Trump vs Kim nani kichaa zaidi?

Trump vs Kim nani kichaa zaidi?

Princemwalejr

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
496
Reaction score
492
b7fb8b08e85d9d7272c3c20cf95e46b0.jpg


Kim: nina swichi ya nyuklia mezani kwangu.

Trump: swichi yangu kubwa zaidi.
 
Kuongoza nchi si mchezo ile baby face ya Kim inapotea taratibu.
 
Dunia hii kwa sasa inahitaji marais kama Trump na Kim, yaani nilikuwa napenda nchi zote kungekuwa na marais kama hawa.
 
Trump akili zake ni hafifu.

Mbona ligoliat lilipigwa na mtu asiyejulikana hata kwa mwenyekiti wa kijiji

Amekuwa na adabu kwa sasa

[HASHTAG]#will[/HASHTAG] see, will see#

Akitumia nguvu kubwa na button zake zenye nguvu
Basi atajuta mwenyewe

Maana baadhi ya silaha zitagusa mchina mipakani


Sasa mchina atakubali
Na kuangalia tu?

Kibabu kimeshikwa vibaya
 
Trump ana akili sana sema anajifanya hamnazo ili apate support ya wamarekani wajinga zaidi ambao wapo wengi zaidi.

Ukija kwa Kim, yeye yupo average.. Na hatumii nguvu sana kuwaburuza watu wake maana misingi ilishawekwa na babu pamoja na baba yake.. And so anachokifanya yeye ni kudeal na rivals wake tu!
 
Namkubali sana Kim aise hata hivyo trump is my busness model
 
Trump sio kichaa uzee tu unamjia vibaya. Huyu dogo tokea babu zake akili hawanazo.
 
kadri binadamu umri unavyokuwa mkubwa na uwezo wa kufikiri unapungua-na ukichaa huanza,so trump ni kichaa mzee zero brain
 
Trump ameanza kupata akili kidogo,, mwanzo alitepeshwa sana....kim ni moja ya maraisi bora duniani,,, ni mtu mwenye msimamo "alpha and omega"


Safi sana Kim.....endelea kuwaburuza mashoga mpaka akili zao zikae sawa....
 
Back
Top Bottom