Hivi waAfrika nani aliyeturoga( Tazama hii)

Adolf Hitler Jr

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
340
262
Raisi wa nchini Malawi Bingu Mutharika asababisha foleni kubwa baada ya msafara wake kusimama ili kumuwezesha kwenda kukojoa.

20180918_113701.png
 
Bingu wa mutharika si ni RIP. Alafu foleni.hiyo iko wapi? Naona magari yote kama ya msafara. All in All ulinzi ni kama tumerogwa .viongozi wanatakiwa kufanya.wananchi ndio walinzi wao wakuu.
 
Hauwezi kuona Foleni Mkuu sababu hakuna Gari za Raia zinazo ruhusiwa kuwa karibu na Msafara huo wa Viongozi.
 
Bingu wa mutharika si ni RIP. Alafu foleni.hiyo iko wapi? Naona magari yote kama ya msafara. All in All ulinzi ni kama tumerogwa .viongozi wanatakiwa kufanya.wananchi ndio walinzi wao wakuu.
Wanajitangaza wenyewe kinyume na matakwa ya wapiga kura wataachaje kujiwekea ulinzi mkali zaidi ya papa...
 
Back
Top Bottom