Mbona Mnazidi kunichanganya?? Nani mmiliki?

Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,075
1,423
Hii ndii historia ya Israel kwa ufupi. Wayahudi Asili yao ni Iraq kutoka kabila linaitwa Huru ya wakaldayo. Ibrahimu ndiye aliyesafari na kuhama Iraq kwenda Nchi ya palestina kwa wakati huo ilifahamika kama nchi ya Kanani Pia Mungu alimhadi atampa nchi ya kanani yeye na uzao wake milele. Neno Israel ni Mungu mwenyewe Alimuita Mjukuu wa Ibrahimu Yakobo.Alimwambia hitaitwa tena yakobo bali Israel maana yake Taifa kubwa. Historia inaonyesha Baadae taifa La Babeli kwa sasa ni Iraq Lilitawala dunia kiuchumi kipindi hicho lilishambulia Israel na kuuteka Mji mkuu Yerusalemu kwa kipindi cha miaka 70. Baada ya hapo taifa la uajemi na waamedi Wakiongozwa na mfalme Koresh wa pili wakaipiku Babeli Iraq ya leo kiuchumu. Waajami kwa kwa sasa Ni taifa la (Iran) Wakawasaidi wayahudi kupata uhuru wao na kuwarejesha mateka wa Israel Yerusalemu. Wayahudi walikaa katika Ardhi ya Yao ya Yerusalemu zaidi ya miaka 470 Ndipo lijatokea shambulio la kutoka Dola ya Rumi ikiongozwa na Kamanda Tito ikaipiga Nchi ya Israel na kuharibu vikali hekalu la Sulemani Yerusalemu. Wayahudi waliosalia ambao hawakuuwawa walikombilia nchi za ulaya Magharibi na Taifa la Siberia ambalo kwa sasa Ni Urusi. Kabla Ya vita ya pili ya dunia Adolfu Hitler Akiongoza chama Cha wanazi na kukua kwa siasa sa Kifashist Alitengeneza Sera moja ya Sera zake ni kutaifisha Viwanda na makampuni yote yaliokua yanamilikiwa na Wayahudi baada ya kuchukua Hitla baada ya kuchaguliwa kuwa Cansela wa Ujerumani ndipo akaanza kutekeleza Sera zake kuwafilisi wayahudi na kuwafungu kwenye makambi ya mateso Inakadiriwa ujerumani kulikua na wayahudi zaidi ya Milioni 10 Sera za chuki za Fashism na Nashism kutoka Italia zilitengeneza chuki ndio ikapelekea mauaji Holcut walikufa wayahudi milioni 7.Mara baada ya Vita ya dunia na kuundwa Kwa Umoja wa mataifa (UNO) William james mwakilishi kutoka Uingereza alipeleka hoja ya wayahudi kupewa nchi yao wenyewe Kura ikapigwa kwa Kwa mataifa yaliokua wanachama na ikapelekea kugawanywa kwa Nchi ya palestina Israel apewe eneo Kaskazin mwa Yerusalem na Magharibi Tel Aviv ndio uwe mji mkuu Na Palestina Akapewa Upande wa kusini na Mashariki mwa Yersalemu. kimsingi Palestina alipewa eneo kubwa Zaidi ya asilimia 75 na Israel aslimi 25 ya ardhi. Jambo hili lilikua chukizo kwa nchi za kiarabu zote 1948-1950 vilikua vita vlivopewa jina (Israel Arab war) Mwaka 1956 Lilisukwa jaribia la kuishambulia Israel likashindwa. Mwaka 1967 mwezi juni Ndio vita ya kihistoria kwa Israel inafahamika Kama (Six day war). Kabla ya vita hii Dunia nzima iliingia kwenye hofu kubwa maana yalikua ndani ta vita hii mataifa mawili makubwa kiuchumi Marekani akishirikiana na Ulaya magharibi Uingereza na Ufaransa walikua upande wa Israel. Urusi ambayo kipindi hicho ndio dola lililokua linatwala dunia kiuchumi Na Muungano wa mataifa ya Ulaya Mashariki (USSR) Yalikua upande wa Waarabu. Waarabu wote wakiongozwa na Rais wa Misri Yasin Gamal Walinunua ndege nyingi na Rada za kisasa kutoka Urusi Bado Mfereji wa Suez Canal Ulibeba Manuwari za kivita nyingi. Waarabu Waliizingara Israel kila idara Kwa upande wa Kaskazini mwa Sirya walitegemea Milima Ya Golan na upande wa Kusini walitegemea milima Ya Sinai na ya Jagwa la Araba Lkn mbinu Israel Aliyotumia ni Kumshambulia adui yako kabla hajakushambuli. Israel Alifanya mashambulizi ya Anga masaa mawili mfulizo na kupelekea kuimiliki na kutawala anga lote kwa kuzipiga ndege za Misri, Sirya, Lebanon, Jordani. Na ndio vita iliyopelekea Palestinina kupoteza Eneo lote la Yerusalem Sirya kupoteza Mabonde na milima ya Golani na Misri kupoteza Mlima sinai Ila Misri alirudishiwa Mlima sinai mwa 1978 Baada ya kukubali maazimio ya Mkataba unaofahamika (Camp Devid Agreement) Moja ya makubaliano ni Misri kutojousisha kijeshi Katika Jangwa la Sinai pili Misri kutoingilia Mgogoro wowote wa Israel. Mwaka 1972 Nch za kiarabu zilipigana na Israel ili kukomboa maeneo yao zikashidwa. Mwaka 1982 Israel ilitangaza Yerusalemu ndio mji wake mkuu. Swali la kujiuliza Je! Israel kwa sasa ataachia Eneo la Palestina Jibu ni Hapana. Kwasababu tangia mwaka 1973 Israel anajijenge kijeshi na kumiliki lundo la Silaha za Maangamizi mpaka sasa Israel Haijakaguliwa ina milikiki silaha za nyuklia kiasi gani. Pili kwa sasa nchi za kiarabu zimegawanyika mfano mzuri ni huu mgogoro wa Irani na Isrel. Saudi Arabia, Baharin, Pakistani, Kazakastani, Jordani, Misri wako upande wa Israel na Saudia Arabia ameshasema Yuko taari kutoa anga yake muirani Apigwe.
Tatu sasa hivi yale mataifa ya kikomunisti yalioyokuwa adui na Israel sasa ni Marafiki mfano ni China Urusi na hata Tanzania.
Nne Kila siku mataifa ya kiarabu yakosa nguvu na kupoteza ushawishi duniani mfano Libya, Iraq, Sirya, Afganistani, Kuwet,
Tano Mataifa ya Magharibi kukua kiuchumi na kiteknolojia Yanazidi kuipa nguvu Israel kwa kutoikemea au kuiwekea vikwazo kwa pindi inapoua wapalestina.
 
