China Shuts Down Christian Churches, Destroys Crosses, Burn Bibles

Neter

JF-Expert Member
Dec 30, 2011
698
1,115
China Shuts Down Christian Churches, Destroys Crosses, Burn Bibles

BEIJING - China's government is ratcheting up a crackdown on Christian congregations in Beijing and several provinces, destroying crosses, burning bibles, shutting churches and ordering followers to sign papers renouncing their faith, according to pastors and a group that monitors religion in China.

The campaign corresponds with a drive to "Sinicize" religion by demanding loyalty to the officially atheist Communist Party and eliminating any challenge to its power over people's lives.

Bob Fu of the U.S.-based group China Aid said over the weekend that the closure of churches in central Henan province and a prominent house church in Beijing in recent weeks represents a "significant escalation" of the crackdown.

"The international community should be alarmed and outraged for this blatant violation of freedom of religion and belief," he wrote in an email.

Under President Xi Jinping, China's most powerful leader since Mao Zedong, religious believers are seeing their freedoms shrink dramatically even as the country undergoes a religious revival. Experts and activists say that as he consolidates his power, Xi is waging the most severe systematic suppression of Christianity in the country since religious freedom was written into the Chinese constitution in 1982.

Fu also provided video footage of what appeared to be piles of burning bibles and forms stating that the signatories had renounced their Christian faith. He said that marked the first time since Mao's radical 1966-1976 Cultural Revolution that Christians had been compelled to make such declarations, under pain of expulsion from school and the loss of welfare benefits.

A Christian pastor in the Henan city of Nanyang said crosses, bibles and furniture were burned during a raid on his church on Sept. 5.

The pastor, who asked not to be identified by name to avoid repercussions from authorities, said several people entered the church just as it opened its doors at 5 a.m. and began removing items.

He said the church had been in discussions with local authorities who demanded it "reform" itself, but no agreement had been reached or official documents released.

Chinese law requires religious believers to worship only in congregations registered with the authorities, but many millions belong to so-called underground or house churches that defy government restrictions.

A local official reached by phone at the Nanyang city government disputed the account, saying officials respected religious freedom. The man declined to give his name, as is common with Chinese bureaucrats, while a person answering phones at the local religious affairs bureau said they were "not clear" about the matter.

In Beijing, the Zion church was shut on Sunday by around 60 government workers who arrived at 4:30 p.m. accompanied by buses, police cars and fire trucks, the church's pastor, Ezra Jin Mingri, said Monday. Zion is known as the largest house church in Beijing, with six branches.

The officials declared the gatherings illegal and sealed off church properties, Jin said, after already freezing the pastor's personal assets in an apparent attempt to force him to comply with their demands.

"Churches will continue to develop. Blocking the sites will only intensify conflicts," Jin told The Associated Press by phone.

A notice posted Sunday on the website of the Chaoyang district government in Beijing said the Zion Church had been closed because it failed to register with the government.

All of China's officially recognized religions appear to have been affected by the crackdown. In the most extreme example, an estimated 1 million Uighurs and other members of Muslim minority groups in the country's northwest have been arbitrarily detained in indoctrination camps where they are forced to denounce Islam and profess loyalty to the Communist Party.

The government says it is taking necessary measures to eliminate extremism, but denies setting up the camps.

China has an estimated 38 million Protestants, and experts have predicted that the country will have the world's largest Christian population in a few decades.

Source: Group: Officials destroying crosses, burning bibles in China
 
6 Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado.
Mathayo 24 :6

7 Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali.
Mathayo 24 :7

8 Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.
Mathayo 24 :8

9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
Mathayo 24 :9

10 Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana.
Mathayo 24 :10
 
chinacrosses_hdv.jpg
china religion.png
13china-megachurch-2-master675.jpg
chin church.png
13china-megachurch-3-blog427.jpg
china-church-cross-removal.jpg
 
Christianity imejaa ma spies wa CIA, Scotland yard, FBI nk Usalama wa China unakua threatened, naukuaji wa makinisa katika aridhi yao, kwanini Islam inakua the fastest growing religion ni China na wa china wako kimya kwasababu sio threat kwao economically na security wise.
 
