Mahakama moja nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mwenye umri wa miaka 19 kwa kumuua mumewe aliyembaka
Jaji wa mahakama hiyo iliopo Omdurman alithibitisha hukumu hiyo ya kifo baada ya familia...
Marekani Imetangaza vikwazo dhidi ya Iran.
Trump amesema kuwa U.S haipo Tayari kulinda makubaliano ya Iran kuhusu Nyuklia badala yake ameiwekea vikwazo Iran pia amesema wakiendelea na program...
Mwanasayansi David Goodall amehitimisha safari yake ya hapa duniani baada ya kujichoma sindano mwenyewe ya sumu iliyochukua dakika moja kuchukua uhai wake.
Mwanasayansi huyo mwenye miaka 104...
Kiongozi wa Korea Kaskazini Azuru China.
North Korean Supreme Leader Kim Jong Un amezuru China kwa Siri ambapo Kim amekutana na Raisi wa China Xi Jinping.Viongozi wote wavili wamekutana Kaskazini...
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Mahathir Mohamad ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo na kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu mpya, miaka 15 baada ya kujiuzulu wadhifa huo alioushikilia kwa zaidi ya...
Hasira na gadhabu imetawala huko tehran baada ya rais trump kujitoa kwenye nuclear deal na kuitangazia iran vikwazo vikali vya kiuchumi, wabunge wa iran leo wakiongozwa na mwanazuoni mmoja wa...
The Basic Registry and Information System in Nigeria (BRISIN) has called for urgent sensitisation against the use of pit latrine because many youths now sniff latrines as substitute for codeine...
North Korean Supreme Leader Kim Jong Un Kukutana na Donald Trump siku mbili kabla ya Kombe la Dunia June 12 huko Singapore . Tangazo hili limefuatia baada ya Trump kuwapokea Raia wa U.S waliokuwa...
NEW PHOTOS: These photos reportedly show North Korean leader Kim Jong Un meeting with U.S. Secretary of State Mike Pompeo today. The photos were released by North Korea's Korean Central News...
By Azimazi Momoh Jimoh, Segun Olaniyi and Opara George (Abuja), Murtala Adewale (Kano) and Njadvara Musa (Maiduguri) | 10 May 2018 | 4:23 am
Inspector General of Police (IGP), Ibrahim...
MAREKANI: Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter atoa taarifa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mike Pompeo yuko njia kutoka Korea Kaskazini akiambatana raia 3 wa Marekani...
TEL AVIV, ISRAEL: Wanawake 5,000 waandamana bila ya kuvaa kitu katika vifua vyao wakipinga unyanyasaji wa kijinsia
> Wanawake hao wamepaza sauti kukemea ubakaji na mfumo wa utoaji haki(Mahakama)...
Mkurugenzi Jean-Marc Janaillac aliyejiuzulu
Bruno Le Maire, Waziri wa Uchumi wa Ufaransa, amekataa wazo la kutaka serikali iliokoe shirika la ndege la Air France katika kipindi kigumu cha migomo...
Kila siku nikifungua tweeter nakutana na post zinazoonyesha mauaji yanayafanyika Kusini mwa Cameroon na maiti kuonyeshwa ikiaminika kuwa mauaji hayo yanafanywa na vikosi vya kijeshi vya Rais wa...
Amefanya kazi CIA kwa miaka 33
Anajulikana kama mwanzilishi wa water boarding
Maisha yake hayajulikani yaani ni classified
Aliolewa na kuachika na Haspel aliyekuaa Mwanajeshi
Hatumii mtandao...
"When you hear about slavery for 400 years. For 400 years?! That sounds like a choice. Like, you were there for 400 years and it's all of you all? You know, it's like we're mentally in prison. I...
hayo ni kati ya mambo ambayo rais wa Russia federation bwana putin anatarajia kuyatilia mkazo kulingana na russian state media-Russian today
Kuongeza life expectancy ya raia wake kufikia umri wa...
Kampuni ya Ujerumani ya kutengeneza magari, Volkswagen, wiki iliyopita imeingiza sokoni magari yake mapya ambayo kwa mara ya kwanza yameundwa kwenye kiwanda chake kipya kilichopo nchini Rwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.