MOSCOW: Rais wa Urusi, Vladimir Putin amekuwa mara kwa mara akitamba kuhusu silaha zake mpya za 'Hypersonic' zinazodaiwa kwenda kwa kasi ya mara 20 zaidi ya kasi ya sauti. Mara kwa mara Rais Putin...
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Ujerumani kugoma
Kutokana na mgomo uliopangwa kufanyika hapo kesho katika viwanja vya vya ndege mjini Berlin baadhi ya safari zitacheleweshwa na zingine...
Takribani watu 30 wamefariki baada ya machimbo ya dhahabu yaliyopo Kohistan mkoani Badakhshan, Kaskazini Mashariki mwa Afghanistan kuporomoka
Wanakijiji wanaripotiwa kuwa walikuwa wanatumia gari...
Ilhan Omar ni mwanamke wa kwanza wa Kisomali, Muislam anevaa hijab katika ndani ya Senate ya Marekani.
Hongera Ilhan, hongera Afrika, hongera Somalia, hongera Waislam wote duniani.
Watetezi wa...
Sheria mpya nchini Saudia inawalinda wanawake kutopewa talaka bila kujua. Kuanzia siku ya Jumapili, Mahakama zitatakiwa kuwaelezea wanawake kupitia njia ya ujumbe wa simu kwamba wamepewa talaka...
Uchunguzi wa unyanyasaji kimapenzi unaendelea ili kubaini inakuwaje mwenamke huyu aliyepo kwenye kituo cha afya cha Hacienda-Phoenix ameweza kupata ujauzito akiwa kwenye hali COMA
----
Mwanamke...
Katika hali ya kushangaza na inayoonyesha nguvu kubwa ya Marekani kwenye biashara ya kimataifa, serikali ya Marekani kupitia ofisi yake ya hazina imezuia Urusi kuiuzia Iran ndege za Abiria aina ya...
Ujumbe wa US mjini Ankara umewaambia maofisa wa wizara ya ulinzi na mashauri ya kigeni wasitishe makubliano waliyosaini na Putin kuhusu kununua S-400 na badala yake wauziwe mfumo wa Patriots...
Tume ya uchaguzi ya DRCongo imechelewesha kutangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais,huku kukiwa ongezeko la mbinyo kutoka mataifa yenye nguvu na kanisa Katoliki kuheshimu matakwa ya wapiga...
Kiongozi wa Uganda,Jenerali Idd Amin enzi ya utawala wake akiwa amebebwa na wazungu waingereza waliokuwa nchini mwake, akilipiza kisasi cha wakoloni kubebwa na waafrika enzi za ukoloni barani...
Kanisa katoliki DRC limetangaza linamjua mshindi uchaguzi wa rais na kuishauri tume kutangaza matokeo.Tume imehairisha kutangaza matokeo leo jumapili kwa mujibu wa ratiba ya awali.
Congo's...
Aliekuwa balozi wa Umoja wa Ulaya mjini Kinshasa Jamhuri ya Congo bwana Bart Ouvry
Balozi wa Umoja wa nchi za Ulaya nchini Congo bwana Bart Ouvry, siku ya Alhamisi ilopita alitendewa kitendo cha...
A new picture returned from Nasa's New Horizonsspacecraft shows it to be two objects joined together - to give a look like a "snowman".
The US probe's images acquired as it approached Ultima...
1. Shanghai Maglev (427.2km/hr)
Hii ndo treni inayoongoza kwa spidi kuwa duniani na Imetengenezwa nchini China.
Shanghai Maglev inasafifi umbali wa kilometa 30.4 kutoka uwanja wa kimataifa wa...
Rais Trup atoa maoni yake kutokana na kushuka kwa hisa za Kampuni ya Apple kwa kuitaka iache kutengeneza simu hizo nchini China
Trump alisema kuwa ameongea na mmoja wa Wakurugenzi wa Apple, Tim...
Arrogant powers can never stop Iran support for Palestine: Ayat. Khamenei
Home / Iran
/ Politics
Leader of Islamic Revolution Ayatollah Seyyed Ali Khamenei talks to Secretary General of the...
Wasiwasi umetanda mjini Kinshasha wakati watu wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya wananchi wanahofia kuzuka ghasia katika nchi hiyo anasema mwandishi wa DW Jonas Gerding...
Rais Donald Trump Kupeleka wanajeshi wa Marekani nchini Congo kwa ajili ya kusaidia Ulinzi wa Wamarekani nchini humo, ikiwa kutatokea machafuko kutokana na shughuli za Uchaguzi.
Kwa sasa, kuna...
Habari zenu wakuu...
Kwanza nijitambulishe mi ni mgeni JF.. Naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano .. Napenda siasa na kujifunza mambo mbalimbali...
Turudi kwenye mada..
Nimekuwa nikifatilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.