McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,090
- 3,444
Wakuu,
Nimekutana na clip ya askari wa ICE wa Marekani ambao wanahusika na masuala ya uhamiaji wakiwa wanamfukuzia huyu jamaa kwenye kibaiskeli chake
Huyu jamaa ni mtu wa delivery na ili tukio limetokea huko Chicago. Huyu watu wanasema walikuwa kumkamata kutokana na kumhisi kuwa alikuwa ni mhamiaji haramu
Nataka kuuliza huko kwa Trump na penyewe kuna watu wasiojulikana?