Magaidi wanandaa shambulizi la kemikali 'kuitiadoa Damascus' kuhalalisha mashambulizi ya anga kutoka kwa Marekani.

Mwakamajoka

Senior Member
Nov 21, 2017
170
149
Marekani na washirika wake wanaandaa mashambulizi mapya ya anga dhidi ya Siria, Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema. Wizara hiyo ya Urusi imesema wanamgambo wapotiari kwa shambulizi hilo la kemikali lengo ni kuichafua serikali ya Siria na kuwa sababu ya Marekani kufanya mashambulizi ya anga.

"Shambulizi hilo litatumiwa na marafiki wa kudumu (France, USA na UK) kama sababu ya mashambulizi ya anga dhidi ya Siria ", msemaji Wizara ya ulinzi ya Urusi, Major Jenero Igor Konashenkov." Meli vita ya Marekani inafahamika kama USS 'The Sullivans' an Arleigh-Burke Class Aegis guided missile destroyer tiari ipo kwenye ghuba ya pasia(perssian gulf", Meja Jenero Igor Konashenkov.

Meli vita hiyo inamakombora(cruise missile) 56 kwa kuzingatia taarifa ya Wizara ya ulinzi ya Urusi, vilevile ndege vita aina ya A US Rockwell B-1 lancer, Supersonic bomber ikiwa na makombora 24 ipo tiari ndani ya ardhi ya Qatar (Al udeid airbase)

Uchokozi huu umekuwa ukibuniwa/ukiandaliwa na wanamgambo wa Al-Nusra Front(Tahrir al Sham) ndani ya eneo la mji wa Idlib Kaskazini Magharibi mwa Taifa la Siria.

Kwa ajiri ya shambulizi hili kufanyika takribani pipa(canisters) nane za chlorine zimefikishwa katika kijiji kilichopo karibu kabisa na jiji la Jisr al shughur kwa matumizi ya kigaidi. Kikundi kingine cha kigaidi/wanamgambo kilichoandaliwa na kampuni binafsi ya ulinzi ya Uingereza (Private British Security Company Olive) kimeisha fika kwenye eneo husika. Kikundi hiki kitajishughulisha na kazi za kujitolea (Watu hawa ni miongoni mwa White Helmets Group) hasa kuokoa raia watakao patwa na majeraha baada ya shambulizi kufanyika.

Kwa kuzingatia maneno ya msemaji wa Wizara ya ulinzi ya Urusi, matamshi ya siku chache yaliyotamkwa na mshauli mkuu wa Usalama wa Taifa wa Marekani (Nationa Security Adviser) John Bolton ambaye aliitishia Siria kwa kuishambulia kwa mabomu, kauli hii inaweza kuwa uthibitisho tosha kwa mpango huu mpya kufanyika. Tarehe 22 mwezi wa 8 Jonh Bolton alisema kama serikali ya Damascus itafanya shambulizi lolote la kemikali dhidi ya watu wake basi na yenyewe itashambuliwa kwa kichapo kikali sana.

"Naibu waziri wa mambo ya nje Mheshimiwa Sergey Ryabkov ameonya vikali ameionya Washington kwa hatua mbovu itakazofanya dhidi ya Siria", RIA Novost. "Tumesikia matamko kutoka Washington mengine yakitamkwa hadharani ", Sergey Ryabkov, akimlenga John Bolton kwa kauli zake alizotamka siku chache zilizopita.

Kwa kuzingatia anachosema Sergey Ryabkov(Naibu waziri wa mambo ya nje wa Urusi), kwamba Marekani inalengo la kuidhofisha Siria na kutafuta sababu za kuung'oa serikali ya Siria, kwa mara nyingine tena tunashuhudia ukorofi mkubwa ndani ya Siria.

Mwezi wa nne mwaka huu Marekani, Ufaransa na Uingereza walianzisha kampeni ya kuishambulia Siria kwa mabomu. Mashambulizi ya anga yalifanyika kama kisasi kwa Siria kwa kile kinachodaiwa kufanyika kwa shambulizi la kemikali katika eneo la Douma tarehe 7/4/2018, ambapo miamba ya Magharibi ilimlaumu Bashar AL Assad na serikali yake.Kampeni hiyo ya kuishambulia Siria ilifanyika kipindi ambacho kikosi maalumu cha kimataifa kinachotambulika na Umoja wa Mataifa (Organisation For Prohibation of Chemical Weapons=OPCW) kikiwa njiani kuelekea kwenye eneo la tukio kwa ajiri ya uchunguzi.

