Ni mjinga pekee ataamini Assad alitumia silaha za kemikali,Shambulizi ya jana ni sababu ya kulinda maslahi ya Israel

junky

JF-Expert Member
May 11, 2017
413
976
Siku ya jumamosi marekani na Israel walifanya mazungumzo kadhaa kabla ya mashambulizi kufanywa dhidi ya Bashar Assad,pia washauri wa mambo ya usalama wa Neyanyau walizungumza na Ufaransa pamoja na Uingereza kuhusiana na concern yao kuhusu uwepo wa kijeshi Iran ndani ya Syria.Mmoja wa wakubwa wa washauri wa mambo ya usalama aliwaambia times of Israel kuwa

"Shambulio litawafanya wamarekani kusema tumeshamaliza kilichohitajika hivyo tunaondoka Syria kwa mtazamo huo Israel atabakia pekee yake ikikumbana na tishio la Iran wakijiweka mpaka wa kaskazini.

Baada ya nukuu hio nirudi kufanya uchambuzi kuhusiana na tuhuma ya Assad kufanya shambulizi la kemikali iliyopelekea watu kufa na majeshi ya USA yakishirikiana na ya NATO kushambulia kwa makombora kambi za kijeshi .

Inahitaji uwe mbumbumbu kuamini kweli majeshi ya Assad na Hezbollah walifanya mashambulizi ya kemikali..kwanza inabidi ifahamike Assad anasaidiwa na Iran pamoja na urusi kuanzia kwenye silaha mpaka ndege ,makombora ya maana kapewa air defence system nzuri kapewa na anapigana na waasi wenye Ak 47 na RPG tu wakati Assad anatumia ndege kushambulia ndio maana ndani ya muda mfupi tokea urusi na Iran wamsaidia amekomboa mji mkubwa wa Aleppo na miji mingi iweje leo atumie silaha za sumu wakati ana ndege za kivita ,na makombora ya maana na maeneo mengi kayarudisha na Isis wamekimbilia mpakani mwa Israel na Syria .chemical attack huwa option ya mwisho pale unakaribia kushindwa sasa Assad miji karibia yote kairudisha na raia wameshaanza kurudi na urusi pamoja na Iran wapo wanamsaidia iweje atumie chemical weapons kwa waasi ambao wanahemea mashine ?

Ndio maana urusi walikasirika sana ukimsikiliza balozi wa urusi utaona kabisa USA na washirika wake wanafanya hujuma kwa Assad ,haya tuseme warusi,Iran na Syria wanafanya propaganda ,swali timu iliyotumwa Syria kuchunguza tuhuma zile walipaswa kufanya uchunguzi Jana lakini USA na washirika wake ili kuharibu ushahidi na false allegations zao wakafanya mashambulizi kinyume na utaratibu licha ya timu ya watafiti/wafanya uchunguzi kwenda kufanya uchunguzi.

Nakumbuka aliyekuwa rais wa Iran Ahmadinejad aliwahi kusema marekani walimpatia silaha Sadam ili atushambulie sie Iran halafu baadae hao marekani waliompatia kila aina ya silaha Saddam atushambulie wakamtuhumu ana silaha za maangamizi wakati wao ndio walimpatia silaha na wakamvamia tena hata walivyomvamia hizo silaha za kemikali hawakuikuta na baadae wakakiri walikosea kuivamia Iraq...

false accusations kama walivyofanya kwa Iraq ndio wanafanya kwa Syria ,swali kwanini USA ,ufaransa na UK wametumia mwamvuli wa sumu za kemikali kushambulia Syria licha ya kuwa hakuna uthibitisho au uchunguzi uliofanywa?

1) USA na washirika wake wameshambulia Syria sababu kubwa ni uwepo wa Iran kijeshi Syria..uwepo wa Iran kijeshi Syria na kujitanua kuna hatarisha usalama wa Israel na tumeona tokea Iran na urusi kuingia Syria na kuwaondoa Isis ,Israel wamekuwa wakiingia kwenye anga ya Syria na kushambulia kambi za kijeshi za Iran na Syria ,juzi tumeona ndege ya Israel ikitunguliwa mpakani na rubani kuanguka baada ya ndege ile kuingia Syria na Israel kuonywa mara kadhaa, Kivyovyote unaona Israel hana raha Iran kuwepo Syria na hataki kwa usalama wake.

Bila kupepesa macho Israel wamewa-press USA washambulie makambi ya Iran na ya Assad ku-undermine juhudi zao na Iran asi-establish base yake...na ndio maana USA na UK na France wametumia false accusations kushambulia.

Nani asiyejuwa 1967 Israel alishambulia meli ya USA na kusingizia kuwa ni Egypt ili marekani watumie silaha ya nuclear kuishambulia Egypt ili wao Israel wachukue Mediterranean yote na sehemu zingine lakini CIA wakagundua mchezo huo.

