Kumekucha:NATO yapeleka manowari za kijeshi katika fukwe za Syria

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,869
NATO yapeleka manowari za kijeshi katika fukwe za Syria

Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepeleka manowari kadhaa katika fukwe za Syria, suala ambalo ni ishara ya wazi ya uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa magaidi wanaofanya jinai na mauaji dhidi ya raia na maafisa wa serikali ya Syria.
Shirika la habari la Interfax limetangaza leo kuwa, manowari za kivita za NATO zimeonekana zikipiga doria katika maji ya karibu na Syria katika bahari ya Mediterranean Mashariki.
Manowari ya kivita ya Canada inayojulikana kwa jina la Vail De Deck, manuwari ya kushambulia kwa makombora inayojulikana kwa jina la De Reiter na manowari ya Elli ya Ugiriki ni mionogni mwa manowari za kijeshi zilizotumwa katika fukwe za Syria.
Shirika hilo limeongeza kuwa, manowari za kivita za Marekani zilizoko katika Bahari ya Mediterranean zimejiweka tayari kwa mashambulizi ya wakati wowote dhidi ya Syria.
Marekani na waitifaki wake mara kwa mara wamekuwa wakitishia kuivamia na kuishambulia kijeshi Syria, hasa baada ya kushindwa njama zao za kutumia magenge ya kikatili na kigaidi kufanya jinai kubwa ndani ya Syria.
Njama kubwa inayotumiwa na nchi za Magharibi kuhalalisha mashambulizi yao dhidi ya Syria ni eti kutumia jeshi la nchi hiyo silaha za kemikali katika vita vyake vya kupambana na magaidi.
Hivi sasa Syria inajiandaa kuukomboa mkoa wa Idlib wa kaskazini mwa nchi hiyo ikiwa ndiyo ngome ya mwisho ya magaidi, lakini nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani zinafanya hila za kila namna kuzuia ukombozi wa mkoa huo licha ya kwamba zenyewe nchi za Magharibi zinakiri kuwa kundi kubwa la magaidi limejikusanya Idlib hivi sasa.
My take: kuna taarifa kuwa urusi itashiriki direct kupitia jeshi lake pamoja na jeshi la syria kuikomboa idlib hivyo nato wakishambulia idlib wanaweza kushambulia wanajeshi wa urusi na kuzusha vita mpya ya dunia
4bpt4cc2d63c1919aio_800C450.jpg
 
NATO yapeleka manowari za kijeshi katika fukwe za Syria

Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepeleka manowari kadhaa katika fukwe za Syria, suala ambalo ni ishara ya wazi ya uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa magaidi wanaofanya jinai na mauaji dhidi ya raia na maafisa wa serikali ya Syria.
Shirika la habari la Interfax limetangaza leo kuwa, manowari za kivita za NATO zimeonekana zikipiga doria katika maji ya karibu na Syria katika bahari ya Mediterranean Mashariki.
Manowari ya kivita ya Canada inayojulikana kwa jina la Vail De Deck, manuwari ya kushambulia kwa makombora inayojulikana kwa jina la De Reiter na manowari ya Elli ya Ugiriki ni mionogni mwa manowari za kijeshi zilizotumwa katika fukwe za Syria.
Shirika hilo limeongeza kuwa, manowari za kivita za Marekani zilizoko katika Bahari ya Mediterranean zimejiweka tayari kwa mashambulizi ya wakati wowote dhidi ya Syria.
Marekani na waitifaki wake mara kwa mara wamekuwa wakitishia kuivamia na kuishambulia kijeshi Syria, hasa baada ya kushindwa njama zao za kutumia magenge ya kikatili na kigaidi kufanya jinai kubwa ndani ya Syria.
Njama kubwa inayotumiwa na nchi za Magharibi kuhalalisha mashambulizi yao dhidi ya Syria ni eti kutumia jeshi la nchi hiyo silaha za kemikali katika vita vyake vya kupambana na magaidi.
Hivi sasa Syria inajiandaa kuukomboa mkoa wa Idlib wa kaskazini mwa nchi hiyo ikiwa ndiyo ngome ya mwisho ya magaidi, lakini nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani zinafanya hila za kila namna kuzuia ukombozi wa mkoa huo licha ya kwamba zenyewe nchi za Magharibi zinakiri kuwa kundi kubwa la magaidi limejikusanya Idlib hivi sasa.
My take: kuna taarifa kuwa urusi itashiriki direct kupitia jeshi lake pamoja na jeshi la syria kuikomboa idlib hivyo nato wakishambulia idlib wanaweza kushambulia wanajeshi wa urusi na kuzusha vita mpya ya duniaView attachment 869372
Haya tumekusikia
 
