Zaidi ya manesi 15,000 wamefukuzwa kazi baada ya kukataa kusimamisha mgomo wao wa kutaka kulipwa posho na kurekebishwa kwa mishahara yao.
Katika tamko lililosomwa na Makamu wa Rais, Constantino...
ZIMBABWE: Serikali imewafukuza kazi Wauguzi 16,000 waliokuwa kwenye mgomo ikiwa ni mkakati wa Serikali kukomesha migomo ya wafanyakazi
> Makamu wa Rais, Constantino Chiwenga amesema kuwa mgomo...
Nina uhakika SAA hii Trump atakuwa anajutia mkwara wake wa kuitishia urusi kuwa ijiandae maana ataishambulia Syria kwa makombora mazuri, mapya na janja!! (nice, new and smart)). Saa hii...
Mama mzazi wa Rais Bush ambaye afya yake imezidi kuzorota amesema kuwa kuanzia sasa amesitisha matumizi ya dawa na tiba na 'yuko tayari kwa lolote'.
Bibi huyo kwa sasa ana umri wa miaka 92...
Watu 41 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini Rwanda, ndani ya kipindi cha takriban miezi miwili.
Wizara inayohusika na kupambana na majanga...
BBC iliripoti taarifa za ndege ya kirusi kulipuliwa na washirika wa NATO ikiwa na marubani wawili.
Taarifa hii ikitangazwa na BBC ingawa imeshafutwa hadi youtubyoutube.Je kuficha ukweli ama kuna...
China yanyonga hadharani wanasiasa 26 ambao ni wabadhilifu wa Mali za umma (Mafisadi).
Mafisadi hao walihukumiwa kifo cha kupigwa risasi uwanjani hadharani watu wakishuhudia baada ya kubainika...
Habari wanaJF,
Nimekuwa nikitafakari kwa muda kwa hii vita inayoendelea nchini Syria kwa muda mrefu sasa,ikihusisha pande kadhaa ikiwemo serikali ya Assad,Waasi,Russia pamoja Marekani...
Russia is defending Syria’s sovereignty and is trying to work for an end to the bitter civil war at the request of the government of Syria that is officially recognized by the United Nations...
Filamu mashuhuri zaidi duniani kwa sasa, Black Panther, inaandika historia nyingine baada ya kupewa kibali cha kuwa filamu ya kwanza kuoneshwa hadharani nchini Saudia Arabia baada ya zuio la...
Lengo kuu (mission) la marekani kupeleka askari Syria ilikuwa ni kumwomdoa madarakani Assad ili waweke kibaraka wao!! Lakini wakadai eti wanaenda kuwasambaratisha IS! Kabla Urusi hajapeleka askari...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imewafukuza zaidi ya mahakimu 250 ambao waliajiriwa kwa kutumia vyeti feki na wengine waliotuhumiwa kupokea hongo.
Kumeundwa tume maalum itakayo...
Last night, the Syrian Air Defense Forces (SADF) repelled another missile attack allegedly carried out by the Israeli military.
There were two areas of the missile interceptions:
1.Near Shayrat...
Maafisa wa Korea Kusini wameushutumu utawala wa Korea Kaskazini wakisema umefufua vita baridi.
Wanatoa mfano wa hivi majuzi ambapo, kulikuwa na matangazo kutoka redio Pyongyang ya Korea...
US & ALLIES LAUNCH MILITARY STRIKES ON MULTIPLE SYRIAN REGIME TARGETS
The United States, Britain and France launched strikes against the Syrian regime in response to an alleged chemical weapons...
Mungu wa majeshi anaendelea kuupigania utawala wake. Pamoja na mbinu nyingi na CHAFU sana zinazoendelea kufanywa na mataifa ya western wakiongozwa na Marekani na Uingereza dhidi ya Urusi naamini...
Uingereza na washirika wake USA na Ufaransa wanadai ukitumia silaha za kemikali lazima wakuadabishe kwa mashambulizi ya kijeshi. Kama ni hivyo kwa nini hawajaishambulia urusi kwa kuwa wanadai...
Huku akiwa na wakati mgumu kwa kuzomewa na wabunge wa Cobservative mara kwa mara lakini spika akamuwekea kinga...Ndugu Jeremy Corbyn anewasilisha maswali mazito kwa waziri mkuu wa Uiengereza juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.