Kila mwaka Marekani hupokea maelfu kwa maelfu ya wageni kutoka mataifa karibia yote duniani wenye lengo moja tu; kutafuta fursa bora kielimu, kiuchumi, kiafya na kiusalama kisiasa.
Hakuna taifa lolote lile lenye raia wenye asili tofauti, rangi tofauti, lugha tofauti na tamaduni tofauti kama Marekani huku wote wakiona fahari kuitwa Wamarekani.
Marekani pia ni taifa pekee linalojulikana kama taifa la wahamiaji ambako ni vigumu kumkuta mtu asiye na ndugu ambaye ni raia wa nchi nyingine.
Kwa leo hebu tuangalie kwa uchache tu wanafunzi kutoka mataifa mbali mbali wanavyofaidika na fursa ya kupata elimu bora itolewayo Marekani.
Katika listi za nchi 100 zinazopeleka wanafunzi wengi kusoma Marekani kila mwaka, Tanzania ni ya 86!
Kweli baniani mbaya kiatu chake dawa...!