Vituko vya viongozi wa Afrika, Rais wa Gambia Yahya Jammehcha alificha magari msituni

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
DQmQ4xaqtRpiJBUaTeyg97urwjN7TffDRpfipUkZ2BsNvV3_1680x8400
DQmarYvN8DYAHRsSnnbxPY6guJkZiJUcwwt32s16oCYFY4Y_1680x8400
DQmcCG9ixAo7bUMu4dmjfXNkF4j7Rcysz4qzxPYRmZcmmrg

Haya ni magari ambayo aliyekuwa raisi wa Gambia Yahya Jammeh aliyaficha kwenye msitu flani.

Viongozi wa Kiafrika wanapenda sana anasa.

Source: Zambezi Reporter
 
Nimekuwa wa kwanza....Mkuu sasa hivi nlikua najadili kuhusu Waafrika na tabia zao, kila anaepata hafanyi jambo jema kwa manufaa ya kizazi kijacho, wabinafsi mnoo yaani aaahgg nachukia uafrika wee angalia hata waarabu tunaoambiwa tuko nao bara moja they are ahead of us sie kama tuna balaa ninaaa zangu
 
Kweli mkuu ukiuliza kwanini wako ahead utaambiwa wale bahati yao wana mafuta.
Wana mafuta lakini wanaishi jangwani ila kuna nchi kule wanaenjoy maisha.
Sisi hata tuwe na mafuta hakuna afadhali.
Ona Tz tuna dhahabu, chuma, almas, Tanzanite, mbuga za wanyama, mito, maziwa, ardhi yenye rutuba, bahari, makaa ya mawe, samaki, ng'ombe wa kutosha, misitu yani tuna almost kila kitu lakini tunazidiwa na nchi kibao ambazo hazina resources zinategemea utalii..
Ukiuliza hakuna wa kukupa jibu linaloeleweka
 
Ukiuliza hakuna wa kukupa kibu linaloeleweka
Aisee nipo Serikalini lkn natamani nisije kuzeekea huku maana ntakufa na presha kuna ukuda kila kona, huko nje kwenye sekta binafsi kunachefua Waafrika kama siyo laana bass mazwazwa wakufa mtu
 
Duh! Hiyo sio kupenda anasa mkuu; bali picha halisi ya kiongozi mpumbavu. Binadamu mwenye akili kamili hawezi kufanya kitu kama hicho.
 
DQmQ4xaqtRpiJBUaTeyg97urwjN7TffDRpfipUkZ2BsNvV3_1680x8400
DQmarYvN8DYAHRsSnnbxPY6guJkZiJUcwwt32s16oCYFY4Y_1680x8400
DQmcCG9ixAo7bUMu4dmjfXNkF4j7Rcysz4qzxPYRmZcmmrg

Haya ni magari ambayo aliyekuwa raisi wa Gambia Yahya Jammeh aliyaficha kwenye msitu flani.

Viongozi wa Kiafrika wanapenda sana anasa.

Source: Zambezi Reporter
Ukweli mchungu japo unauma waafrika tuna matatizo hakika bongo zetu azipo sawa km ngozi nyeupe ukweli ndio huo... Kipo ww angalia viongozi wetu pamoja hao wakombizi wetu...
 
Back
Top Bottom