Iran unveils 'first domestically manufactured' fighter jet

Mandown

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
1,665
Reaction score
507
Iran has revealed its first domestic fighter jet, "Kowsar," at a defense show. President Hassan Rouhani has apparently been checking the readiness of the aircraft himself, as he was spotted sitting in the cockpit.
The fourth-generation jet boasts “advanced avionics” and a multi-purpose radar, the Tasnim news agency said, adding that it was "completely indigenously made.” The “advanced” aircraft, which is to be produced in two versions – with a single cabin and two cabins – and will be used for aerial support missions as well as for pilots’ training, according to Irna
The jet was presented on Wednesday amid rising tensions in the Middle East as well as Tehran’s growing rift with Washington. President Rouhani and Defense Minister Amir Hatami were at the ceremony, with the President even getting into the cockpit to check out how comfortable pilots would be in the newest addition to the Iranian air force

Iran unveils first domestic fighter jet, President Rouhani checks out the cockpit (VIDEO)
https://edition.cnn.com/2018/08/21/middleeast/iran-fighter-jet-intl/index.html
 
Mbona kipindi cha nyuma cha Ahmed Nejad waliwahi kuzindua ndege domestically made pamoja na drone ambapo wamarekani waliwacheka wakasema zile picha ni model za plastic tu
 
Drone sawa ila ndege sija wahi sikia . Kuna drone ya wamarekani wali ikamata wakafanya kitu inaitwa Reverse engneering na kufyatua yakwao kama ya Wamarekani kisha wakawarudishia
 
Ndiyo hichon hicho kipindi tena pia wakawa wanasema wana develope na mfumo wao wa kulinda anga
 
Wataalamu wa mambo wanasema hizo sio ndege mpya ni za miaka ya 70s walizouziwa na Marekani kabla ya Mapinduzi ya Irani. Yani kwamba jamaa labda wawe wameziongezea vitu lakini sio from scratch!.
IMG_20180823_144024_762.jpg

chige Malcom Lumumba Prof mnasemaje kwa hili!?.
 
Hata Walipotangaza kuwa Watazindua Ngege iliyotengenezwa Nyumbani Jemedari wao alikuwa akitetemeka midomo haswa... ndege za kuwafunzia marubani ya kale wameifufua baada ya vikwazo kuregezwa sasa vimewekwa tena wataua marubani wao hawa jamaa... vitu vikizeeka huwa vinatupwa na kukatwa katwa.... Kama wajanja waombe lile dampo la California graveyard Madege... wayafufue yote..

Kuna Mwaka walikuja na kituko kuwa wametengeneza ndege yao ambayo haionekani kwenye radar yeyote ile wakaipiga picha na Ayatollah alijitapa sana issue ikaja kwenye kuruka wakaweka picha yao waliyoi edit ghafla mpiga picha yake halisi kutoka nchi nyingine akasema ni uoongo hilo eneo alipiga yeye picha na akaiweka picha halisi Ayatollah akasepa kimya...

Irani acheni uongo usiosaidia nyie ni watu wa Dini
 
Iran imekua ikitengeneza ndege zake tokea 2006 walianza na:-
1. Azaraksh
2.Saeqh 1
3.Saeqh 2
4.Dorna Training jet
5.Kowsar-88 Training jet
6.Qaher-313 Stealth fighter jet still underdevelopment
7. Kowsar
NB: Hizo ndege za Azaraksh,Saeqh 1&2 and Kowsar zimebase kwenye model ya US F-5 fighter jets ambazo Iran alinunua kabla ya Mapinduzi ya 1979....Kuna Watu walidai Iran hana uwezo wa kutengeneza Ndege maana ndege ni very complicated hasa Engine na Radar maana nchi zote ukiacha US,France Sweden na Russia zilizobaki zinashirikiana mfano UK/Germany wana Euro fighter, Nk nk So wakasema Iran atakua anafanya painting tu za zile ndege zake lakin Iran waliweza Ku reverse engineering na wakaonesha zilivyokua zinatengenezwa kiwandani....Ndo watu wakaamini....Iran baadae wakazindua Turbofans Engine hii ni very complicated Ku master so Hii ndege ni Iran Made though muonekano wake unafanana na US-F5 lakin cockpit waliyo install ni 4 or 5th generation hivyo kuifanya hii ndege kuweza kurusha makombora tofauti....Qaher stealth fighter inayosubiriwa kwa hamu kuruka mwakan maana imeshafanya Taxing testing hii ni tofauti kabisa na dizain zilizopo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapotangaza kuwa umetengeneza Ndege yako Dunia Inastuka how na umewezaje Kicheko kinakuja pale unapowaonyesha kuwa ume copy na kupaste... Muhahahahahaha... Hata Tanzania walitengeneza Nyumbu na kuunganisha Mascania kwenye viwanda vyake vya jeshi na karakana ya TAMCO..Mbeya kuna Jamaa alitengeneza Helicopter Tulipoonyshwa Tuliduwaa kwa kituko kile yaani sina hamu tena ya kukitizama...
 
