Je, utawala wa Iran utaangushwa?

Je, utawala wa Iran utaangushwa?

Bess

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
555
Reaction score
661
Kati ya red-lines zinazochorwa na watawala wa marekan kwa sir ni ku-drop dollar na kutumia currency nyingine katika biashara za kimataifa. Iran kwa sasa iko katika hatua ya kuacha kabisa kutumia dola katika mzunguko wa fedha wa kimataifa.

Hili huwa halina mjadala wala kutafuta suluhisho LA kidiplomasia inapoonekana nchi yenye nguvu kwenye mzunguko wa pesa dunian inaamua ku-ditch dollar.

Iraq walifanya maamuz lakini kabla ya utekelezaj wakasingiziwa wana silaha za maangamiz., na utawala wa Sadam H. ukafutilkwa mbali

Gadaf wa Libya akiwa kwenye hatua za mwisho kabisa kuhama kwenye mfumo wa dolla Libya ikavamiwa kijeshi na kusambaratishwa.

Libya wangefanikiwa uamuz huu bila shaka kabisa mzunguko wa dollar ungepotea Africa

Hizi ghasia zilizotokea na hata sasa zinaendelea katika nchi za kiarabu; ni njama mahsusi ya CIA kuzidhoofisha kabisa zisifikie lengo LA kujitegemea katika mifumo ya fedha ambayo ni uti wa mgongo wa chumi za nchi zao.

Anaweza asivamie kijeshi kama alivyofanya Iraq, Libya na kwingine lakini akatumia washirika wake wa karibu ambao ni SMART kama Israel kuufutilia mbali utawala wa Tehran

Licha ya ushawishi wa Ufaransa, UK, Ujeruman, Rais Trumph ametishia ku-walk out of the 'nuclear deal' ili ipatikane tu sababu ya kuingia kwenye mgogoro na watawala wa Iran.

Wale wasoma nyakati za siasa za kimataifa hawatabisha hiki kiutafiti....
 
Kweli hata jiwe letu likisema kuwa halitumiia dola...wanatanzengea..

Kweli hii kitu imewatoa sadam na gadafi.....sijui labda iran ina support maana juzi kati nasikia walifanya business na india kwa kutumia Gold kitu ambacho US hawtaki hata kusikia
 
Allah Akbar,chingir chingir...dakar dakar...dhafl dhafl...
 
Back
Top Bottom