SYRIA

SYRIA

STRAGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
698
Reaction score
614
WASWAHILI WANASEMA MTI WENYE MATUNDA NDIO UNALENGWA MAWE, SYRIA kulianza waasi saivi wametokomezwa, yakaja magrop ya kidini saivi hayapo, ikaingingia uturuki kidogo baada ya kutunguliwa ndege zake 2 ikaogopa, kaza muizraili kashambulia kaangushiwa ndege yake na sasa anategeshea anga za wengine na kashambulia kaona hii itakua shida, Saudia na nchi za falme za kiarabu wametuma wapiganaji wengi na makomandoo wengi wao wameuwawa na kutekwa na jeshi LA Syria, saivi MAREKANI France na Uengereza wakaona HUYU JAMAA NI MBISHI SANA INAWEZEKANA AKATUNISHIA MISULI MIDDLE EAST NZIMA NA HII NI HATARI KWA MUYAHUDI, WAKAWASHAWISHI NATO IKIWEMO UJERUMANI, but tatizo Ni kuwa NATO Ana base Turkey, so SYRIA AKIKINUKISHA ATAANZA NA UTURUKI KWANZA But uturuki hataki nchi yake aiingize kwenye matatizo anajua SYRIA imepigwa vita tokea 2011 so Ni ngumu sana Kwa NATO WAKAMSHAWISHI MMAREKANI AINGIE COZ ANA UZOEFU WA VITA, But pia marekani na washirika wake wanaingia nusu nusu, MAONI YNGU, Kama Syria ikiachiwa namaanisha kama haijashambuliwa kama Iraq kuna tishio huko mbeleni ikaja ikawa nchi tishio saanaa pale middle east NA HUO NDIO WASIWASI WAKE IZRAIL. KILA WANAPOSHAMBULIWA NA KUPATA CHANGAMOTO NDIPO WANAPOJIPANGA ZAIDI. JE NI KWA NN MAREKANI NA WASHIRIKA WAKE HAWIPIGI SYRIA NA KUMUONDOA ASSAAD KAMA IRAQ NA KWENGINEKO??????? HILI NI SUALA LINALOWAUMIZA VICHWA WATU NA JE AKIONDOKA ASSAD NANI ATATAWALA SYRIA??????? MAANA MPAKA SASA SYRIA YUKO STRONG SANA NDIO MAANA ATA SAUDIA ANAWAPA KICHAPO YEMEN BADALA YA SYRIA BUT ATA MATAIFA YA MAGHARIBI YANAIPA SAPOTI YA KUISHAMBULIA KIJINCHI KAMA YEMEN
 
Kuipiga syria ni sawa na kumpiga mrusi ndugu unafikiri bila urusi asad angekuwepo hadi sasa?
 
Hicho ki Syria kitakapogeuzwa kuwa eneo la dampo la mwizrael mnyamaze kimya!
 
KWA HIO TUKUBALI KWAMBA VITA YA SYRIA NI NGUMU SANA INGAWAJE MATAIFA YA MAGHARIBI YANA NGUVU. KILA nchi inasitasita au kufanya mashambulizi kama ya kurusha maroketi, wakati ata waasi walikua wakirusha maroketi kutoka sehemu yao kuelekea kwa kwa serikali UNAJUA KUNA NCHI KAMA SAUDIA IMEFADHILI MABILION YA MADOLA KUIPA NGUVU WAASI But at the end wameakia patupu
 
Pale kwa sasa asad hana jeshi jeshi lake lilishasambalatika kitambo sana lile ni jeshi la hizbulaa iran ,urusi na baadhi ya waasi wanaosapoti gvnt
 
Ni kweli Japo yupo pale kwa ajili ya maslahi yake, na hata wanamikataba waliosainiana kati ya Syria na Urusi.
Yap analinda maslahi pale ndo mana ameweka hadi kambi ya jeshi pale bila hivyo wala asingealimu resourse zake kumtetea mwarabu,gadafi nae angekua na kampani kama hii mbona angekuwepo hadi leo.
 
Pale kwa sasa asad hana jeshi jeshi lake lilishasambalatika kitambo sana lile ni jeshi la hizbulaa iran ,urusi na baadhi ya waasi wanaosapoti gvnt
TUKIACHANA NA KUMSAPOTI AYO MATAIFA, BADO ANA JESHI KUBWA SANA SYRIA NA PIA ANA SAPOTA YA WANANCHI WANAOMUUNGA MKONO NDIO MAANA MPAKA LEO YUPO
 
Sasa hivi ili nchi iwe salama lazima ujisalimishe kwa mrusi lkn ukiwa kwa marekani siku yoyte anakuondoa madrakani
 
Back
Top Bottom