Hizo haziendi Jerusalem zinaenda syria mkuu.Ivi assad akiachia madaraka anadhani hakuna mtu anayestahili kuongoza syria zaid yake yeye tu au ndo kaamua tu kwa sababu kaamua!
Hujanielewa.namaanisha biblia I unabii kwamba lazima mataifa yanayozunguka Jerusalem (nchi za kiarabu na mashariki ya kati) lazima Vita zichezwe.angalia Syria,Iran nk
 
Umeipata hii habari kwenye radio ya Iran nn?
 
Hujanielewa.namaanisha biblia I unabii kwamba lazima mataifa yanayozunguka Jerusalem (nchi za kiarabu na mashariki ya kati) lazima Vita zichezwe.angalia Syria,Iran nk
hujaielewa hiyo aya ya kwenye biblia yako.
 
Dikteta Asad alambishwe mchanga. Dunia ya leo udikteta na kuua raia wasio na hatia hauwezi kufumbiwa macho na mataifa makubwa kama US
Wewe ni punguani kabisa,hivi hassad kafanya udicteta upi pale?? Kaanziwa chokochoko zaidi ya miaka nane sasa wenzie tayari washa kufa kina saddam na gadafi,haya angalieni maish ya walibya yalivyo sahv,alafu kichwa maji unakuja kumlaumu mtu anaye tetea nchi yake??
 
Hizo haziendi Jerusalem zinaenda syria mkuu.Ivi assad akiachia madaraka anadhani hakuna mtu anayestahili kuongoza syria zaid yake yeye tu au ndo kaamua tu kwa sababu kaamua!
Hiyo nchi Marekani anataka kuweka kibaraka wake. Watu(Makundi anayoyaunga mkono) ni Hayat Tahrir Al Sham na Al Nusra Front ndani ya mji wa IDLIB ambayo yanauhusiano mkubwa na kundi la kigaidi kongwe kwa jina ni AL-QAEDA.

1: Kuanguka kwa Bashar AL Assad tafsiri yake ni kwamba kibaraka wa Marekani na Al QAEDA watawale Siria.

Kumbuka Al QAEDA alichokifanya Marekani September 11th, 2001.Leo hi Marekani anaungana na Al QAEDA wanafanya harakati za pamoja kumuungasha Bashar AL Assad. My friend i feel so pity for your innocent soul for failing to understand DERIVATION MATHEMATICS.
 
Let us see and wait!
 
Hizo haziendi Jerusalem zinaenda syria mkuu.Ivi assad akiachia madaraka anadhani hakuna mtu anayestahili kuongoza syria zaid yake yeye tu au ndo kaamua tu kwa sababu kaamua!
Gadafi alivyouawa ni nani ameweza kuisimamia libya.tumia akili
 
Wewe ni punguani kabisa,hivi hassad kafanya udicteta upi pale?? Kaanziwa chokochoko zaidi ya miaka nane sasa wenzie tayari washa kufa kina saddam na gadafi,haya angalieni maish ya walibya yalivyo sahv,alafu kichwa maji unakuja kumlaumu mtu anaye tetea nchi yake??
madikteta wote kiama chao kinakuja
 
Back
Top Bottom