LIVE: Yellow Vest - Ona jinsi wazungu wanavyotesana kwa ukiukaji wa haki za binadamu

Wazo Kuu

Senior Member
Oct 21, 2018
114
293
LIVE: Yellow Vest - Ona jinsi wazungu wanavyotesana kwa ukiukaji wa haki za binadamu
yellow vest 1.jpg

yellow vest 2.jpg

yt_1943.jpg

blood.jpg

Cataloniavoila_1608.jpg

fd_9656.jpg

yellow mwandishi.jpg

Mwandishi wa Habari akizuiwa kupiga picha

WAANDISHI WA AFRIKA JIFUNZENI KUFICHA MABAYA YENU, TANGAZENI MAZURI KWANI YANAYOENDELEA ULAYA NI HATARI MNO

Nchini Ufaransa na katika baadhi ya mataifa ya ulaya kwa mawiki kadhaa sasa tumeshuhudia maandamano makubwa ambayo waliyaita “vizibao vya njano”, tumeshuhudia moto ukiwaka. Vifo pia vilikuwako katika matukio hayo, Nchini Ufaransa mwishoni mwa wiki iliyopita peke yake kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka serikalini mamia ya waandamanaji walijeruhiwa huku maelfu ya waandamanaji wakitiwa nguvuni.
1546091223202.jpeg

Je nini kimeisibu Ulaya?
Wananchi wa Ulaya wamejifungia na wanaishi kama vile ilivyokuwa kabla ya vita kuu ya 2 ya dunia.
Sababu zinazopelekea upinzani unaoonyeshwa na jamii za ulaya dhidi ya wahamiaji, waislamu, wayahudi na wageni kutoka nchi nyingine. Chanzo cha matatizo sio wahamiaji bali ni jamii zenyewe za Ulaya. Tatizo ni kuhusu mustakabali wa Ulaya, kama tunavyoona kinachojiri hivi sasa. “
Je Ulaya itajenga maadili kupitia Umoja wa Ulaya? Au wataandelea kutumia unazi na ubeberu waliorithi kutoka zama za kale? ”
1546091223250.jpeg

Kuhusiana na hili tulisisitiza kwamba kama makundi ya watetezi wa uhuru katika jamii za Ulaya yasipopaza sauti zao kulisema hili , itafikia muda watakuwa wamechelewa na wasiweze kufanya chochote.
1546091223291.jpeg

Matukio ya nchini Ufaransa
Maandamano ya nchini ufaransa ya hivi karibuni unaweza kusema yanatokana na jamii hiyo kujifungia, chuki na ubaguzi kuonekana kitu cha kawaida, na jamii hizo kujali maslahi yao zaidi kuliko kitu chochote.
1546091223332.jpeg

Matukio ya vizibao vya njano hayakusababishwa na wahamiaji, bali yanatokana na jamii hizo kushindwa kuendana na kasi ya utandawazi, yalitokana na mkwamo wa uchumi, yalitokana na Ufaransa kushindwa kudumisha ustawi wa jamii uliokuwako zamani.
1546091223376.jpeg

Matukio yanayoendelea duniani hivi sasa pamoja na nguvu nyingine za kiuchumi zinazoibuka, vinaifanya Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya kushindwa kudumisha ustawi wa jamii na kuleta maendeleo.
Matukio na vyombo vya habari
1546091223415.jpeg

Katika matukio yaliyotokea İstanbul kwenye eneo la Gezi, karibu vyombo vya habari vya dunia nzima viliweka kambi pale walirusha matangazo ya moja kwa moja kwa masaa bila kukoma. Hatuwezi kusahau jinsi vilivyowafanya waandamanaji kuwa mashujaa
1546091223451.jpeg

Bado yule binti aliyekuwa na kilemba chekundu na alama ya mwanaume aliyesimama vipo kwenye akili zetu. Vyombo vya habari vililikuza tukio vilionyesha kwamba Uturuki na hasa polisi ni wavunjifu wakubwa wa haki za binadamu
1546091223486.jpeg