Muda huo, Serikali/majeshi ya Siria yakihaha/yakitaabika kupangua makombora takribani 103 yaliyokuwa yamelenga maeneo ya kiraia na ya kijeshi ingawa waliweza kutungua kombora 71.Mpango huo ukitekelezwa na Mwamba wa Magharibi(Uingereza, Marekani na Ufaransa), Wizara ya ulinzi ya Urusi iliyasema hayo.

Terrorists readying chemical attack to frame Damascus & provide pretext for US strikes – Russian MoD

Sent using Jamii Forums mobile app

US plans to use fake chemical weapons attack to strike Syria – Russian MoD
 
Kuna mlokole ameniambia hii vita ni ngumu na waislaer wameanza kurudi kwao kuisaidia nchi yao,
aliniambia kanisani kwao wamepita kuomba msaada wa pesa ilibkusaidia vita hivi.
kikubwa kilichopo syria ni mji mmoja unatakiwa kuwa ni eneo la islaer na kwa sasa hawawezi kuuchukua mpaka vita imalizike au waende wautoe huu utawala unaojielewa ndio wakae wautangaze kuwa ni ardhi yao takatifu.
Marekani ni waislael ndio wanao pigana pamoja.
Mimi kwa akili yangu tu najiuliza All Asad kawafanya nini mbona wakina Museven hawasumbuliwa pamoja na kukaa madarakani miongo mitatu.
Nauona juhudi za Marekani kuitafuta hii vita na huo mji,ila waisrael na walokole kuna uhusiano?
 
Kuna mlokole ameniambia hii vita ni ngumu na waislaer wameanza kurudi kwao kuisaidia nchi yao,
aliniambia kanisani kwao wamepita kuomba msaada wa pesa ilibkusaidia vita hivi.
kikubwa kilichopo syria ni mji mmoja unatakiwa kuwa ni eneo la islaer na kwa sasa hawawezi kuuchukua mpaka vita imalizike au waende wautoe huu utawala unaojielewa ndio wakae wautangaze kuwa ni ardhi yao takatifu.
Marekani ni waislael ndio wanao pigana pamoja.
Mimi kwa akili yangu tu najiuliza All Asad kawafanya nini mbona wakina Museven hawasumbuliwa pamoja na kukaa madarakani miongo mitatu.
Nauona juhudi za narekani kuitafuta hii vita na huo mji,ila waisrael na walolokole kunavuhusiano?
Kuna mlokole amekuambia????
 
USA ni tatizo kjbwa sana duniani. Toka Nina umri MDOGO nilianza kuona ubabe WA marekani DRC Kongo enzi ya Lumumba miaka ya 1960 . vita ya korea miaka 1950. Japan na china 1920 hadi 1948. .kupigwa kwa Hiroshima na Nagasaki Vietnam mwaka 1965 hadi 1975. Angola enzi ya savimbi kuanzia 1975 hadi 1992 LENAMO msumbiji 1975 hadi 2980s. somalia ya said barrr 1990s .mabomu ya Sudan 1999. .Honduras na Panama 1996. Argentina ya Alliende 1980s. .vita ya Iran na iraq 1981 hadi 1988 na pia vita ya iraq 1990 hadi leo.Marekani siipendi
 
Marekani na washirika wake wanaandaa mashambulizi mapya ya anga dhidi ya Siria, Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema. Wizara hiyo ya Urusi imesema wanamgambo wapotiari kwa shambulizi hilo la kemikali lengo ni kuichafua serikali ya Siria na kuwa sababu ya Marekani kufanya mashambulizi ya anga.

"Shambulizi hilo litatumiwa na marafiki wa kudumu (France, USA na UK) kama sababu ya mashambulizi ya anga dhidi ya Siria ", msemaji Wizara ya ulinzi ya Urusi, Major Jenero Igor Konashenkov." Meli vita ya Marekani inafahamika kama USS 'The Sullivans' an Arleigh-Burke Class Aegis guided missile destroyer tiari ipo kwenye ghuba ya pasia(perssian gulf", Meja Jenero Igor Konashenkov.