Wawatimulie mbali majahili hao - washenzi kweli na wanapo ona China inakuja juu kiuchumi na kijeshi basi wanabuni mbinu za kuchochea colour revolution kwa kupitia NGO mshenzi na taasisi za kidini,wanataka ya Ukraine yakirudie nchini Uchina - taasisi za kijasusi za Marekani na Uingereza ni watu hatari sana kwa amani ya Dunia wako self centered kweli kweli,wanajifanya wao ndio wenye hata miliki ya kuhamua nani wa kukaa madarakani katika kila Taifa hapa Duniani ili wawalindie maslahi yao.

Mataifa yenye uwezo kijeshi kama China, Urusi,India, Iran,Korea Kasikazini na Ituruki zinapaswa kuwa na jeshi la pamoja kukomesha ufedhuli wa Nchi za magharibi specifically Amerika na Uingereza - leo hii kwa mfano nasikia waasi wa Syria wamekwisha pewa Chlorine gas na Uingereza ikishirikiana na Marekani wamekwisha wapata waigizaji watakao jifanya wamekufa kutokana na mabomu ya sumu yaliyo lipuliwa na jeshi la Asaad - wamewaketa wapiga picha wa MSM wakiongozwa na CNN video zitasambazwa kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuonyesha ukatiri wa Asaad,lengo la maagizo yote haya ni kutafuta visingizio vya ndege na makombola ya US,Ufaransa na Uingereza kushambulia majeshi ya Syria nia yao no kutaka kudhoofisha jeshi LA Assad ili waweze kumuondoa madarakani - hata akili za kuona kwamba ushezi wao wa kutaka kuvamia Syria unaweza kufumua WW3 - akili hizo hawana - majivuno tu na kujisikia, hawajui kwamba Mataifa mengi yenye uwezo kijeshi wana usongo nao ili wawakomeshe. - NATO wakiongozwa na kinara wao (USA) wakifanya miscalculation wakashambulia Airbases za jeshi la Urusi nchini Syria wata tandikwa kweli kweli ndege zao kutunguliwa vile vile meli zitakazo husika kurusha Cruise missiles zitazamishwa ili kushikishwa adabu; Warusi si binadamu wa kuchezea no wakimya lakini wanapo sema enough is enough utaona matokea take,ukweli ndio huo - NATO/US wakijitia kutumia silaha za nuklia na wao Mataifa yao yatangamizwa.

Back to the main point kuhusu Uchina na Makanisa - we angalia mleta taarifa hizo anajifanya kutumia jina la kichina kuzuga watu akili! Mleta habari hizo anakili kwamba kumbe yuko based in the USA/makazi yake - taasisi inayo let's propaganda zote hizo makao yake ni huko huko Matekani - hii inaleta picha gani, na akiangalia kwa umakini picha zinaonekana ziko digitally manipulated/photoshopped kuanzia misalaba ilivyo kaa kaa,magari ya kubomolea majengo hivi Wachina wanawezaje kutumia tingatinga la JBC linalo undwa Uingereza wakati Wachina wana ya kwao kibao - njia ya muongo ni fupi sana - hata hilo awakuliona which means picha hizo zimepigwa huko Uingereza au Marekani kuongeza chumvi kwenye propaganda zao. Sikatai kwamba Uchina ina angalia kwa umakini mkubwa sana nyenendo za taasisi za kidini has a za kikikristo for a good reason mentioned above namely usala was Taifa lao - lakini hili la taasisi ya Kimerikani kutujia hapa na picha zenye walakini mkubwa kiufundi zinatia shaka sana - my opinion.
 