Tukirudi katika matukio ya Paris, vyombo vya habari vya Ulimwengu vimeyapa nafasi ndogo sana. Vyombo hivyo havikuripoti vya kutosha nguvu kubwa iliyotumiwa na polisi dhidi wanafunzi wa sekondari walioshiriki maandamano hayo. Havikuonyesha uvunjifu huu wa haki za binadamu.
1546091223525.jpeg

Je vizibao vya njano wanataka nini?
Vizibao vya njano ni kama vile ilani ya uchaguzi ya chama cha siasa, wamefahamisha mambo 42 ambayo ni kero, Kero zao ni zaidi ya bei kubwa ya mafuta . Kero nyingine za waandamanaji hao wa vizibao vya njano ni pamoja na gharama kubwa ya maisha, tozo kubwa la kodi, mazingira mabovu ya kufanya kazi, hatua dhidi ya wahamiaji, kanuni za uchaguzi.

yellow vest 2.jpg

yellow_protest_FRANCE_171218.JPG
 
Attachments

  • reform-710057.jpg
    reform-710057.jpg
    27 KB · Views: 24
LIVE: Yellow Vest - Ona jinsi wazungu wanavyotesana kwa ukiukaji wa haki za binadamu View attachment 980527

View attachment 980529

WAANDISHI WA AFRIKA JIFUNZENI KUFICHA MABAYA YENU, TANGAZENI MAZURI KWANI YANAYOENDELEA ULAYA NI HATARI MNO

Nchini Ufaransa na katika baadhi ya mataifa ya ulaya kwa mawiki kadhaa sasa tumeshuhudia maandamano makubwa ambayo waliyaita “vizibao vya njano”, tumeshuhudia moto ukiwaka. Vifo pia vilikuwako katika matukio hayo, Nchini Ufaransa mwishoni mwa wiki iliyopita peke yake kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka serikalini mamia ya waandamanaji walijeruhiwa huku maelfu ya waandamanaji wakitiwa nguvuni.
View attachment 980518
Je nini kimeisibu Ulaya?
Wananchi wa Ulaya wamejifungia na wanaishi kama vile ilivyokuwa kabla ya vita kuu ya 2 ya dunia.
Sababu zinazopelekea upinzani unaoonyeshwa na jamii za ulaya dhidi ya wahamiaji, waislamu, wayahudi na wageni kutoka nchi nyingine. Chanzo cha matatizo sio wahamiaji bali ni jamii zenyewe za Ulaya. Tatizo ni kuhusu mustakabali wa Ulaya, kama tunavyoona kinachojiri hivi sasa. “
Je Ulaya itajenga maadili kupitia Umoja wa Ulaya? Au wataandelea kutumia unazi na ubeberu waliorithi kutoka zama za kale? ”
View attachment 980510
Kuhusiana na hili tulisisitiza kwamba kama makundi ya watetezi wa uhuru katika jamii za Ulaya yasipopaza sauti zao kulisema hili , itafikia muda watakuwa wamechelewa na wasiweze kufanya chochote.
View attachment 980512
Matukio ya nchini Ufaransa
Maandamano ya nchini ufaransa ya hivi karibuni unaweza kusema yanatokana na jamii hiyo kujifungia, chuki na ubaguzi kuonekana kitu cha kawaida, na jamii hizo kujali maslahi yao zaidi kuliko kitu chochote.
View attachment 980514
Matukio ya vizibao vya njano hayakusababishwa na wahamiaji, bali yanatokana na jamii hizo kushindwa kuendana na kasi ya utandawazi, yalitokana na mkwamo wa uchumi, yalitokana na Ufaransa kushindwa kudumisha ustawi wa jamii uliokuwako zamani.
View attachment 980515
Matukio yanayoendelea duniani hivi sasa pamoja na nguvu nyingine za kiuchumi zinazoibuka, vinaifanya Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya kushindwa kudumisha ustawi wa jamii na kuleta maendeleo.
Matukio na vyombo vya habari
View attachment 980516
Katika matukio yaliyotokea İstanbul kwenye eneo la Gezi, karibu vyombo vya habari vya dunia nzima viliweka kambi pale walirusha matangazo ya moja kwa moja kwa masaa bila kukoma. Hatuwezi kusahau jinsi vilivyowafanya waandamanaji kuwa mashujaa
View attachment 980513
Bado yule binti aliyekuwa na kilemba chekundu na alama ya mwanaume aliyesimama vipo kwenye akili zetu. Vyombo vya habari vililikuza tukio vilionyesha kwamba Uturuki na hasa polisi ni wavunjifu wakubwa wa haki za binadamu
View attachment 980511
Tukirudi katika matukio ya Paris, vyombo vya habari vya Ulimwengu vimeyapa nafasi ndogo sana. Vyombo hivyo havikuripoti vya kutosha nguvu kubwa iliyotumiwa na polisi dhidi wanafunzi wa sekondari walioshiriki maandamano hayo. Havikuonyesha uvunjifu huu wa haki za binadamu.
View attachment 980517
Je vizibao vya njano wanataka nini?
Vizibao vya njano ni kama vile ilani ya uchaguzi ya chama cha siasa, wamefahamisha mambo 42 ambayo ni kero, Kero zao ni zaidi ya bei kubwa ya mafuta . Kero nyingine za waandamanaji hao wa vizibao vya njano ni pamoja na gharama kubwa ya maisha, tozo kubwa la kodi, mazingira mabovu ya kufanya kazi, hatua dhidi ya wahamiaji, kanuni za uchaguzi.

