Tunawabeza ila warudi (Russia)

Tunawabeza ila warudi (Russia)

enery

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
368
Reaction score
439
Ukweli unabaki kuwa ukweli kwa sasa Russia wamerudi na wanakuja kwa kasi kutawala soko kwa sasa upande wa silaha, kilimo na tekinolojia. Karata zao wamezichanga vizuri na zimechangika haswa. Nilijaribu kuangalia wakati wa kumwapisha raisi hapakuwa na kiongozi yeyote wa ulaya wala maekani aliyehudhuria ndipo nikagundua kuwa hawa watu wamekuwa kikwazo kikubwa kwa mabwana mkubwa kwa sasa hata raisi aliyeko madarakani.
Wakati Libya inavamiwa nimejaribu kurudi nyuma nikagundua kumbe bwana mkubwa Putin hakuwa raisi alikuw awaziri mkuu kipindi kile, kwa sasa kila jambo wapangalo linakwenda kombo

Yakov Kedmi moja wa majasusi waandamizi wa Israel aliyezaliwa Urusi ya Kisovieti anasema hivi "Nguvu kubwa ya Urusi siku zote imekuwa ni kuweka mkazo mkubwa sana kwenye Elimu" akasisitiza kwamba bila Urusi ya Kisovieti kusomesha sana watu wake basi Urusi ya leo hii ingekuwa imeshasambaratika muda sana na kubakia historia.

NB: Mpaka leo hii nchi ina wanasayansi (World Class) zaidi ya Milioni moja na rasilimali nyingi vile hivi unategemea nini hapo aisee ?? Hata Tanzania leo mkaamua kuwaweka kapuni hawa wanasaiasa Uchwara mbona mtafanya makubwa sana hadi dunia itakuna kichwa, tena na rasilimali mlizonazo ndiyo kabisaaaa "Only the Sky is the Limit"
 
Ulichosema ni kweli kabisa, Elimu ni kila kitu. Nimejaibu kufuatilia project za hawa jamaa kwa sasa kila kitu wanatengeneza kwao. Hivo hata vikwazo ukiwawekea huwa havisaidii chochote, mana kila kitu wanacho na soko lao kubwa ni la ndani sema kwa sasa naona wanataka anza kutoka nje ya soko lao la ndani. Kiukweli wako vizuri sana kwa sasa
 
Vikwazo vinawaumiza na wala huwezi kutegemea soko la ndani peke yake kwasababu kipindi hivi Uchumi wa dunia umefungamana sana. Japo sasa unapokuwa na nchi inayojitegemea kwa sehemu kubwa ni kwamba kuna baadhi ya mambo hata wakiwekee vikwazo utayaruka tu hata kama kwa taratibu.
 
Tutampiga vikwazo hadi ale mahindi, na bora hajaongea kumsaidia Iran
 
Back
Top Bottom