Wawatimulie mbali majahili hao - washenzi kweli na wanapo ona China inakuja juu kiuchumi na kijeshi basis wanatafuta mbinu za kuanzisha colour revolution kwa kupitia NGO mshenzi na taasisi za kidini,wanataka ya Ukraine yakirudie nchini Uchina - taasisi za kijasusi za Marekani na Uingereza ni watu hatari sana kwa amani ya Dunia wako self centered kweli kweli,wanajifanya wao ndio wenye hata miliki ya kuhamua nani wa kukaa madarakani katika kila Taifa hapa Duniani ili wawalindie maslahi yao - Mataifa yenye uwezo kijeshi kama China, Urusi,India, Iran,Korea Kasikazini no zinapaswa kuwa na jeshi LA pamoja kukomesha ufedhuli was Nchi za magharibi specifically Amerika na Uingereza - leo hii kwa mfano nasikia waasi wa Syria wamekwisha pewa Chlorine gas na Uingereza ikishirikiana na Narekani ili wapate kisingizio cha kushambulia majeshi ya Syria nia yako no kutaka kudhoofisha jeshi LA Assad ili waweze kumuondoa madarakani - hata akili za kuona kwamba ushezi wao wa kutaka kuvamia Syria unaweza kufumua WW3 - akili hizo hawana - majivuno tu na kujisikia, hawajui kwamba Nataifa mengi yenye uwezo kijeshi wana usongo nao - NATO wakiongozwa na kinara wao (USA) wanaweza kutandikwa kweli kweli na kushikishwa adabu - wakijitia kutumia silaha za nuklia na wao Mataifa yao yatangamizwa.

Back to the main point kuhusu Uchina na Makanisa - we angalia mleta taarifa hizo anajifanya kutumia jina la kichina kuzuga watu akili! Mleta habari hizo anakili kwamba kumbe yuko based in the USA/makazi yake - taasisi inayo let's propaganda zote hizo makao yake ni huko huko Matekani - hii inaleta picha gani, na akiangalia kwa umakini picha zinaonekana ziko digitally manipulated/photoshopped kuanzia misalaba ilivyo kaa kaa,magari ya kubomolea majengo hivi Wachina wanawezaje kutumia tingatinga la JBC linalo undwa Uingereza wakati Wachina wana ya kwao kibao - njia ya muongo ni fupi sana - hata hilo awakuliona which means picha hizo zimepigwa huko Uingereza au Marekani kuongeza chumvi kwenye propaganda zao. Sikatai kwamba Uchina ina angalia kwa umakini mkubwa sana nyenendo za taasisi za kidini has a za kikikristo for a good reason mentioned above namely usala was Taifa lao - lakini hili la taasisi ya Kimerikani kutujia hapa na picha zenye walakini mkubwa kiufundi zinatia shaka sana - my opinion.
Kweli umenifumbua macho hizo ni Photoshop generated, angalia ule moto unatokea juu kushuka chini impossible
 
Wawatimulie mbali majahili hao - washenzi kweli na wanapo ona China inakuja juu kiuchumi na kijeshi basi wanabuni mbinu za kuchochea colour revolution kwa kupitia NGO mshenzi na taasisi za kidini,wanataka ya Ukraine yakirudie nchini Uchina - taasisi za kijasusi za Marekani na Uingereza ni watu hatari sana kwa amani ya Dunia wako self centered kweli kweli,wanajifanya wao ndio wenye hata miliki ya kuhamua nani wa kukaa madarakani katika kila Taifa hapa Duniani ili wawalindie maslahi yao.

Mataifa yenye uwezo kijeshi kama China, Urusi,India, Iran,Korea Kasikazini na Ituruki zinapaswa kuwa na jeshi la pamoja kukomesha ufedhuli wa Nchi za magharibi specifically Amerika na Uingereza - leo hii kwa mfano nasikia waasi wa Syria wamekwisha pewa Chlorine gas na Uingereza ikishirikiana na Marekani wamekwisha wapata waigizaji watakao jifanya wamekufa kutokana na mabomu ya sumu yaliyo lipuliwa na jeshi la Asaad - wamewaketa wapiga picha wa MSM wakiongozwa na CNN video zitasambazwa kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuonyesha ukatiri wa Asaad,lengo la maagizo yote haya ni kutafuta visingizio vya ndege na makombola ya US,Ufaransa na Uingereza kushambulia majeshi ya Syria nia yao no kutaka kudhoofisha jeshi LA Assad ili waweze kumuondoa madarakani - hata akili za kuona kwamba ushezi wao wa kutaka kuvamia Syria unaweza kufumua WW3 - akili hizo hawana - majivuno tu na kujisikia, hawajui kwamba Mataifa mengi yenye uwezo kijeshi wana usongo nao ili wawakomeshe. - NATO wakiongozwa na kinara wao (USA) wakifanya miscalculation wakashambulia Airbases za jeshi la Urusi nchini Syria wata tandikwa kweli kweli ndege zao kutunguliwa vile vile meli zitakazo husika kurusha Cruise missiles zitazamishwa ili kushikishwa adabu; Warusi si binadamu wa kuchezea no wakimya lakini wanapo sema enough is enough utaona matokea take,ukweli ndio huo - NATO/US wakijitia kutumia silaha za nuklia na wao Mataifa yao yatangamizwa.

