africansongs
Member
- Jan 5, 2018
- 83
- 225
Habarini wadau!
Natumai mu wazima wa afya. Kuna jambo nimelitafakari nimeona tusaidiane kimawazo.
Hawa wazungu kutwa kuonea waafrika na waarabu. Yaani jana trump anawaita wa iran terrorist na kuvunja mkataba wa JCPOA, mkataba uliosainiwa na mataifa mengine huku yeye hajali lengo ikiwa kumfurahisha israel anayeua wapalestina ovyo ovyo.
Na huyo waziri mkuu wa israel amekaa madarakani mda gani huku akiendelea kutuhumu viongozi wa kiafrika kukaa mda mrefu.
Hebu tujadiliane kuhusu hawa wazungu kwa mambo wanayoyafanya.
Afghanistan walipoenda kule ilikuwa ni kulinda na kuendeleza kilimo cha bangi, venezuela madawa ya kulevya, colombia madawa, iraq mafuta na kote huko wanawaita wenzao materrorist.
Naona inabidi ifike wakati nchi kadhaa zishikamane dhidi ya hawa jamaa, maana lengo ni kuleta vita kwingine kwa lengo la kuinua tu uchumi wao.
Jana ndio niliposhangazwa sana na issue ya iran.
Naomba kuwasilisha.