Bila ya shaka shambulizi la Jana sio sababu ya chemical weapons hiyo ni false flag ili wafanikishe mission yao ya kuharibu bases za Iran na Iran asijijenge Syria. ...Israelis wapo vizuri kimkakati na mipango baada ya wao kuingia Syria kujaribu kuharibu na kumkwanisha Iran kufeli sasa wazee wazima USA ,UK, France wametumwa na mission accomplished

JE

-Iran watafanikiwa kuweka base yao Syria ?
-baadae Iran akijenga upya base zake akina USA watakuja na tuhuma gani zingine?

USA, UK, France ,Saudi Arabia na Israel kwahili la Jana wamefanikiwa ,ili Israel iwe greater inabidi Syria na Iran ziwe weak na kila Iran akitaka kujipanua au Syria kujijenga inabidi wadhoofishwe kwa faida ya greater Israel .

Je Iran wataweza kuweka base yao na kufanikiwa 100% ndani ya Syria ? Tusubiri tuone
 
Kuna mtu kaniambia kuwa kabla ya west hajashambulia sehemu lazima kwanza waipe Stress Russia na kuitoa katika reli, inaelekea lile shambulio la Skrypals ilikuwa ni kuiweka urusi katika kona huku wakijua mipango yao ni kuvamia syria!
 
Hii movie ya silaha za sumu naifananisha na ile ya jasusi wa Kirusi na binti yake kupakwa sumu Uingereza...

Marekani ni Taifa hatari sana duniani.
Ubaya ni kwamba haijulikani kama ilikuwa kweli au uzushi na kama kweli haijulikani ni nani muhusika...kwakuwa hata watafiti hawakupewa nafasi ya kufanya uchunguzi ..

Tayari baadhi ya maseneta wa Congress washaanza kuhoji

CIA na mossad ni wa kuogopwa hakika
 
Siku ya jumamosi marekani na Israel walifanya mazungumzo kadhaa kabla ya mashambulizi kufanywa dhidi ya Bashar Assad,pia washauri wa mambo ya usalama wa Neyanyau walizungumza na Ufaransa pamoja na Uingereza kuhusiana na concern yao kuhusu uwepo wa kijeshi Iran ndani ya Syria.Mmoja wa wakubwa wa washauri wa mambo ya usalama aliwaambia times of Israel kuwa

"Shambulio litawafanya wamarekani kusema tumeshamaliza kilichohitajika hivyo tunaondoka Syria kwa mtazamo huo Israel atabakia pekee yake ikikumbana na tishio la Iran wakijiweka mpaka wa kaskazini.

Baada ya nukuu hio nirudi kufanya uchambuzi kuhusiana na tuhuma ya Assad kufanya shambulizi la kemikali iliyopelekea watu kufa na majeshi ya USA yakishirikiana na ya NATO kushambulia kwa makombora kambi za kijeshi .

Inahitaji uwe mbumbumbu kuamini kweli majeshi ya Assad na Hezbollah walifanya mashambulizi ya kemikali..kwanza inabidi ifahamike Assad anasaidiwa na Iran pamoja na urusi kuanzia kwenye silaha mpaka ndege ,makombora ya maana kapewa air defence system nzuri kapewa na anapigana na waasi wenye Ak 47 na RPG tu wakati Assad anatumia ndege kushambulia ndio maana ndani ya muda mfupi tokea urusi na Iran wamsaidia amekomboa mji mkubwa wa Aleppo na miji mingi iweje leo atumie silaha za sumu wakati ana ndege za kivita ,na makombora ya maana na maeneo mengi kayarudisha na Isis wamekimbilia mpakani mwa Israel na Syria .chemical attack huwa option ya mwisho pale unakaribia kushindwa sasa Assad miji karibia yote kairudisha na raia wameshaanza kurudi na urusi pamoja na Iran wapo wanamsaidia iweje atumie chemical weapons kwa waasi ambao wanahemea mashine ?

Ndio maana urusi walikasirika sana ukimsikiliza balozi wa urusi utaona kabisa USA na washirika wake wanafanya hujuma kwa Assad ,haya tuseme warusi,Iran na Syria wanafanya propaganda ,swali timu iliyotumwa Syria kuchunguza tuhuma zile walipaswa kufanya uchunguzi Jana lakini USA na washirika wake ili kuharibu ushahidi na false allegations zao wakafanya mashambulizi kinyume na utaratibu licha ya timu ya watafiti/wafanya uchunguzi kwenda kufanya uchunguzi.

Nakumbuka aliyekuwa rais wa Iran Ahmadinejad aliwahi kusema marekani walimpatia silaha Sadam ili atushambulie sie Iran halafu baadae hao marekani waliompatia kila aina ya silaha Saddam atushambulie wakamtuhumu ana silaha za maangamizi wakati wao ndio walimpatia silaha na wakamvamia tena hata walivyomvamia hizo silaha za kemikali hawakuikuta na baadae wakakiri walikosea kuivamia Iraq...

false accusations kama walivyofanya kwa Iraq ndio wanafanya kwa Syria ,swali kwanini USA ,ufaransa na UK wametumia mwamvuli wa sumu za kemikali kushambulia Syria licha ya kuwa hakuna uthibitisho au uchunguzi uliofanywa?