View attachment 980507
View attachment 980509

Kwa kuwa Uturuki ni nchi yenye asili ya waarabu ndio maana walifanya vile watu wa media, ila France kufanya hivyo ni kuuaibisha Uzungu ambao ndio chosen race to rule the world.

Maandamano yanapotokea kila mmoja huingia kwa sababu zake binafsi japo lengo huwa ni kupatiwa suluhisho, sasa vyombo vya dola huwa vinatia petrol kwa kutumia nguvu jambo ambalo huwa linafanya mambo kuharibika kabisa.

Anyway, huu ni mwanzo tuu, yatakuja mataifa mengine mengi tuu makubwa. Wacha tusubiri muda ufike
 
Namuonya Macro na serikali waandamanaji wa Ufaransa wasikilizwe na wapewe haki zao mara moja. Ningetamka hivo kama ningekuwa kiongozi mkubwa.
 
Upumbavu ni kama harufu ya ushuzi kwenye elevator...haufichiki.

Unawaomba wanahabari wasitangaze ukiukwaji wa haki za binadamu, je wewe sio binadamu? Au wewe ndio mkiuka haki?
2. Mabaya yakifanyika Ulaya, yanajustify ubaya kufanyika kwingineko duniani?
3. Kama wanahabari wa Ulaya wangeyaficha haya yanayoendelea, hii habari yako ya kijinga ingeambatana na picha?
4. Ina upya gani hii habari iliyotrend Al jazeera na CNN kwa siku kadhaa?

Pigania haki, sio kuficha mabaya.
 
Propaganda za CCM bana..Yaani umeleta hiyo ili mkiua watu, watu wakae kimya eti kwa sababu wazungu wanaficha maovu yao?

Sasa kama wanaficha hizo picha umezitoa wapi?
Hiyo habari ya maandamano Ufaransa mbona haijafichwa hata kidogo na coverage inakua ni live?