Umeanzia mbali ili ueleweke, na kweli umeeleweka kwa upande wangu. Maana umeanzia zamani saana! Kabla hata Israel halijawa taifa! Hivi vita si vya kuisha na kila mmoja ana akili nyingi japo mmoja anaonekana kumzidi mwenziye nguvu. Mungu atusaidie.
 
Kisheria na kihaki kabisa lile eneo lote ni la palestina
Wayahudi wao walivamia ardhi ile tangu kipindi inaitwa kanaani wakitumia kigezo cha kwamba wamepewa na mungu wao wa vita.

Wanaotetea eneo lile kidini/wakristo hivi niwaulize ikitokea huyo mungu akiwaambia wayahudi leo hii kuwa amewapa tanzania nao wakaja kwa lengo la kuichukua tanzania mtawaelewa? mtamuonaje huyo mungu?
Kumbuka kama wakipewa tanzania leo hii watakuja na kuanza kutuua na kutufukuza tukawe wakimbizi kwenye nchi za watu ili wao wachukue tanzania waliyopewa na mungu wao! mnakubali kuna mungu mpumbavu kiasi hicho?
Hebu tumieni akili bwana
Nilikuwa mkristo lakini kwa vitu vya kipumbavu kama hivi nikauvua na sasa sina dini.

Wayahudi ndio wanapaswa kuondoka pale na kuwaachia wazawa/wakanaani/wapalestina wa pale ardhi yao yote!
Haiwezekani kuwe na mungu mwenye upendo na wa haki afanye mambo ya kipuuzi namna hii
Mnaoitetea israel jitafakarini hivi kesho wayahudi wakaja na madege ya kivita, vifaru, bunduki alafu waanze kutushambulia waseme wameagizwa na mungu kuja kuikalia tanzania kimabavu mtawaelewa?

ACHENI UPUMBAVU
 
Wayahudi warudi Huru ya Wakaldayo ambayo ndo Iraq alikotokea Ibrahimu...
Au Mungu kama aliamuwa kuwapa ardhi ya hao wapalestina bac angewauwa wote kabisa ili hayo wayahudi wakae....na sababu hakuwamaliza wote, uzoa wao una haki ya kudai hiyo ardhi ambayo wamenyanganywa na Israel....
 