No....Km ukitengeneza au kucopy kitu ambacho hakitembei sawa! Kumbuka Iran has been under sanctions for more than 4 decades! So alichofanya Iran ni Ku study vifaa vyote alivokua navyo kabla ya miaka 70 na kuvisoma na kuanzia apo! Mfano Iran ana fleet za Helicopter nyingi nadhan ni ya 4 duniani hizo helicopters wanatengeneza wao baada ya Ku reverse engineering utaona Helicopter zao ni Bel-212 au alike km za Marekan lakin hizo ni zao..Angalia Iran made attacking chopper zipo more improved more lethal than US made Bell Helicopter mpaka Israel wlisema hizi Helicopters alizotengeneza ni bora kuliko US made maana ata Israel anazo Ila Sikh hizi anatumia Apache....Angalia Iran made Warships zinafanana na alizokua amenunua UK kabla ya 1979 angalia Iran fast attacking Boats zinafanana na Blade runner za UK lakin Iran alizisoma na kuweza kuzitengeneza japo muundo kabadiri muundo....Ndege alizopewa Iran walinyimwa ata Spea tokea 1979 lakin wameweza kuzi maintain mpaka Leo na zinafanya kazi mfano ni F-14 interceptors hizi ni Iran tu Dunian ambazo bado zinaweza kuruka maana wamezi overhaul na kuweka vifaa vipya.....So Iran kwa miaka ijayo itakua vizur zaidi maana anavikwazo....China mpaka Leo ananunua Engine Russia nk nk So tusibeze wamepiga hatua

Aerospace technology ni very complex mkuu... F-35 stealth fighter jet ni Project ya nchi km 8 hivi japo US ana share kubwa na intellectual property right over others.....Leo US anategemea Russi kwenye Engine ili aweze rusha Satellite jiulize?

Hahaha Mkuu umenichekesha eti hadi Israel alisifia Helicopter za Iran kuliko za Marekani muundaji... Mkuu the Issue unapenda sana... unaamini fake zaidi ya Original... Iran anatumia Propaganda zaidi kuna watu washafika huko kuna hali mbaya sana na almost kila Siku kuna Maandamano ya Kumtakia kifo Ayatollah maana ndio kaonekana ndie kikwazo..

Iran hadi leo hii anatamani kununua Madege ya kila aina sema kazuiwa tu Issue za kuzindua ndege ni propaganda tu fuatilia vizuri... Iran anahitaji kubadilisha zana zake almost zote azireplace na Mpya.... Last time i checked kule Syria alisogea karibu na Mpaka wa Israel akarusha Makombora yake yaliyovuka mpaka sijui yalikuwa manne na mengine yaliishia ndani ya ardhi ya Syria... ilinishangaza sana baada ya Tambo za miaka yote ile... ndio anawadanganya Hamas na kuwapa kiburi na wao wanakufa tu na kupata hasara daily basis.

For now Iran kabanwa ila akiachiwa cha kwanza atakuja kununua Silaha tu... Alitishia sana kuna kipindi hadi Marekani akaogopa ila Israel hakutishika na Israel alitaka kumlipua Iran Marekani akaingilia kati kuwa atazitungua ndege za Israel zikikaribia anga la Iran...

Mtambo wa Kiruusia S300 ndio unaompa jeuri zaidi Iran mengine ni Propaganda tu arafu huwa wanakuwa Serious kweli kweli
 
Mkuu nakuongezea knowledge! Iran Leo hii ni hatar kwenye makombora yani Missile...Alianzia wapi History inatufundisha Iran alikua na #Scud na chache akazisoma akaweza kutengeneza parts km Engine,Radar,Explosive ambazo utaweka pamoja kwenye missile...Leo mataifa yaleyale yaliyoweka vikwazo yanakosa usingizi maana kwenye sekta ya rockets,missile na Satellites wamepiga hatua sana tokea kwenye Scud Leo wameimprove ten folds kwenye missile Scud yenye 700Km Leo wanatengeneza yakwao Long range missiles like Emad,Zilzalah,nk nk yenye zaidi ya 2000km ambayo yanafika nchi nchi za Ulaya mpaka Israel na sehemu za Africa.....Kasome Iran Ballistic missile program na ujiulize kwann US na Israel wanapiga kelele sana kuhusu Ballistic missile za Iran? Njoo kwenye air defense system uko nako kapiga hatua sana kwan ana homegrown technology ambazo zimemfanya aweze kutengeneza defense system tofauti na bado anaboresha zaid na zaid maana teknolojia inakua sana....So at a sie Tanzania Tusingeachana na magar yetu ya Nyumbu Leo hii tungekua mbali sana