Back to the main point kuhusu Uchina na Makanisa - we angalia mleta taarifa hizo anajifanya kutumia jina la kichina kuzuga watu akili! Mleta habari hizo anakili kwamba kumbe yuko based in the USA/makazi yake - taasisi inayo let's propaganda zote hizo makao yake ni huko huko Matekani - hii inaleta picha gani, na akiangalia kwa umakini picha zinaonekana ziko digitally manipulated/photoshopped kuanzia misalaba ilivyo kaa kaa,magari ya kubomolea majengo hivi Wachina wanawezaje kutumia tingatinga la JBC linalo undwa Uingereza wakati Wachina wana ya kwao kibao - njia ya muongo ni fupi sana - hata hilo awakuliona which means picha hizo zimepigwa huko Uingereza au Marekani kuongeza chumvi kwenye propaganda zao. Sikatai kwamba Uchina ina angalia kwa umakini mkubwa sana nyenendo za taasisi za kidini has a za kikikristo for a good reason mentioned above namely usala was Taifa lao - lakini hili la taasisi ya Kimerikani kutujia hapa na picha zenye walakini mkubwa kiufundi zinatia shaka sana - my opinion.
Sipendi nikukosee heshima, lakini naweza kusema kuwa umeji-expose na kuonyesha ni jinsi gani ulivyo na uhaba wa maarifa. Sioni kama umeambatanisha evidence just to support your condemnation. Chuki dhidi ya USA/UK imekufanya kipofu and can't even use your brain to think..C'mon brother! In nutshell, the common enemy wa NCHI za ULAYA NA MAREKANI ni CHINA na RUSSIA. Kila mmoja anataka kushinda, hata kama kwa faulo. Dunia imebadirika sana and only those strong will survive this. kuna hujuma, vitisho vya kiusalama, ugaidi etc na vyote hivi vikimlenga MAREKANI. Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Nini Kifanyike
Instead of bragging and cursing the unafflicted, kama waafrika haitusaidii. tufanye kazi kwa bidii na tujenge taifa la Tanzania.
 
Bila marekani hii dunia ingelikua salama sana usjitoe ufahamu, MBWA MAREKANI ANA DAMU ZA MAMILIONI YA WATU, ANAWAGAWA WATU KIDINI, KISIASA NK, ANATENGENEZA MIGAWANYIKO DUNIANI CHUKI, ANATENGENEZA VIKUNDI NA KUVIPA SILAHA, NA KUVIFADHILI KWA HELA NYINGI SANA, ANGALIA IRAQ, LIBYA,AFGHAN NK hahahahhahaa nafkiri umeathiriwa na umagharibi, alaf kwa nn mnakuawaga waongo kiasi ambacho mambo yako wazi, UCHAFU UCHAFU UCHAFU UCHAFU.....
 
alijisababibishia na mimi ni mmoja wa wasiompenda,dini ni mavi ya kizungu yanukayo kila sehemu.dini ni upuuzi mtupu tena ningependa mchina awaue kabisa kama anaweza japo wote ni wale wale tu.ila waliopo itabidi waishiwe nguvuna wengine waje fitina zianze tena.wazungu ni wabaya sana ila waamerica wamezidi mkuu.
 
