Mwanasheria wa Trump afikishwa Mahakamani

Mwanasheria wa Trump afikishwa Mahakamani

Ss Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2018
Posts
577
Reaction score
451
Michael Cohen, mwanasheria wa Rais wa Marekani amefikishwa mahakamani Kwa tuhuma za makosa Mbali mbali ikiwemo matumizi Mabaya ya fedha. Jambo hili linawezekana hapa kwetu tz? na katika historia yetu tangu tupate uhuru mahakama zetu zimewahi kumtia hatiani mtu mwenye wadhifa kama huu?

Naomba tujadili, matusi hapana.
800px-Trump_executive_Michael_Cohen_012_(5506031001)_(cropped).jpg
3193.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapozungumza Kuhusu uwepo wa Taasisi imara ndio tunazungumza haya.

Taasisi huru, imara, na zenye NGUVU za kudhibiti, kusawazisha, na kumizanisha mienendo na matendo ya mihimili mitatu ya kiserikali. (Checks and Balance)

Uwepo wa Taasisi zenye NIDHAMU na imara za kipolisi na kiuchunguzi, pamoja na KATIBA BORA. (Sio magenge ya kihuni).

Bahati mbaya haya yote yanaonekana ni kama kelele za kichadema na kisiasa.

Tunazungumza kuhusu nchi na mustakabali wa Taifa.

CHADEMA NA CCM VITAPITA NA KUFA LAKINI TAIFA LITASIMAMA.

WENYE MAMLAKA WAPATE MAONO HAYA NA WAFUNGUKE MIOYO YAO WALIOKOE TAIFA.

SASA HIVI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michael Cohen, mwanasheria wa Rais wa Marekani amefikishwa mahakamani Kwa tuhuma za makosa Mbali mbali ikiwemo matumizi Mabaya ya fedha. Jambo hili linawezekana hapa kwetu tz? na katika historia yetu tangu tupate uhuru mahakama zetu zimewahi kumtia hatiani mtu mwenye wadhifa kama huu?

Naomba tujadili, matusi hapana.View attachment 843652View attachment 843653

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajua kudandia ya watu.....tuambie sakata lote basi tujue kulikoni na siyo udaku udaku
 
Back
Top Bottom