ZIMBABWE: Rais Mnagangwa amteua Jenereli Mstaafu Davis Mwamunyange katika tume ya tathmini ya uchaguzi uliopita

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Jenerali Mstaafu, Davis Mwamunyange achaguliwa katika orodha iliyoteuliwa na Rais wa nchi ya Zimbabwe, Emmerson Mnagangwa katika tume ya kufanya tathmini ya uchaguzi uliomalizika hivi karibuni

> Ghasia katika uchaguzi uliofanyika Julai 30 zilisababisha vifo vya watu

IMG_20180830_081154.jpg

IMG_20180830_081157.jpg

IMG_20180830_081159.jpg

======

Harare (AFP) - Zimbabwean President Emmerson Mnangagwa on Wednesday appointed former South African president Kgalema Motlanthe to lead an inquiry into post-election violence when the army opened fire and six people were killed.

The seven-member commission has been tasked with investigating events around anti-fraud protests on August 1 when the military used live rounds on the streets of the capital Harare.

The election was meant to relaunch the country and attract foreign investment after the end of Robert Mugabe's 37-year rule last year, but was marred by the army shooting and allegations of electoral fraud.

Mnangagwa, a former close ally of Mugabe, told reporters that the commission would "identify the actors and their leaders, their motive and strategies employed in the protests."

He said the commission would also investigate the "circumstances which necessitated the involvement of the military."
Mnangagwa, who narrowly won the July 30 election, has previously blamed the opposition Movement for Democratic Change (MDC) party for the violence.

The inquiry team includes Nigerian former Commonwealth secretary-general Emeka Anyaoku, British lawyer Rodney Dixon and Tanzanian former defence forces chief Davis Mwamunyange.

Three members of the commission are Zimbabwean, two university professors and a lawyer.
The team has six months to investigate and report back to Mnangagwa.

Source: Yahoo News
 
A waste of Monie! The list just next cover up ! All the member are ex gvt agents!
 
ninaimani mipango ya kumwondoa mugabe kwa amani tanzania imehusika japo kisirisiri sana sasa usiniulize imehusikaje ni imani fu.
Namimi nahisi kuna mkono wa Tanzania, ukiangalia movements za mnangagwa kabla na baada yakutolewa mgabe lazima uhisi kuna kitu.Pia tutegemee kuona utiifu mkubwa wa serikali ya Zimbabwe kwa Tanzania make inaonekana kuna mkono wake kuingia kwao madarakani.
 
waafrika ni wanafiki sisi kama mavi yaliyochacha,umbwaaah viongozi wa kiafrika.
 
Jenerali Mstaafu, Davis Mwamunyange achaguliwa katika orodha iliyoteuliwa na Rais wa nchi ya Zimbabwe, Emmerson Mnagangwa katika tume ya kufanya tathmini ya uchaguzi uliomalizika hivi karibuni

> Ghasia katika uchaguzi uliofanyika Julai 30 zilisababisha vifo vya watu

======

Harare (AFP) - Zimbabwean President Emmerson Mnangagwa on Wednesday appointed former South African president Kgalema Motlanthe to lead an inquiry into post-election violence when the army opened fire and six people were killed.

The seven-member commission has been tasked with investigating events around anti-fraud protests on August 1 when the military used live rounds on the streets of the capital Harare.

The election was meant to relaunch the country and attract foreign investment after the end of Robert Mugabe's 37-year rule last year, but was marred by the army shooting and allegations of electoral fraud.

Mnangagwa, a former close ally of Mugabe, told reporters that the commission would "identify the actors and their leaders, their motive and strategies employed in the protests."

He said the commission would also investigate the "circumstances which necessitated the involvement of the military."
Mnangagwa, who narrowly won the July 30 election, has previously blamed the opposition Movement for Democratic Change (MDC) party for the violence.

The inquiry team includes Nigerian former Commonwealth secretary-general Emeka Anyaoku, British lawyer Rodney Dixon and Tanzanian former defence forces chief Davis Mwamunyange.

Three members of the commission are Zimbabwean, two university professors and a lawyer.
The team has six months to investigate and report back to Mnangagwa.

Source: Yahoo News

I'm asking if the first member of the commission have ever been the President of RSA.
 
1535642289152.png

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnagangwa amteua Mkuu wa Majeshi wa Tanzania Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange katika Tume ya Kutathmini athari za ghasia zilizotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.

Jenerali Mwamunyange ambaye alikuwa mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa miaka 10 toka 2007 mpaka alipostaafu 2017 ndio mtu pekee katika tume hiyo mwenye ujuzi wa mambo ya kijeshi.

Mwanasheria kutoka Uingereza Rodney Dixon ambaye aliiwakilisha serikali ya Kenya katika kesi ya vurugu za baada ya uchaguzi wa 2007 katika mahakama ya ICC, The Heague ni moja ya wajumbe wa tume hiyo.

Mjumbe mwengine kutoka nje ya Zimbabwe ni katibu mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Madola Chifu Emeka Anyaoku kutoka Nigeria.

Kutoka ndani ya Zimbabwe wajumbe ni Profesa Charity Manyeruke na Profesa Lovemore Madhuku kutoka Chuo Kikuu cha Zimbabwe pamoja na Vimbai Nyemba ambaye ni rais wa zamani wa chama cha wanasheria wa Zimbabwe.

Ghasia katika uchaguzi uliofanyika Julai 30 zilisababisha vifo vya watu 6 na wengine wakiwa wamejeruhiwa.

1535642343680.png

1535642386812.png

1535642433843.png
 
It seems Mnangagwa is determined to make Zimbabwe real democratic, i hope what led to post election violence will not be repeated in the future, otherwise forming the commission of inquiry is futile if there is no real commitment to stop what happened.
 
Back
Top Bottom