Christianity imejaa ma spies wa CIA, Scotland yard, FBI nk Usalama wa China unakua threatened, naukuaji wa makinisa katika aridhi yao, kwanini Islam inakua the fastest growing religion ni China na wa china wako kimya kwasababu sio threat kwao economically na security wise.
sio kweli bro china mapak now imewaweka kizuizini zaidi ya waislam mil1

Tatizo la haya manchi ya kijamaa ni moja tuu,yanaamini katika mawazo ya watu wachache so hawa watu wachache wanapata shida sana kushikilia hayo madaraka yao.Point yako ni sahihi kuwa ujasusi sahivi unaingia kwa njia nyingi na kwa china wameona simple way ni kutumia dini kama ilivyokuwa kwetu Afrika.Shida inakuja hapo kwenye kuchoma makanisa na kufanya watu wakane imani zao kwasababu kikundi cha watu wachache wanataka kulinda madaraka yao.Nahisi hii ndio itakua njia nyepesi ya mabepari kuanzisha chokochoko ndani ya China kwa kuvizamini vikundi kwa watu wachache waliochoka kuendeshwa na kikundi cha watu wachache wanaoamini katika akili za watu wachache
 
Bila marekani hii dunia ingelikua salama sana usjitoe ufahamu, MBWA MAREKANI ANA DAMU ZA MAMILIONI YA WATU, ANAWAGAWA WATU KIDINI, KISIASA NK, ANATENGENEZA MIGAWANYIKO DUNIANI CHUKI, ANATENGENEZA VIKUNDI NA KUVIPA SILAHA, NA KUVIFADHILI KWA HELA NYINGI SANA, ANGALIA IRAQ, LIBYA,AFGHAN NK hahahahhahaa nafkiri umeathiriwa na umagharibi, alaf kwa nn mnakuawaga waongo kiasi ambacho mambo yako wazi, UCHAFU UCHAFU UCHAFU UCHAFU.....
Bro ukisema hivyo utakua unakosea.Kama kigezo unachotumia ni kututawala waafrika bhasi unakosea sana,binafsi niseme kwa kifupi tuu kwamba sisi waafrika hatujitambui na siku tutakayojitambua tutaondokana na huu utumwa uliopo kichwani mwetu,Usiniambie kuwa leo mchina atakua na maana kwetu usiniambie mzungu hakua na maana na hatakua na maana kwetu sio kweli kabisa.Kwa kifupi tunamhitaji mzungu pamoja na mchina ila tunazihitaji akili zetu zaidi ya hao watu means tunavyoenda kwao twende na akili zetu zaidi ya kuwapa akili zetu

1.Tunamhitaji mzungu au mchina atupe technology.Hapa hatuhitaji kelele wala majadiliano bali tunahitaji watu ambao wako ladhi kuijenga Afrika bora.

2.Tunamhitaji sana mzungu kuliko mchina kupitia masoko yetu.Nikupe mfno mdogo tuu sisi leo tunaweza kulima matunda na mboga mboga na tukaimport ulaya and amerika lakini hatuwezi kuimport chochote nchi ya china coz wamejitosheleza kwenye swala la chakula.

3.Tunamhitaji zaidi mzungu kwnye technologia kubwa kuliko coz mchina kaendelea lakini sio kama mzungu alivyo mbali kitechnologia.

4.Mchina ni mnyonyaji tena unyonyaji wake ni wakipumbavu kuliko hata ule utumwa wa kiarabu leo mchina anadhulumu haki ya Wazambia kwaajili ya tamaa ya viongozi wachache waliokopa kwaajili ya matumbo yao,nenda Srilanka mchina kachukua bandari kwa zaidi ya miaka 80 ili kufidia madeni anyoidai,Lakini mzungu atakwambia kiasi ulichofikia huwezi kukopesheka mfn Ugiriki alifikia hatua hiyo na akasaidiwa na sahivi anauguza majeraha ya mwisho mwisho.

UJINGA WA KIAFRIKA NI KUAMINI KWAMBA KUNA WATU/NCHI ZINAPASWA KUTUSAIDIA BADALA YASISI WENYWE KUKAZA MSULI NA KUFANYA KAZI,SAHIVI TUNAMFURAHIA MKOLONI MPYA AFRIKA MCHINA,ni swala la muda tuu huyu mchina mnaemsifu leo mtakuja kumtukana zaidi ya huyo Mmarekani mnaemwona hafai
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom