Wakatoliki wa DRC walikuwepo wakati wa Mobutu?

Wakatoliki wa DRC walikuwepo wakati wa Mobutu?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,325
Reaction score
17,584
Mobutu ni mzuri kwao kuliko Kabila?

Wana ajenda gani?
 
Hapana kuna wakubwa wamekutana jikoni kuliko na ulaji sasa hapo ili wale msosi bila wa nje kujua jikoni kuna wezi wa chakula anatumwa mmoja kawavuruge wa nje ili tupakue chakula kwa uhuru wakija sisi tumeshaondoka wabaki kushikana wao kwa wao halafu tutarudi kwa njia nyingine kuwapatanisha
 
Mobutu ni mzuri kwao kuliko Kabila?

Wana ajenda gani?
Walikuepo ila mobutu aliwafunga ma padre au wachungaji waliobatiza watoto kwa majina ya ki kristo. Au kikatoliki
Hivo hawakua na uhusiano nae vizuri kuna kipindi mpaka vatcan iliingilia kati,mobutu alifanya jambo moja sjui aliyafunga makanisa
 
Mobutu alijitangaza yeye ni mpagani na jina la Joseph aliliacha. Akiwa anafanya mtihani wa sawa na kidato cha nne alitoroka shule ya seminary kwenda kumuona le mbebiz wake. Wakati anarudi alikamatwa na mapadre na adhabu yake iliamuriwa asiende kidato cha tano hata matokeo yake yakiwa mazuri vipi aende jeshini akajifunze nidhamu.
 
Back
Top Bottom