OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Wakuu.
nimekuwa nikisikia minong'ono kila pakuchapo kuhusu hela iliyotolewa na aliyekuwa rais wa libya marehem Gaddafi ikiwa ni msaada wake kwaajili yakujenga misikiti hapa nchini, lakin watu wasiokuwa na utu baada ya kuona Gaddafi kauwawa nasikia pesa hyo imepata wajanja na imebadilishiwa matumiz na kuwafaidisha wachache wenye matumbo na wasiotambuwa kazi ya Mungu.
Nacho jiuliza binafsi hawa watu wachache akiwemo wazir mmoja serikalini nini kilichopelekea yeye kuamuwa kupindisha malengo ya hizo fedha? Yeye hana Mungu? nimekuwa nikijiuliza vilevile serikali ya libya imekosa weledi kias kwamba wameshindwa kuzifuatilia hela hizo kama kweli zilifnya kazi iliyokusudiwa? au hela hizo zilikabdhiwa kienyeji bila document yeyote ambayo leo ingetumika kama kumbukumbu? je hata rais wetu alishindwa kusimamia hizi hela zifnye kazi iliyokusudiwa? naombeni kwa wale mnaofhamu kuhusu hizi hela mtuambie wengine tumkuwa gizani bila majibu