Kweli mkuu! sio kwamba wapalestina wana haki tu ya kudai ardhi yao! Kama sheria zikitumika wayahudi wanatakiwa waondoke upesi eneo lile tena wawalipe wapalestina fidia kubwa kwa kuwasumbua miaka yote na kuua watu wao.

Kila nwenye kusimamia haki lazima asimame na wapalestina
 
Kisheria na kihaki kabisa lile eneo lote ni la palestina
Wayahudi wao walivamia ardhi ile tangu kipindi inaitwa kanaani wakitumia kigezo cha kwamba wamepewa na mungu wao wa vita.

Wanaotetea eneo lile kidini/wakristo hivi niwaulize ikitokea huyo mungu akiwaambia wayahudi leo hii kuwa amewapa tanzania nao wakaja kwa lengo la kuichukua tanzania mtawaelewa? mtamuonaje huyo mungu?
Kumbuka kama wakipewa tanzania leo hii watakuja na kuanza kutuua na kutufukuza tukawe wakimbizi kwenye nchi za watu ili wao wachukue tanzania waliyopewa na mungu wao! mnakubali kuna mungu mpumbavu kiasi hicho?
Hebu tumieni akili bwana
Nilikuwa mkristo lakini kwa vitu vya kipumbavu kama hivi nikauvua na sasa sina dini.

Wayahudi ndio wanapaswa kuondoka pale na kuwaachia wazawa/wakanaani/wapalestina wa pale ardhi yao yote!
Haiwezekani kuwe na mungu mwenye upendo na wa haki afanye mambo ya kipuuzi namna hii
Mnaoitetea israel jitafakarini hivi kesho wayahudi wakaja na madege ya kivita, vifaru, bunduki alafu waanze kutushambulia waseme wameagizwa na mungu kuja kuikalia tanzania kimabavu mtawaelewa?

ACHENI UPUMBAVU
Sawa kabisa, kutumia kigezo cha dini/imani za mungu wako uvamie ardhi ya mwenzio ni ugomvi ambao hautaisha milele..Hata utumie mabavu gani, nguvu gani na uwaue kila siku..
Mpalestina haondoki pale, Israel angekubali mataifa 2 yaishe..
 
Ni sawa na wewe Mababu na mababu+ mababu zako waliishi eneo fulani hadi wewe umezaliwa hapo umejenga na unaishi,

Then atokee mkimbizi kutoka Burundi aje akuambie ondoka hapa ni kwangu Mungu amenipa amenionyesha eneo hili katika ndoto

Hiiiiiiiiiiiiiiii..........sijui kama utamuelewa
 
Umeanzia mbali ili ueleweke, na kweli umeeleweka kwa upande wangu. Maana umeanzia zamani saana! Kabla hata Israel halijawa taifa! Hivi vita si vya kuisha na kila mmoja ana akili nyingi japo mmoja anaonekana kumzidi mwenziye nguvu. Mungu atusaidie.
Mleta mada kanichosha na uzi usio na vituo wala mpangilio nikapiga moyo konde labda chini nitakutana na summary!.
Ukauquote uzi wote na wewe halafu ukaandika na mengine ya kwako!.
Nimechoka kuisoma hii nyuzi kwakweli!.
Na mie nawachosha wanaokuja sasa!.
Ukisoma huu uzi wangu najua utachoka wewe unayefata!.
Lakini jamani tujifunze kuandika kwa vituo na aya.
Halafu tuache kupenda quote uzi mzima, tunaotumia cm tunahangaika.
Poleni
 
Ni sawa na wewe Mababu na mababu+ mababu zako waliishi eneo fulani hadi wewe umezaliwa hapo umejenga na unaishi,
Then atokee mkimbizi kutoka Burundi aje akuambie ondoka hapa ni kwangu Mungu amenipa amenionyesha eneo hili katika ndoto
Hiiiiiiiiiiiiiiii..........sijui kama utamuelewa
Aiseee! Huo ugomvi kati yetu utakuwepo kwenye vizazi vyetu mpaka wote tufe!
 
Ibrahim alipofika kaanani alikuta kuna watu wanaishi pale. Hao ndio wamiliki halali wa hilo eneo.

Palestina waache kudai haki ambayo tayari wanajuwa wamenyimwa na hawawezi kuipata. Wabaki na kipande cha ardhi walichopewa kama taifa wapambane kupata nchi. Kwa maana ya kupewa mikapa ambayo inajulikana kimataifa. Waufanye hata mji wa Ramalah kuwa mji wao mkuu sio lazima jerusalemu kuwa mji mkuu wa palestina. Wafunike kombe maisha yaendelee.
 
