Nimetazama interview yote aliyofanya TMZ, kiukweli Kanye ni moja ya watu makini kichwani ukiunganisha na tweets zake utaona ni mtu aliye huru kimawazo.
Nimetazama interview yote aliyofanya TMZ, kiukweli Kanye ni moja ya watu makini kichwani ukiunganisha na tweets zake utaona ni mtu aliye huru kimawazo.
Wanamuhukumu bure, kwanza wanapotosha alichomaanisha kwa sababu wanataka kila mtu mweusi amchukie D.Trump, wakati siyo kweli, Kanye anasema ma rapper wote akina Snoop, P.Diddy, Ice Cube walikuwa wanamkubali na walimchukulia D.Trump kama role model wao kabla hajawa Raisi wa USA, sasa hivi wamemgeuka na kumuita mbaguzi!
Kwa kifupi ukiwa mweusi ni lazima umchukie Trump vinginevyo wanakushambulia!
Naungana na waliopita hapo juu.... mimi nilichokiona kwa hii interview ambacho watu wanakipinga ni “slavery was a choice” and “his love for Trump”.
Sasa hapa watu wamechukulia tu hayo maneno kwamba slavery was a choice bila pengine hata ya kusikiliza the interview.... what he real said was “ slavery for 400 years? 400 years thats sounds a lot like a choice. Kwa mtizamo wangu alichokimaanisha Kanye ni kwamba 400 years ni generations kibao zimepita and Blacks seems like they did not put enough fight to this evil thing kiasi kwamba the not the body itself was enslaved but even the mind.... Na point ya yeye kumpenda Trump ni mtizamo kama mtizamo wa kumchukia Tramp.... all in all I can say what Kanye did was brilliant... to have a free mind.. to talk freely without the fear of being hated by his black community... that was new and strong staff bro.. hat [emoji145] off for Kanyee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.