Maandamano yamesababisha rais akabadili msimamo wake na kuongeza kipato cha masikini euro 100 kila mwezi

Kwani hata hivyo wangeua watu basi na sisi tunapaswa kuua watu sababu Ufaransa waneua watu?
Yaani sisi tunafuata kivuli cha wazungu kujua lipi bora ama sio bora?
 
qRI8Gs7.gif

Wapigania haki za Binadamu mbona mmekaa kimya? Au HAki za binadamu inafanya Afrika tu?
 
LIVE: Yellow Vest - Ona jinsi wazungu wanavyotesana kwa ukiukaji wa haki za binadamu View attachment 980527

View attachment 980529
View attachment 980551
View attachment 980553
View attachment 980557
View attachment 980554
View attachment 980556
Mwandishi wa Habari akizuiwa kupiga picha

WAANDISHI WA AFRIKA JIFUNZENI KUFICHA MABAYA YENU, TANGAZENI MAZURI KWANI YANAYOENDELEA ULAYA NI HATARI MNO

Nchini Ufaransa na katika baadhi ya mataifa ya ulaya kwa mawiki kadhaa sasa tumeshuhudia maandamano makubwa ambayo waliyaita “vizibao vya njano”, tumeshuhudia moto ukiwaka. Vifo pia vilikuwako katika matukio hayo, Nchini Ufaransa mwishoni mwa wiki iliyopita peke yake kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka serikalini mamia ya waandamanaji walijeruhiwa huku maelfu ya waandamanaji wakitiwa nguvuni.
View attachment 980518
Je nini kimeisibu Ulaya?
Wananchi wa Ulaya wamejifungia na wanaishi kama vile ilivyokuwa kabla ya vita kuu ya 2 ya dunia.
Sababu zinazopelekea upinzani unaoonyeshwa na jamii za ulaya dhidi ya wahamiaji, waislamu, wayahudi na wageni kutoka nchi nyingine. Chanzo cha matatizo sio wahamiaji bali ni jamii zenyewe za Ulaya. Tatizo ni kuhusu mustakabali wa Ulaya, kama tunavyoona kinachojiri hivi sasa. “
Je Ulaya itajenga maadili kupitia Umoja wa Ulaya? Au wataandelea kutumia unazi na ubeberu waliorithi kutoka zama za kale? ”
View attachment 980510
Kuhusiana na hili tulisisitiza kwamba kama makundi ya watetezi wa uhuru katika jamii za Ulaya yasipopaza sauti zao kulisema hili , itafikia muda watakuwa wamechelewa na wasiweze kufanya chochote.
View attachment 980512
Matukio ya nchini Ufaransa
Maandamano ya nchini ufaransa ya hivi karibuni unaweza kusema yanatokana na jamii hiyo kujifungia, chuki na ubaguzi kuonekana kitu cha kawaida, na jamii hizo kujali maslahi yao zaidi kuliko kitu chochote.
View attachment 980514
Matukio ya vizibao vya njano hayakusababishwa na wahamiaji, bali yanatokana na jamii hizo kushindwa kuendana na kasi ya utandawazi, yalitokana na mkwamo wa uchumi, yalitokana na Ufaransa kushindwa kudumisha ustawi wa jamii uliokuwako zamani.
View attachment 980515
Matukio yanayoendelea duniani hivi sasa pamoja na nguvu nyingine za kiuchumi zinazoibuka, vinaifanya Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya kushindwa kudumisha ustawi wa jamii na kuleta maendeleo.
Matukio na vyombo vya habari
View attachment 980516
Katika matukio yaliyotokea İstanbul kwenye eneo la Gezi, karibu vyombo vya habari vya dunia nzima viliweka kambi pale walirusha matangazo ya moja kwa moja kwa masaa bila kukoma. Hatuwezi kusahau jinsi vilivyowafanya waandamanaji kuwa mashujaa
View attachment 980513
Bado yule binti aliyekuwa na kilemba chekundu na alama ya mwanaume aliyesimama vipo kwenye akili zetu. Vyombo vya habari vililikuza tukio vilionyesha kwamba Uturuki na hasa polisi ni wavunjifu wakubwa wa haki za binadamu
View attachment 980511
Tukirudi katika matukio ya Paris, vyombo vya habari vya Ulimwengu vimeyapa nafasi ndogo sana. Vyombo hivyo havikuripoti vya kutosha nguvu kubwa iliyotumiwa na polisi dhidi wanafunzi wa sekondari walioshiriki maandamano hayo. Havikuonyesha uvunjifu huu wa haki za binadamu.
View attachment 980517
Je vizibao vya njano wanataka nini?
Vizibao vya njano ni kama vile ilani ya uchaguzi ya chama cha siasa, wamefahamisha mambo 42 ambayo ni kero, Kero zao ni zaidi ya bei kubwa ya mafuta . Kero nyingine za waandamanaji hao wa vizibao vya njano ni pamoja na gharama kubwa ya maisha, tozo kubwa la kodi, mazingira mabovu ya kufanya kazi, hatua dhidi ya wahamiaji, kanuni za uchaguzi.

