZE KWA NN RAISI WA MAREKANI ANAJIBIZANA NA BALOZI TU WA RUSSIA [emoji635].???
Niulize tu wajameni.
Mafuriko Jangwani sasa ni jambo la kawaida.
Na inaelekea huko maji yanakokwenda, mikoko ya Kinondoni na Salender Bridge, maji hayaendi.
Mikoko imezuia udongo, takataka na kina...
In this article, I will tell you how Europe went from the status of probably the poorest continent to that of the richest continent in the world, by decimating the black continent.
Copied from...
Nimefuatilia Kwa Muda Kama Masaa Manne hivi weekend hii kuhusu sakata la Kijana Wetu Mark la Kuvuja kwa Data zaidi ya Mil 87 za Watumiaji wake.
Na Alipoitwa kwenye Congress senate mmoja anaeitwa...
Rais wa Marekani Donald Trump amedai majeshi ya Marekani huko Syria yanatakiwa kuondoka baada ya kutimiza kazi ya kuwatimua magaidi wa Islamic state.
Rais huyo wa Marekani amedai ikiwa majeshi...
Muigizaji nyota wa filamu za Bollywood Salman Khan,amepewa dhamana siku mbili baada ya mahakama kumpa hukumu ya miaka mitano jela kwa kuua aina mojawepo ya swala ambao ni adimu kupatikana duniani...
Kwa wasioelewa ni kwamba kuna malengo mapana ya Marekani na Urusi nchini Syria. Tuanze na ya Marekani: Lengo kuu la marekani nchini Syria ni kumwondoa madarakani na kupandikiza kibaraka wao!! Hii...
Firepower: The S-400 is capable of shooting down up to 80 targets simultaneously and is said to be able to travel more than 10,000mph; Russia is also hoping to sell the system to Iran and Turkey...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.