Mkuu America si kwamba anategemea 100% Rockets za Russia ni kwamba issue katika Majaribio yake alifail na kuna Mikono ya watu ndani yake wanaosababisha zifail but kila kitu huwa ni sawa tu.. zama ndani ndio utajua mamafia wakoje... Elon Mask kaweza rusha rocket juu na ikaweza kutua yenyewe Serikali ya Marekani haishindwi ila kufelishwa ndio imechoka project huwa za pesa nyingi sana.

Project ya F-35 yes ya Nchi nyingi hata Israel aliweza supplier Mabawa yake na vifaa vingi ndani yake ila aliponunua kaongezea tena zaidi vingine
 
Mkuu nakuongezea knowledge! Iran Leo hii ni hatar kwenye makombora yani Missile...Alianzia wapi History inatufundisha Iran alikua na #Scud na chache akazisoma akaweza kutengeneza parts km Engine,Radar,Explosive ambazo utaweka pamoja kwenye missile...Leo mataifa yaleyale yaliyoweka vikwazo yanakosa usingizi maana kwenye sekta ya rockets,missile na Satellites wamepiga hatua sana tokea kwenye Scud Leo wameimprove ten folds kwenye missile Scud yenye 700Km Leo wanatengeneza yakwao Long range missiles like Emad,Zilzalah,nk nk yenye zaidi ya 2000km ambayo yanafika nchi nchi za Ulaya mpaka Israel na sehemu za Africa.....Kasome Iran Ballistic missile program na ujiulize kwann US na Israel wanapiga kelele sana kuhusu Ballistic missile za Iran? Njoo kwenye air defense system uko nako kapiga hatua sana kwan ana homegrown technology ambazo zimemfanya aweze kutengeneza defense system tofauti na bado anaboresha zaid na zaid maana teknolojia inakua sana....So at a sie Tanzania Tusingeachana na magar yetu ya Nyumbu Leo hii tungekua mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiniambia nisome uwezo wa Iran kutengeneza Ballistic nilishawahi soma hiyo ila nikakuta anatumia smuggling parts na engine so nilimuona Iran mzushi tu Israel huja juu kwa kuletewa Kibesi tu na Iran but hamuogopi katu. kumbuka Iran ni Propaganda tu kwa sana na kiukweli ana hali mbaya
 
Hahaha Mkuu umenichekesha eti hadi Israel alisifia Helicopter za Iran kuliko za Marekani muundaji... Mkuu the Issue unapenda sana... unaamini fake zaidi ya Original... Iran anatumia Propaganda zaidi kuna watu washafika huko kuna hali mbaya sana na almost kila Siku kuna Maandamano ya Kumtakia kifo Ayatollah maana ndio kaonekana ndie kikwazo..

Iran hadi leo hii anatamani kununua Madege ya kila aina sema kazuiwa tu Issue za kuzindua ndege ni propaganda tu fuatilia vizuri... Iran anahitaji kubadilisha zana zake almost zote azireplace na Mpya.... Last time i checked kule Syria alisogea karibu na Mpaka wa Israel akarusha Makombora yake yaliyovuka mpaka sijui yalikuwa manne na mengine yaliishia ndani ya ardhi ya Syria... ilinishangaza sana baada ya Tambo za miaka yote ile... ndio anawadanganya Hamas na kuwapa kiburi na wao wanakufa tu na kupata hasara daily basis.

For now Iran kabanwa ila akiachiwa cha kwanza atakuja kununua Silaha tu... Alitishia sana kuna kipindi hadi Marekani akaogopa ila Israel hakutishika na Israel alitaka kumlipua Iran Marekani akaingilia kati kuwa atazitungua ndege za Israel zikikaribia anga la Iran...

Mtambo wa Kiruusia S300 ndio unaompa jeuri zaidi Iran mengine ni Propaganda tu arafu huwa wanakuwa Serious kweli kweli
Acha kuibeza Iran mzee, wao wanajaribu wanawatumia wanasayansi na wataalamu wengine kama engineers, huku Afrika hata robo ya uwezo wa Iran hatuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom