Polisi nchini Marekani inasema kuwa mshiriki katika michezo ya video kwenye mji wa Jacksonville mjini Florida amewaua watu wawili kwa kuwapiga risasi.
Takribani watu wengine 14 wamejeruhiwa...
Shujaa wa Marekani na Senator, John McCain aamua kuacha kuendelea na matibabu ya saratani ya ubongo.
Hii maana yake ni kwamba maisha yake yamekaribia kufikia tamati hapa duniani.
Inasikitisha...
Dr Emmanuel Gasakure, was born in Butare and was a refugee in Burundi between 1973 and 1987. He studied medicine in Bujumbura and specialized in cardiology in France where he arrived in 1987 and...
Senetor maarafu Marekani na anayedai ndiye mwanasiasa pekee mwenye uchungu na nia ya dhati na mzalendo wa kweli kwa maslahi ya Marekani John Mccain kashaanza maandalizi ya mazishi yake.Hii...
Michael Cohen, mwanasheria wa Rais wa Marekani amefikishwa mahakamani Kwa tuhuma za makosa Mbali mbali ikiwemo matumizi Mabaya ya fedha. Jambo hili linawezekana hapa kwetu tz? na katika historia...
Hii ndii historia ya Israel kwa ufupi. Wayahudi Asili yao ni Iraq kutoka kabila linaitwa Huru ya wakaldayo. Ibrahimu ndiye aliyesafari na kuhama Iraq kwenda Nchi ya palestina kwa wakati huo...
Urusi, China, Korea Kaskazini, Beralus, Kazakistan, Mongolia, Vietnam, Laos, Cambodia, India, Philippines, Myanmar(Burma), Turkey, Crimea, Syria, Qatar, Pakistan (Uwezekano mkubwa wa kuwa chanzo...
Jamaa akiwa na mke wake huko Malta.
Kanisa katoliki nchini Malta labariki ndoa za jinsia moja au maarufu kama ushoga. Askofu Charles Scicluna aliliambia kanisa moja nchini humo kua kanisa...
Marekani na washirika wake wanaandaa mashambulizi mapya ya anga dhidi ya Siria, Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema. Wizara hiyo ya Urusi imesema wanamgambo wapotiari kwa shambulizi hilo la kemikali...
Emmerson Mnangagwa ameapishwa leo Agosti 26 mjini Harare kuwa Rais mpya wa Zimbabwe na kuwa Rais wa pili wa nchi hiyo tangu ipate uhuru.
Zimbabwe: Mnangagwa ameapishwa kuwa rais mpya
Emmerson...
Serikali ya Israel imetoa ilani ya siku tisini kwa maelfu ya wahamiaji kutoka Afrika kuondoka nchini humo au kuhukumiwa kifungo.
Utaratibu huo utaathiri wanaotafuta hifadhi ambao watalazimishwa...
Anachofanyiwa Bobi Wine sio Uganda tu. Vitendo vya viongozi wa kiafrika Kwa wananchi wao kinawatia hamu na kuwapatia sababu wakoni wetu kurudi tena Afrika. Wamegundua kuwa waliondoka kimakosa...
Nigerian lawyer drags Ugandan President to UN over alleged rights violations
A Nigerian human rights lawyer, Femi Falana, has appealed to the United Nations (UN) to investigate Ugandan President...
Jeshi la Polisi Kilimanjaro linawashikilia watanzania 2 kwa kukutwa na gari nyeusi aina ya Nissan V8 iliyoibwa toka ikulu ya Kenyata, Nairobi. Watu hao walinaswa ktk kizuizi cha polisi Boma...
Iran has revealed its first domestic fighter jet, "Kowsar," at a defense show. President Hassan Rouhani has apparently been checking the readiness of the aircraft himself, as he was spotted...
Aliyewahi kuwa kiongozi wa Waasi, Jean Pierre Bemba akataliwa kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo
Tume ya Uchaguzi imemuondoa bwana Bemba kwenye kinyang'anyiro hicho...
"Wataalamu wa kigeni wamewasili nchini Siria kwa kutekeleza shambulizi la kemikali kwa kutumia Chlorine", Wizara ya ulinzi ya Urusi. Wizara hiyo imetahadharisha kwamba shambulizi hilo linaweza...
Seneta wa chama cha Republican John McCain amepatikana na saratani ya ubongo na anatafuta matibabu kulingana na duru za offisi yake.
Matibabu hayo huenda yakashirikisha matumizi ya dawa ama...
Rais wa Urusi Vladimir Putin aliwahi kusema kuwa hakuna atakae salimika iwapo kutatokea vita baina ya Urusi na Marekani
Rais wa Urusi Vladimir Putin katika mahojiano aliyowahi kuyafanya na...
Omarosa Manigault-Newman...
Huyu mama huyu...ni bonge moja la drama queen. Sitoshangaa huyu ndo akawa sababu ya Donald Trump kuanguka na kuachia urais.
Mwaka 2004 ndo nilimwona kwa mara ya...