Kiswahili gets minister's stamp to be taught in SA schools

Kiswahili gets minister's stamp to be taught in SA schools

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Waziri wa elimu ya msingi Angie Motshekga alitangaza Jumatatu kuwa Kiswahili kimekubaliwa kuwa lugha ya pili ambayo itatolewa na kufundishwa kwa wanafunzi katika shule za Afrika Kusini. Kitafundishwa katika shule za umma, za binafsi na za kujitegemea.

"Ilikubaliwa na Baraza la Mawaziri wa Elimu (CEM). Kwa sasa kuna lugha 15 ambazo sio rasmi zilizoorodheshwa kwenye mtaala wa taifa kama masomo ya hiari" alisema Motshekga. Lugha hizo ni pamoja na Kifaransa, Kijerumani na Mandarin. Kwa bahati mbaya hakuna lugha ya Kiafrika katika orodha hiyo ya lugha. Kiswahili ni lugha ya kibantu yenye ufanano kubwa wa kisarufi na lugha nyingi za Kiafrika zinazozungumzwa barani Afrika".

===================================
Basic education minister Angie Motshekga announced on Monday that Kiswahili has been approved as the second language that will be offered to learners in South African schools. It will be offered at public, private and independent schools.

“This was approved by the Council of Education Ministers (CEM). There are currently 15 nonofficial languages listed in the national curriculum statement as optional subjects," said Motshekga. These include French, German and Mandarin. There is unfortunately no African language in the list of languages. Kiswahili is a bantu language with lexical and linguistic similarities with many African languages spoken in the continent.”

She said Kiswahili is the third most spoken language in Africa after English and Arabic. “Kiswahili has the power to expand to countries that never spoke it and has the power to bring Africans together. It is also one of the officials languages of the African Union. We are confident that the teaching of Kiswahili is South African schools will help to promote social cohesion with our fellow Africans.
The implementation of languages will start in 2020.

Another curriculum addition is that of Marine Sciences which was also approved by CEM. The department has been working with the Two oceans Aquarium to develop a Maritime Sciences curriculum from 2017. The draft curriculum was submitted to Umalusi for evaluation in March.

"We are also working on introducing coding as a subject in our schools. Coding is unique in the way it brings all diverse skills together and this is one of the big advantages of teaching pupils to code,” Motshekga said.
 
Afadhali mtoto akija TZ kwa baba atajua hata cha kuombea maji, nilikua nawaza namna ya kumuelekeza[emoji41]
 
IMG_8540.JPG

Waziri wa Elimu Msingi, SA, Angie Motshekgo.

Baraza la Mawaziri wa Elimu (CEM) nchini Afrika Kusini limebariki jana kutumika kwa Kiswahili kama lugha ya pili kwa wanafunzi katika shule zote za umma, binafsi na huria. Waziri wa Elimu Msingi, Angie Motshekga alisema kuwa, kwa sasa nchini humo kuna lugha 15 zisizo rasmi zinazofundishwa kama optional, zikiwemo: kifaransa, kijerumani na Mandarin lakini kwa bahati mbaya hakuna lugha yoyote ya kiafrika.
Waziri huyo alisema kuwa, Kiswahili ni lugha ya kibantu inayofanana na lugha nyingi za kibantu barani Afrika na ndiyo ya tatu kwa kuwa na wazungumzaji wengi. Alisema wananchi matumaini lugha hiyo italeta mshikamano na Waafrika wenzao.
Waziri alieleza kuwa, wanatarajia kuanza kufundisha lugha hiyo mwaka 2020.
IMG_8541.JPG


IMG_8538.JPG


Wazee wa fursa hasa walimu hiyo ni nafasi pekee ya kuitumia kupata kazi nchini South Africa. Tunaiasa Serikali kutengeneza mazingira mapema ya kuchukua fursa za nafasi za walimu. Hatutaki kuona tena yakijitokea kama miaka ya zamani ambako Vyuo na shule nyingi za nje zimekuwa zikichukua walimu kutoka Kenya badala ya Tanzania. Kwa kuwa SA wanaongea kiingereza, ni vyema Serikali ianze sasa kuandaa walimu wa Kiswahili wenye uwezo wa kuongea pia kiingereza ili waweze kuendana na mazingira ya huko.
Fursa zinatafutwa, tusikae tu na kudhani SA watakuja kutuuliza. Tuanze kuzifuatilia serikalini mwao. Balozi wa Tanzania, tutakupima kwa namna utakavyolishughulikia suala hili. Hatutaki tena kuona Wakenya wakichukua fursa hizo wakati Kiswahili nyumbani kwake ni Tanzania.

IMG_8536.JPG

Balozi wa Tanzania, kwa Madiba, Sylvester Ambokile, akimpokea Makamu wa Rais, Samia Suluhu.
 
Warimu kutoka Mologolo watafaidi kweri kweri maana hawa Wasauzi wana histolia kubwa na Mologolo! Mapambano ya kureta uhulu nchini kwao yarifanyika kutoka na mafunzo wariopata huko.Wengi wataludi kusoma.
Razima sasa watawakumbuka katika hiri ra Kiswahiri!
 
Hata laisi wetu atafulahi sana, hasa baada ya kushinda kula kwa kishindo!
 
Mlipewa fursa kenya ya madaktari.. baadae mkapigwa mkwara na wakenya nani alienda?.. trust me the same thing will be applied to South Africa.. hakuna Mwalim wa bongo ataenda huko.. sanasana wataleta wasouth pale udsm wasome kiswahil
Acha ku prediction za negative masikini wewe walahi!
ROHO MBAYA TU ebo!
 
Swafiiii sana
Mola awe nasi milele yote walahi
 
Fursa hii tukizubaa kidogo tu hawa jirani zetu wa ng'ambo ya pili watafurika huko
Wafurike mara ngapi? Japo sisi hatuhitaji Viza kuingia South lakin Wa-Kenya na Wa-Nigeria (lazima kuwa na Viza) wamejaa huko kama kwao
 
Warimu kutoka Mologolo watafaidi kweri kweri maana hawa Wasauzi wana histolia kubwa na Mologolo! Mapambano ya kureta uhulu nchini kwao yarifanyika kutoka na mafunzo wariopata huko.Wengi wataludi kusoma.
Razima sasa watawakumbuka katika hiri ra Kiswahiri!

Umeeleweka vema ... tubadilike
 
nawaonea huruma wasouth africa...tutaenda waambukiza tabia na tamaduni za ajabu kupitia lugha...muda si mrefu watakua wambea ,wanafiki balaa na waoga wa kudai haki zao😱😱😱😱😱
Nilitaka kushangaa kama ingekosa komenti HASI kama hii na hasa kutoka kule kwa wazee wa kuibiwa kura bila kujifunza njia ya kuzuia wizi
 
Fursa hii tukizubaa kidogo tu hawa jirani zetu wa ng'ambo ya pili watafurika huko
Serikali iwe pro active kwa hilo wakenya watavamia hiyo fursa kama mwewe.Serikali ianze mazungumzo Na serikali ya Africa Kusini upesi Na isiwe na ukiritimba kwenye hili
 
Nadhani sasa imefika wakati tukitafutie maandishi yake Yaani tuwe Na herufi zake hapo ndio lugha itakuwa imekamilika
 
Back
Top Bottom