View attachment 980507
View attachment 980509

huku afrika lazima na bunduki itumike.picha zako zote umeona kuna bunduki hapo
 
Propaganda za CCM bana..Yaani umeleta hiyo ili mkiua watu, watu wakae kimya eti kwa sababu wazungu wanaficha maovu yao?

Sasa kama wanaficha hizo picha umezitoa wapi?
Hiyo habari ya maandamano Ufaransa mbona haijafichwa hata kidogo na coverage inakua ni live?
Maandamano yamesababisha rais akabadili msimamo wake na kuongeza kipato cha masikini euro 100 kila mwezi

Kwani hata hivyo wangeua watu basi na sisi tunapaswa kuua watu sababu Ufaransa waneua watu?
Yaani sisi tunafuata kivuli cha wazungu kujua lipi bora ama sio bora?

Sio la euro 100 tu. Vizibao vya njano wamefahamisha mambo 42 ambayo wanadai baadhi ni:-, gharama kubwa ya maisha, tozo kubwa la kodi, mazingira mabovu ya kufanya kazi, unyanyasaji dhidi ya wahamiaji, Unyanyasaji wa wanafunzi, Ulaya kukosa dira hawaoni kesho yao, Ahadi hewa za rais wao ameshindwa kutimiza malengo aliyoahidi, nk
 
LIVE: Yellow Vest - Ona jinsi wazungu wanavyotesana kwa ukiukaji wa haki za binadamu View attachment 980527

View attachment 980529
View attachment 980551
View attachment 980553
View attachment 980557
View attachment 980554
View attachment 980556
Mwandishi wa Habari akizuiwa kupiga picha

