International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, asubuhi ya leo september 24, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben-Gurion, kabla ya kuondoka kuelekea Marekani kwa ziara ya kidiplomasia, ambapo atahutubia...
3 Reactions
15 Replies
819 Views
Ofisi ya Waziri Mkuu: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, moja kwa moja kutoka jengo la Umoja wa Mataifa huko New York, anatangaza kwamba IDF imechukua udhibiti wa...
3 Reactions
2 Replies
397 Views
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amezimiwa kipaza sauti kwenye mkutano maalumu wa kujadili umuhimu wa kuanzishwa taifa huru la Palestina, baada ya kuelekeza mashambulizi dhidi ya Israel...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuwakwepa Israel ngumu sana. Ndio waliobuni kifaa kinachowekwa kwenye laptops na computer nyingi duniani kinachoweza kupeleleza na hakiwezi kutoka Hiki kifaa hata kinaweza kukuchunguza hata...
6 Reactions
14 Replies
701 Views
Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la njama ya jinai kuhusiana na jaribio la kukusanya fedha za kampeni kutoka Libya chini ya utawala...
3 Reactions
8 Replies
497 Views
islamization has already crossed the rubicon, so sad! most popular names (grafu pichani) for boys in england
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya kiutendaji ikieleza mpango wa kuuza shughuli za Mtandao wa TikTok nchini Marekani kwa wawekezaji wa Kimarekani na wa kimataifa, kama njia ya kutimiza...
2 Reactions
4 Replies
590 Views
Mkurugenzi wa Telegram, Durov, asema Ufaransa iliiomba kuondoa baadhi ya vituo vya habari vya Moldova kwenye programu Reuters MOSCOW, Septemba 28 - Pavel Durov, bilionea na mwanzilishi wa...
1 Reactions
0 Replies
184 Views
Hivi ndivyo zaidi ya waandamanaji 100,000 wanaounga mkono Palestina walivyojaa mitaa ya Berlin jana Septemba 27, wakilaani uungaji mkono wa Ujerumani kwa vita vinavyoendelea vya Israel dhidi ya...
1 Reactions
0 Replies
203 Views
Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema: "Israeli...
3 Reactions
11 Replies
437 Views
China imezindua Changtai Yangtze River Bridge huko Jiangsu, daraja jipya linaloshikiliwa kwa nyaya lenye span kuu ya mita 1,208, na kuweka rekodi kama the longest of its kind. Daraja hili...
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Israel anatetemeka huko anasema Al Houthi wana plan ya kuwavamia kwa vita vya chini. Wanaogopa kipigo kama cha 7th October, wanasema Al Houthi ni hatari sana wanatishia uwepo wa taifa la Israel...
4 Reactions
19 Replies
782 Views
Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni...
17 Reactions
73 Replies
4K Views
Uchumi wa Argentina umezidi kufanya vibaya chini ya utawala wa Rais Javier na kuwa katika hatihati ya kuanguka kutokana na utawala mbovu wa Rais huyo hali inayopelekea Marekani kuandaa kitita cha...
3 Reactions
10 Replies
614 Views
Katika hali ya kufedhehesha mamia ya wajumbe kwenye mkutano wa umoja wa mataifa wamesusia kumsikilizia Netanyahu mara baada ya kupanda jukwaani , Hivi karibuni kumekuwa na Matukio ya raia wengi...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Shirika la habari la BBC imeeleza kuwa kiongozi wa mtandao wa biashara ya ngono uliokuwa ukiwadhalilisha wanawake katika mitaa ya kifahari ya Dubai amekamatwa na mamlaka za Umoja wa Falme za...
2 Reactions
4 Replies
440 Views
Hayo sio maneno yangu bali ni reaction za media across the world; Ingawa fikra zangu ni kwamba kama huu ndio muendelezo na huyu ndio Mwenyeji bora si wabadilishe sehemu za kukutana au kutumia...
2 Reactions
7 Replies
348 Views
Jasusi wa Kizayuni akijifanya mpiganaji wa ISIS na Imamu akamatwa Libya Gazeti la Kihispania limefichua kuwa vikosi vya Libya vimekamata imamu wa msikiti kwa tuhuma za kufanya ujasusi kwa ajili...
6 Reactions
19 Replies
479 Views
Video ya kamera za ulinzi imeonyesha tukio la wizi wa kutumia silaha katika duka la vito la Heller Jewelers mjini San Ramon, California, Septemba 22, 2025 mida ya mchana. Polisi wamesema wahusika...
1 Reactions
8 Replies
462 Views
D.Trump kasema kwamba ilhan abdulahi omar ambaye alizaliwa nchini somalia na leo hii ni rep au Mbunge huko Minesota, aliolewa na kaka yake mzazi ili apate uraia wa USA, mambo yameanza kuiva huko...
4 Reactions
120 Replies
4K Views
Back
Top Bottom