International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Habari ya mwanasayansi David Goodall anayetarajiwa kuchomwa sindano ya sumu kesho imevutia hisia za watu wengi duniani, tofauti na wengi waliowahi kufikia hatua hiyo, huku ikielezwa kuwa...
7 Reactions
51 Replies
8K Views
MMOJA wa mawaziri walio katika Kamati ya Usalama ya Baraza la Mawaziri Israel amesema wanaweza kuupindua utawala wa Rais, Bashar al Assad na kumuua iwapo Iran itatumia ardhi ya Syria kuishambulia...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Hassan Rouhani amesema kuwa Iran itasalia kwenye makubaliano ya 2015 Rouhani amesema kuwa Iran itakubaliana na Washirika na Wasaini makubaliano ya mwaka 2015 . Licha Licha ya Vikwazo vikubwa vya...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Raisi wa Marekani Donald Trump ameutangazia Ulimwengu kuwa Marekani Imejiondoa na Haiutambui Mkataba wa Amani uliokuwa unaitaka iran Kusitisha utengenezwaji na Majaribio ya Makombora Ya Nyuklia...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Tarehe 8 January aliyekuwa Waziri mkuu wa Malaysia Mahathir Mohamed mwenye umri wa miaka 92 ametanganza rasmi kugombea nafasi ya uwaziri mkuu wa nchi hiyo. Mahathir Mohamed alitawala nchi hiyo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwana Mfalme wa Saudi Arabia amesema kwamba umefika muda kwa Viongozi wa Mamlaka ya Palestina Kukubali Mpango wa amani unaopendekezwa au Wakae kimya na kuacha kulalamika "katika miongo kadhaa...
1 Reactions
129 Replies
9K Views
Israel Imepeleka Jeshi Katika eneo la Golan Heights. Taifa la Israel linatupia macho katika eneo la Golan Heights Baada ya kuona shughuli zisizoeleweka zinaendeshwa na Jeshi la Iran hatua hii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Retweeted Tanzania Updates (@TanzaniaUpdates): Shirika la Ndege la Ethiopia limepanga kujipanua zaidi kwa kuongeza safari zake na kununua ndege mpya. Shirika hilo tayari lina ndege 100...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukweli unabaki kuwa ukweli kwa sasa Russia wamerudi na wanakuja kwa kasi kutawala soko kwa sasa upande wa silaha, kilimo na tekinolojia. Karata zao wamezichanga vizuri na zimechangika haswa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mods mnaweza kuiweka hii video na ile Mada nyingine humu kuhusu Kanye,...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nchi ya Saudia sasa Kuruhusu Makanisa kujengwa Maeneo mbalimbali nchini humo baada ya kusainiwa makubaliano kati ya Viongozi wa Wahabbi na Umoja wa Makadinali wa Vatican ========= Saudis sign...
7 Reactions
98 Replies
13K Views
Serikali ya DR Congo,imedhibitisha uwepo wa ugonjwa wa EBOLA nchini humo,hii ni baada ya watu wawili kufariki na ugonjwa huo. Kwa mnaotarajia na mlioko Congo,kuweni makini
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Maafisa wa nyama pori nchini Uganda bado wanamsaka chui aliyemla mtoto wa miaka mitatu wa mwangalizi wa hifadhi ya taifa ya Malkia Elizabeth Ijumaa usiku, Shirika la habari la Ufaransa la AFP...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habarini wadau! Natumai mu wazima wa afya. Kuna jambo nimelitafakari nimeona tusaidiane kimawazo. Hawa wazungu kutwa kuonea waafrika na waarabu. Yaani jana trump anawaita wa iran terrorist na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Haya ni magari ambayo aliyekuwa raisi wa Gambia Yahya Jammeh aliyaficha kwenye msitu flani. Viongozi wa Kiafrika wanapenda sana anasa. Source: Zambezi Reporter
9 Reactions
58 Replies
12K Views
Athari za Trump kujiondoa, mkataba wa nyuklia Rais Trump anatarajiwa kuiondoa Marekani kwenye mkataba wa nyuklia wa Iran mwezi Mei tarehe 12. Iran ilitia sahihi makubaliano ya mpango wa kudhibiti...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Watu 17 wamefariki dunia katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola > Mpaka sasa Wagonjwa 21 wameripotiwa kuwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuu wa BBG amtaka Nkurunziza kurejesha matangazo ya VOA Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Marekani ya kuratibu matangazo ya mashirika ya serikali, BBG, ambayo inasimamia VOA, John F Lansing...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Uchumi wa california umekuwa mkubwa kuliko wa uingereza kulingana na takwimu za serikali ya marekani zilizowekwa public leo, data hizo zinaonyesha kuwa kati ya mwaka 2016 mpk 2017 GDP ya...
14 Reactions
147 Replies
16K Views
Kati ya red-lines zinazochorwa na watawala wa marekan kwa sir ni ku-drop dollar na kutumia currency nyingine katika biashara za kimataifa. Iran kwa sasa iko katika hatua ya kuacha kabisa kutumia...
8 Reactions
69 Replies
7K Views
Back
Top Bottom