International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mwanamama mashuhuri wa Rwanda ambaye pia ni kiboko ya Kagame Victorie Inghabire amedai kwamba msamaha wake wa kutoka gerezani haukutokana na Huruma ya Dikteta Kagame , bali ulitokana na shinikizo...
22 Reactions
41 Replies
5K Views
Marekani imeeleza nia yake ya kujadili mkataba na Iran ambao utahusisha makombora ya ballistika na programu ya nyuklia ya Iran, mwakilishi maalum wa Marekani Iran amesema Jumatano, kabla ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maelfu ya watu wameandamana katika mitaa ya mji mkuu wa Argentina, Buenos Aires kuelekea wizara ya nishati ya nchi hiyo kushinikiza gharama za nishati zipunguzwe. Waandamanaji hao wamesema...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nchi za Korea kuifanya rasi ya Korea kuwa eneo la Rais wa Marekani, Donald Trump ameunga mkono makubaliano yaliyofikiwa kati ya viongozi wawili wa Korea katika mkutano uliofanyika mjini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
The New Scramble for Africa by Professor PLO Lumumba The world scrambling for Africa's resources in 2018 and the consequences of this phenomena
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Waziri wa elimu ya msingi Angie Motshekga alitangaza Jumatatu kuwa Kiswahili kimekubaliwa kuwa lugha ya pili ambayo itatolewa na kufundishwa kwa wanafunzi katika shule za Afrika Kusini...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Wana mazengo.... Kumeshuhudiwa kila uchao mikwaruzano kati ya marekani na nchi nyingi na kuzidi kupindukia kiwango Tumeona washngton akiwapiga ushuru ulaya, Tumeona marekani akitaka kuharibu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jeshi la anga la syria limetungua ndege ya urusi iliokuwa na wanajeshi 15 ndani yake, hayo yametokea wakati syria ilikuwa inajaribu kuzinlenga ndege nne za israeli aina ya F-16 zilizokuwa...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Yusaku Maezawa Yusaku Maezawa ambaye ni mfanyabiashara na mwendesha shughuli za mitindo, atakuwa abiria wa kwanza kwenda kwenye mwezi. Mtu huyo ambaye ana utajiri wa Dola bilioni 3 (Sh. trilioni...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu, Mahakama Kuu nchini South Afrika imeruhusu matumizi ya bangi kwa mtu binafsi. Mahakama hiyo imesema ni kinyume cha katiba ya nchi kuwakataza watu binafsi kutumia bangi, na kuagiza Bunge la...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Mobutu ni mzuri kwao kuliko Kabila? Wana ajenda gani?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Marekani kuongeza wanajeshi wake Poland Rais Donald Trump wa Marekani amesema anafikiria kuongeza idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo walioko Poland baada ya rais wa Poland Andrzej ( AND ZEI) Duda...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni baada ya kuona faida zinapungua kila mwaka ilhali makampuni ya pombe wanaendelea kutanua. Sasa wanafanya utafiti wa jinsi ya kutengeneza kinywaji hicho, haswa ikizingatiwa kuna nchi ambazo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
NATO yapeleka manowari za kijeshi katika fukwe za Syria Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepeleka manowari kadhaa katika fukwe za Syria, suala ambalo ni ishara ya wazi ya uungaji...
4 Reactions
54 Replies
7K Views
Alleged Israeli strike said to target Iranian weapons delivery in Damascus
3 Reactions
89 Replies
10K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Rais wa Malawi leo akiwa njiani kurejea Ikulu alijikuta akiomba msafara wake usimame ili awahi ' Kichakani ' akakojoe hali ambayo iliweza kuleta ' usumbufu '...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Asubuhi waliamua kuwa Lugha ' adhimu ' ya Kiswahili ianze kutumika nchini Kwao katika Taasisi za Kielimu japo itakuwa ni ' optional ' na siyo ' compulsory '. Tukadhani wamemaliza ili tuendelee na...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Raisi wa nchini Malawi Bingu Mutharika asababisha foleni kubwa baada ya msafara wake kusimama ili kumuwezesha kwenda kukojoa.
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Investigations Vladimir Putin: The New World Order Worships Satan “So, you want to worship Satan? By all means, but leave Russia out of it. Rest assured that I will be your worst nightmare. You...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
China Shuts Down Christian Churches, Destroys Crosses, Burn Bibles BEIJING - China's government is ratcheting up a crackdown on Christian congregations in Beijing and several provinces...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Back
Top Bottom