Senator John McCain kutoendelea na matibabu ya saratani ya ubongo

Silent death! Kachoka madawa anajua anakufa nadhan huu ni Muda muafaka kwake KUTUBU kwani hawa ndo wazee was Republican ma hawkish yan wapenda vita miaka yao yote wamekua wakihubiri Sanctions vidhi ya mataifa mengine,Wamekua wakihamasisha vita dhidi ya Mataifa mengine...Hawa ndo Republican...Sasa Zamu yake imefika anakufa taratibu kwa saratani ya ubongo na kachoka ata madawa! Sara zetu haziwezi msaidia zaidi yeye mwenyewe atubu kwa Mungu maana huyu kule Marekani anaitwa Hero kwa kutekwa kule Vietnam na kule US waliua Wa Vietnam wengi na zaidi Mabomu mengi waliyodondosha uko Vietnam yalikua na Uranium depleted hivyo yameacha madhara ya Saratan na watoto wengi wanaozaliwa kule hawana viungo vyote niliona documentary aljazeera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu wanadhani wataishi milele, wameuwa sana innocent people, haya kimemkuta na yeye, na atajuta huko alipo. Na bado wakina bush..laanatullah alaihim mbwa hao
 
Back
Top Bottom