1) USA na washirika wake wameshambulia Syria sababu kubwa ni uwepo wa Iran kijeshi Syria..uwepo wa Iran kijeshi Syria na kujitanua kuna hatarisha usalama wa Israel na tumeona tokea Iran na urusi kuingia Syria na kuwaondoa Isis ,Israel wamekuwa wakiingia kwenye anga ya Syria na kushambulia kambi za kijeshi za Iran na Syria ,juzi tumeona ndege ya Israel ikitunguliwa mpakani na rubani kuanguka baada ya ndege ile kuingia Syria na Israel kuonywa mara kadhaa, Kivyovyote unaona Israel hana raha Iran kuwepo Syria na hataki kwa usalama wake.

Bila kupepesa macho Israel wamewa-press USA washambulie makambi ya Iran na ya Assad ku-undermine juhudi zao na Iran asi-establish base yake...na ndio maana USA na UK na France wametumia false accusations kushambulia.

Nani asiyejuwa 1967 Israel alishambulia meli ya USA na kusingizia kuwa ni Egypt ili marekani watumie silaha ya nuclear kuishambulia Egypt ili wao Israel wachukue Mediterranean yote na sehemu zingine lakini CIA wakagundua mchezo huo.

Bila ya shaka shambulizi la Jana sio sababu ya chemical weapons hiyo ni false flag ili wafanikishe mission yao ya kuharibu bases za Iran na Iran asijijenge Syria. ...Israelis wapo vizuri kimkakati na mipango baada ya wao kuingia Syria kujaribu kuharibu na kumkwanisha Iran kufeli sasa wazee wazima USA ,UK, France wametumwa na mission accomplished

JE

-Iran watafanikiwa kuweka base yao Syria ?
-baadae Iran akijenga upya base zake akina USA watakuja na tuhuma gani zingine?

USA, UK, France ,Saudi Arabia na Israel kwahili la Jana wamefanikiwa ,ili Israel iwe greater inabidi Syria na Iran ziwe weak na kila Iran akitaka kujipanua au Syria kujijenga inabidi wadhoofishwe kwa faida ya greater Israel .

Je Iran wataweza kuweka base yao na kufanikiwa 100% ndani ya Syria ? Tusubiri tuone
Kilichopo kila MTU anatafuta maslahi yake pale Syria.russia Iran wanatafuta maslahi.marekani na wenzake wanatafuta maslahi.mwenye kisu kikali ndio atakula nyama
 
Kwa hiyo waturuki nao maswahiba wa russia waliopongeza shambulio wamepotoshwa ? wako jirani sana pale
Uturuki anamshambulia Assad

March 02 ndege za uturuki zilishambulia ngome mbili za serikali ya Assad na kuua wanajeshi wa syria 17

February uturuki kashambulia convoy ya jeshi la Assad

Turkey anashirikiana na waasi tokea January kafanya operation ndani ya Syria

Nadhani jibu lako nimeshalijibu ,uturuki ni anti Assad na kamwe Erdogan hatakuwa pamoja na Assad

Uturuki ana maslahi yake Syria
Urusi ana maslahi yake Syria

Uturuki ambaye tokea muda na muda ana mshambulia Assad na ndege waona ajabu kupongeza hatua ya US?...ungesema Iran na Urusi hapo sawa kama uturuki na urusi maswahiba jiulize kwanini Uturuki anamshambulia Assad na mabomu licha ya urusi kuwepo Syria??

Nadhani ushapata jibu
 
Weka hapa vyanzo vya taarifa zako hizo za uturuki kushambulia assad. Inaeleweka aliwafuata YPG hivi karibuni. Uturuki alikuwa ana uhasama sana na assad, na huenda bado anao,hata urusi walishawekeana vikwazo lakini lilirekebishwa hilo. Aliacha kumpga Assad baada ya kurudisha maelewano na russia. Kwa hiyo Uturuki kwa mtizamo wangu sio mnafiki. Assad amewapiga gasi watu wake. Uturuki ameweka utu mbele
 
Bado hakuna uthibitisho mkuu hata hao uturuki ni intelijensia yao iliwaambia au walifuata mkumbo baada ya wakubwa wa magharibi na vyombo vyao kushinikiza?

Wale wachunguzi ndio wangetoa majibu ,lakini cha kujiuliza kwanini Assad awaue wananchi wake kwa kemikali ya sumu kwa manufaa yapi na kwanini ang'ang'anie kurudisha maeneo na kutuliza hali kama wananchi wake anawaua hivyo . bado kuna ukakasi ,kushambulia bila kufanya uchunguzi

Halafu taarifa zinasema leo ndio wachunguzi wanaanza kufanya kazi kuchunguza..huu si utani ase bado ukakasi mkubwa
 
Back
Top Bottom