Kitu kingine watu wanaoverlook,
tukifuata maandiko,jehova aliwabariki waisrael na sio wayahudi,

ufalme wa israel wenye mji mkuu uitwao Samaria,uliangushwa na waasyria,na yale makabila 10 yakachukuliwa utumwani na waliobaki walikuja kuitwa wasamaria,lakini kiuhalisia ndo hasa waisrael,
wayahudi waliwatenga hawa na kuwa demonise,eti makabila hayo yamepotea na hayatopatikana tena,
it was a propaganda.
Wasamaria wanafuata vitabu vitano tu katika torati mpaka leo,
vitabu kama vya kina samweli,daniel,amos etc ni vya nationalists wa kiyahudi ambao walikuwa wanaandika kwa manufaa ya jamii yao ya kiyahudi.

Hawa chini ni baadhi ya hao wasamalia na hawatambui lolote kuhusu mji mtakatifu wa Daud.

250px-Samaritans_marking_Sukkot_on_Mount_Gerizim%2C_West_Bank_-_20051017.jpg
 
Ibrahim alipofika kaanani alikuta kuna watu wanaishi pale. Hao ndio wamiliki halali wa hilo eneo.

Palestina waache kudai haki ambayo tayari wanajuwa wamenyimwa na hawawezi kuipata. Wabaki na kipande cha ardhi walichopewa kama taifa wapambane kupata nchi. Kwa maana ya kupewa mikapa ambayo inajulikana kimataifa. Waufanye hata mji wa Ramalah kuwa mji wao mkuu sio lazima jerusalemu kuwa mji mkuu wa palestina. Wafunike kombe maisha yaendelee.
wakati Abraham anakuja caanan aliukuta mji wa Gaza upo,
na haujawahi kucease to exist mpaka leo,,ni mji huo,damusca na mji mmoja uko lebanon ni miji ya zamani sana.
Jamii ya Gaza imeendelea kuwepo pale mpaka leo,
waapalestina wana haki ya kuwepo hapo,
kama tufuate maandiko basi hata hao sea people,waliokuja kujulikana kama wafilist na hatimae wapalestina wana haki ya msingi kuwepo hapo maana wapo kabla ya abraham kuja caanan
 
Ibrahim alipofika kaanani alikuta kuna watu wanaishi pale. Hao ndio wamiliki halali wa hilo eneo.

Palestina waache kudai haki ambayo tayari wanajuwa wamenyimwa na hawawezi kuipata. Wabaki na kipande cha ardhi walichopewa kama taifa wapambane kupata nchi. Kwa maana ya kupewa mikapa ambayo inajulikana kimataifa. Waufanye hata mji wa Ramalah kuwa mji wao mkuu sio lazima jerusalemu kuwa mji mkuu wa palestina. Wafunike kombe maisha yaendelee.
wakati Abraham anakuja caanan aliukuta mji wa Gaza upo,
na haujawahi kucease to exist mpaka leo,,ni mji huo,damusca na mji mmoja uko lebanon ni miji ya zamani sana.
Jamii ya Gaza imeendelea kuwepo pale mpaka leo,
waapalestina wana haki ya kuwepo hapo,
kama tufuate maandiko basi hata hao sea people,waliokuja kujulikana kama wafilist na hatimae wapalestina wana haki ya msingi kuwepo hapo maana wapo kabla ya abraham kuja caanan
 
Wayahudi warudi Huru ya Wakaldayo ambayo ndo Iraq alikotokea Ibrahimu...
Au Mungu kama aliamuwa kuwapa ardhi ya hao wapalestina bac angewauwa wote kabisa ili hayo wayahudi wakae....na sababu hakuwamaliza wote, uzoa wao una haki ya kudai hiyo ardhi ambayo wamenyanganywa na Israel....
Mungu wa wayahudi amekuwa mh Lukuvi anagawa maeneo tu
 
Ni sawa na wewe Mababu na mababu+ mababu zako waliishi eneo fulani hadi wewe umezaliwa hapo umejenga na unaishi,

Then atokee mkimbizi kutoka Burundi aje akuambie ondoka hapa ni kwangu Mungu amenipa amenionyesha eneo hili katika ndoto

Hiiiiiiiiiiiiiiii..........sijui kama utamuelewa
wayahudi bwana, sijui mungu wao huyo ni wa aina gani mpenda ngono kinyume na maumbile, mpenda Vita na magomvi muuaji na kila aina ya magomvi...huyo mungu kiboko.
 
Back
Top Bottom