Meli vita hiyo inamakombora(cruise missile) 56 kwa kuzingatia taarifa ya Wizara ya ulinzi ya Urusi, vilevile ndege vita aina ya A US Rockwell B-1 lancer, Supersonic bomber ikiwa na makombora 24 ipo tiari ndani ya ardhi ya Qatar (Al udeid airbase)

Uchokozi huu umekuwa ukibuniwa/ukiandaliwa na wanamgambo wa Al-Nusra Front(Tahrir al Sham) ndani ya eneo la mji wa Idlib Kaskazini Magharibi mwa Taifa la Siria.

Kwa ajiri ya shambulizi hili kufanyika takribani pipa(canisters) nane za chlorine zimefikishwa katika kijiji kilichopo karibu kabisa na jiji la Jisr al shughur kwa matumizi ya kigaidi. Kikundi kingine cha kigaidi/wanamgambo kilichoandaliwa na kampuni binafsi ya ulinzi ya Uingereza (Private British Security Company Olive) kimeisha fika kwenye eneo husika. Kikundi hiki kitajishughulisha na kazi za kujitolea (Watu hawa ni miongoni mwa White Helmets Group) hasa kuokoa raia watakao patwa na majeraha baada ya shambulizi kufanyika.

Kwa kuzingatia maneno ya msemaji wa Wizara ya ulinzi ya Urusi, matamshi ya siku chache yaliyotamkwa na mshauli mkuu wa Usalama wa Taifa wa Marekani (Nationa Security Adviser) John Bolton ambaye aliitishia Siria kwa kuishambulia kwa mabomu, kauli hii inaweza kuwa uthibitisho tosha kwa mpango huu mpya kufanyika. Tarehe 22 mwezi wa 8 Jonh Bolton alisema kama serikali ya Damascus itafanya shambulizi lolote la kemikali dhidi ya watu wake basi na yenyewe itashambuliwa kwa kichapo kikali sana.

"Naibu waziri wa mambo ya nje Mheshimiwa Sergey Ryabkov ameonya vikali ameionya Washington kwa hatua mbovu itakazofanya dhidi ya Siria", RIA Novost. "Tumesikia matamko kutoka Washington mengine yakitamkwa hadharani ", Sergey Ryabkov, akimlenga John Bolton kwa kauli zake alizotamka siku chache zilizopita.

Kwa kuzingatia anachosema Sergey Ryabkov(Naibu waziri wa mambo ya nje wa Urusi), kwamba Marekani inalengo la kuidhofisha Siria na kutafuta sababu za kuung'oa serikali ya Siria, kwa mara nyingine tena tunashuhudia ukorofi mkubwa ndani ya Siria.

Mwezi wa nne mwaka huu Marekani, Ufaransa na Uingereza walianzisha kampeni ya kuishambulia Siria kwa mabomu. Mashambulizi ya anga yalifanyika kama kisasi kwa Siria kwa kile kinachodaiwa kufanyika kwa shambulizi la kemikali katika eneo la Douma tarehe 7/4/2018, ambapo miamba ya Magharibi ilimlaumu Bashar AL Assad na serikali yake.Kampeni hiyo ya kuishambulia Siria ilifanyika kipindi ambacho kikosi maalumu cha kimataifa kinachotambulika na Umoja wa Mataifa (Organisation For Prohibation of Chemical Weapons=OPCW) kikiwa njiani kuelekea kwenye eneo la tukio kwa ajiri ya uchunguzi.

Muda huo, Serikali/majeshi ya Siria yakihaha/yakitaabika kupangua makombora takribani 103 yaliyokuwa yamelenga maeneo ya kiraia na ya kijeshi ingawa waliweza kutungua kombora 71.Mpango huo ukitekelezwa na Mwamba wa Magharibi(Uingereza, Marekani na Ufaransa), Wizara ya ulinzi ya Urusi iliyasema hayo.

Terrorists readying chemical attack to frame Damascus & provide pretext for US strikes – Russian MoD

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja myadake hayo makombora yakirushwa toka baharini, ardhini, au angani...vya kudakia mnavyo mnalia lia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom