Polisi nchini Kuwait wamefunga duka moja la samaki baada ya kubaini kwamba mmiliki wa duka hilo amekuwa akiweka macho ya bandia kwenye samaki ili waonekane wa karibuni (wa leo leo) wateja wanunue...
Umoja wa falme za Kiarabu ulitumia silaha ya udukuzi iliyotengenezwa Israel kudukua mawasiliano ya Emir wa Qatar,Waziri Mkuu wa Lebanon pamoja na Prince wa Saudi Arabia.
UAE hailitambui Taifa la...
Kwa kadhia hizi za kuwadhulumu watoto wadogo kingono kwa miaka mingi, kanisa Katoliki linapswa kujitazama upya.
Catholic Cardinal Calls On Pope Francis To Step Down Over Alleged Sexual Abuse...
Marehemu Senator McCain alikuwa anaheshimiwa sana na watu wengi.
Lakini naona kama vile amekufa na vinyongo moyoni mwake.
Kabla hajafa alisema wazi kuwa hataki rais Trump ahudhurie msiba wake...
Imekua kawaida wazawa weusi wa Afrika Kusini kutafuta vijisababu halafu wanatoka nje kwa mapanga na kuanza kusaka wahamiaji wa Kiafrika waliotokea nchi zingine. Leo imetendeka tena, ghasia ambazo...
SAYANSI YA ANGA ZA JUU YAPATA PIGO..
Na Danny Matiko
SAYANSI ya anga za juu imepatwa na pigo la kuondokewa na mwanaanga JOHN YOUNG (87) wa Marekani, aliyefariki.
Kwa mujibu wa msemaji wa...
USA,ndio nchi inayopokea misaada ya kijeshi kiulinzi na kijasusi Duniani kuliko nchi yeyote ili kuikabili Russiah Federation (RF)
.Baada ya vita kuu ya pili ya dunia,kukatokea vita nyingine mbili...
Wakuu wengi wetu tunamfahamu saddam hussein lakini leo nawaletea kisa cha saddam na quran (uislamu)
Dikteta huyu aliwahi kuagiza iandikwe quran kwa damu yake
Yaani alijitoa damu ikawekwa kwenye...
Mwanamuziki nguli mwenye asili ya Uingereza, ambaye alijizolea umaarufu mnamo miaka ya 1980 kwa kuwika ulimwenguni kutokana na mtindo wake wa mahadhi ya pop, amefariki dunia.
George Michael...
Soyinka Aichana Green Card Yake, Ni Baada ya Kutoa Ahadi Hiyo Iwapo Trump Angeshinda Uchaguzi
MWAFRIKA wa kwanza kupata Tuzo la Nobel ambaye ni raia wa Nigeria anayeishi nchini Marekani, Wole...
The body of a Soviet woman mummified in ice and looking like a 'wax doll' who died with six other climbers on Europe's highest peak 31 years ago has been found.
A rescue team brought mountaineer...
Jenerali Mstaafu, Davis Mwamunyange achaguliwa katika orodha iliyoteuliwa na Rais wa nchi ya Zimbabwe, Emmerson Mnagangwa katika tume ya kufanya tathmini ya uchaguzi uliomalizika hivi karibuni
>...
Tanzania kuna rasilimali nyingi sana inaelekea ,marais 3 wa USA with in 3 months kutembelea nchi moja tu,Mpaka Donald Trump anampango wa kuja huko .Tuna amani nyingi sana au Mali nyingi tusizijua...
Russia yaionya tena Marekani juu ya kufanya shambulizi dhidi ya Syria
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameelezea uwezekano wa Marekani na washirika wake kufanya shambulizi dhidi ya...
Uwanja wa ndege wa Dubai washambuliwa kwa kombora la Answarullah
Kikosi cha jeshi la anga kwa kushirikiana na Haraekati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen, kimeshambulia uwanja wa ndege wa...
Russia plans to hold massive war games involving
300,000 personnel next month - its biggest military
manoeuvres since the Cold War.
Defence Minister Sergei Shoigu said units from China
and...
Why Theresa May Came to Africa!
The neocolonial agenda of western nations is in FULL gear. This week we saw Theresa May visit 3 Key commonwealth nations: Nigeria, Kenya & South Africa. What was...
Naomba msaada wadau.
Nahitaji kusafiri na Laptop computers tano,nikitokea New york kuja Tanzania. Laptops ni kwa matumizi ya ofisi (NGO) inayofanya kazi zake jijini Mwanza.
Naomba kujua kama...
Habari wandugu
Tunasubiri operation ya jeshi la Syria wiki hii pale Idlib katika ngome iliyobaki ya Syrian rebel ambapo waasi wamepanga matanki ya gesi ya sumu ktk majengo yao ili jeshi la anga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.