WAANDISHI WA AFRIKA JIFUNZENI KUFICHA MABAYA YENU, TANGAZENI MAZURI KWANI YANAYOENDELEA ULAYA NI HATARI MNO

Nchini Ufaransa na katika baadhi ya mataifa ya ulaya kwa mawiki kadhaa sasa tumeshuhudia maandamano makubwa ambayo waliyaita “vizibao vya njano”, tumeshuhudia moto ukiwaka. Vifo pia vilikuwako katika matukio hayo, Nchini Ufaransa mwishoni mwa wiki iliyopita peke yake kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka serikalini mamia ya waandamanaji walijeruhiwa huku maelfu ya waandamanaji wakitiwa nguvuni.
View attachment 980518
Je nini kimeisibu Ulaya?
Wananchi wa Ulaya wamejifungia na wanaishi kama vile ilivyokuwa kabla ya vita kuu ya 2 ya dunia.
Sababu zinazopelekea upinzani unaoonyeshwa na jamii za ulaya dhidi ya wahamiaji, waislamu, wayahudi na wageni kutoka nchi nyingine. Chanzo cha matatizo sio wahamiaji bali ni jamii zenyewe za Ulaya. Tatizo ni kuhusu mustakabali wa Ulaya, kama tunavyoona kinachojiri hivi sasa. “
Je Ulaya itajenga maadili kupitia Umoja wa Ulaya? Au wataandelea kutumia unazi na ubeberu waliorithi kutoka zama za kale? ”
View attachment 980510
Kuhusiana na hili tulisisitiza kwamba kama makundi ya watetezi wa uhuru katika jamii za Ulaya yasipopaza sauti zao kulisema hili , itafikia muda watakuwa wamechelewa na wasiweze kufanya chochote.
View attachment 980512
Matukio ya nchini Ufaransa
Maandamano ya nchini ufaransa ya hivi karibuni unaweza kusema yanatokana na jamii hiyo kujifungia, chuki na ubaguzi kuonekana kitu cha kawaida, na jamii hizo kujali maslahi yao zaidi kuliko kitu chochote.
View attachment 980514
Matukio ya vizibao vya njano hayakusababishwa na wahamiaji, bali yanatokana na jamii hizo kushindwa kuendana na kasi ya utandawazi, yalitokana na mkwamo wa uchumi, yalitokana na Ufaransa kushindwa kudumisha ustawi wa jamii uliokuwako zamani.
View attachment 980515
Matukio yanayoendelea duniani hivi sasa pamoja na nguvu nyingine za kiuchumi zinazoibuka, vinaifanya Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya kushindwa kudumisha ustawi wa jamii na kuleta maendeleo.
Matukio na vyombo vya habari
View attachment 980516
Katika matukio yaliyotokea İstanbul kwenye eneo la Gezi, karibu vyombo vya habari vya dunia nzima viliweka kambi pale walirusha matangazo ya moja kwa moja kwa masaa bila kukoma. Hatuwezi kusahau jinsi vilivyowafanya waandamanaji kuwa mashujaa
View attachment 980513
Bado yule binti aliyekuwa na kilemba chekundu na alama ya mwanaume aliyesimama vipo kwenye akili zetu. Vyombo vya habari vililikuza tukio vilionyesha kwamba Uturuki na hasa polisi ni wavunjifu wakubwa wa haki za binadamu
View attachment 980511
Tukirudi katika matukio ya Paris, vyombo vya habari vya Ulimwengu vimeyapa nafasi ndogo sana. Vyombo hivyo havikuripoti vya kutosha nguvu kubwa iliyotumiwa na polisi dhidi wanafunzi wa sekondari walioshiriki maandamano hayo. Havikuonyesha uvunjifu huu wa haki za binadamu.
View attachment 980517
Je vizibao vya njano wanataka nini?
Vizibao vya njano ni kama vile ilani ya uchaguzi ya chama cha siasa, wamefahamisha mambo 42 ambayo ni kero, Kero zao ni zaidi ya bei kubwa ya mafuta . Kero nyingine za waandamanaji hao wa vizibao vya njano ni pamoja na gharama kubwa ya maisha, tozo kubwa la kodi, mazingira mabovu ya kufanya kazi, hatua dhidi ya wahamiaji, kanuni za uchaguzi.

View attachment 980507
View attachment 980509

Achana na upumbavu wako huu hauwezi kuzuia umasikini uliosababishwa na sera mbovu za kiimla
 
huku afrika lazima na bunduki itumike.picha zako zote umeona kuna bunduki hapo
huku afrika lazima na bunduki itumike.picha zako zote umeona kuna bunduki hapo

Ndio maana ninasema waandishi wa Kiafrika waone jinsi kuripoti mambo yao, wazungu hawakuonyeshi kila kitu; na sio kwamba bunduki hakuna zipo ila zinalinda eneo.
bunduki.jpg
 
Ingekuwa africa hiyo basi CNN, BBC zingehamishia makazi nchi husika na wangesema ujinga ujinga, ila kwa sababu ni wao kwa wao kimyaaaaaaa
 
Back
Top Bottom